TANZIA Mtoto wa Mbunge Cecil Mwambe afariki dunia kwenye swimming pool

TANZIA Mtoto wa Mbunge Cecil Mwambe afariki dunia kwenye swimming pool

Mtoto alikuwa anasoma St. Mary’s Mazinde Juu, Lushoto. Alikua shule muda wote, form two walifunga shule tarehe 19 August, kwa hiyo alikuwa haja kaa nyumbani hata wiki moja! Wenzake wana rudi shuleni weekend hii! So sad, pole sana Mwambe, mtoto wangu alikuwa anasoma na Cecilia, amesema ni binti mwenye nidhamu, mtiifu, asiye na makuu na uwezo mzuri sana wa masomo!
So saaad
 
Kwa hali za hewa za kibongo hakuna haja ya swimming pool kwakweli ukimiss maji nenda beach kuepusha hili dhahma
 
Mtoto wa mbunge Mwambe afariki dunia jana akiwa anaogelea na wenzanke nyumbani kwao. Alijirusha kwenye kina kifupi cha maji ndani ya bwawa la kuogelea lilipo nyumbani kwao na akagonga kichwa. Watu wazima hawakuwepo nyumbani chanzo cha taarifa kinasema. Poleni kwa familia
View attachment 2334563
Hili nalo nendeni mkaliangalie
 
Mtoto alikuwa anasoma St. Mary’s Mazinde Juu, Lushoto. Alikua shule muda wote, form two walifunga shule tarehe 19 August, kwa hiyo alikuwa haja kaa nyumbani hata wiki moja! Wenzake wana rudi shuleni weekend hii! So sad, pole sana Mwambe, mtoto wangu alikuwa anasoma na Cecilia, amesema ni binti mwenye nidhamu, mtiifu, asiye na makuu na uwezo mzuri sana wa masomo!

huyu binti mama yake alishakufa pia nafikiri last year ndio Mh Mbunge akavuta mbunge mwenzie, sadly amemfuata mama yake immeaditely. Watu wa spiritual watasema kitu hapa, au wale ndugu zetu wa manyanga nao lazima watie neno.
 
Aisee kuna mengi tutayasikia. So huyo mama alikua na mtoto mmoja?
 
Kwahiyo Mbunge wa Ndanda anaishi Dar es salaam, Kino, Ada Estate.

Tanzania ni nchi inayofurahisha sana.
Hakuna mwana siasa mwenye kuanzia ngazi ya ubunge asiye na makazi Dar. Hata uje kwa Mrema (r.ip), Mboe, Zitto wote ungewakuta Dar japo majimbo yao yalikuwepo mikoani.
Dar ndio centre ya Bongo politics. Huwezi kutoka usipoweka ngome ya kisiasa Dar...
 
hata niwe na pesa nyingi za kuchezea swimming pool siwez kujenga nyumban kwangu... Hata watoto wangu sitak wajue kuogelea, mimi maji yakinifika kwenye magoti nageuza kwa kukimbia

Kuweka swimming pool ni maamuzi yako. Ila watoto lazima uwape mbinu za kujilinda, swimming ni mojawapo. Fikiria hatari ya watoto kutojua kabisa kuogelea.
 
Kuna sku tulikua kwenye program moja iv iko recoded sasa ikawa tuko hotelin kwenye swiming mm nmekaa kanda ya ziwa zaid ya miaka 13 wenzangu wa kanda ya ziwa wanaogelea kama kambale nkasema ngoja na m nijtose kwenye hayo maji asee amna rangi skuona kumbe nljrushia parefu nkawa nakunywa maji tu wao wananletea kamera wakdhan n mbwembwe zangu nlipambana sana mpka kufka kwenye ukingo wa swimng nkatoka maskion maj yanatoka yamoto puan maji yanashuka inshot sitak mazoe na maji hata ya kwenye ndoo naoga fasta natoka
 
Back
Top Bottom