uko sahihi, waliwahi kudandiana na kumilikisha mahaba.....walisahau kwamba walipaswa kuwa na muda wa kutosha ili huyo mtoto aanze kumzoea anko kwa style ya come visit and go.......ili huyo mtoto akupende slowly slowly,,,, na mama mtoto awe akiongea nae bila jazba wala ulazima, but kama mama......kwa kifupi wameharakisha habari.........hapo kazi unayo blaza..Mapenzi hayalazimishwi!!
Tatizo mnamlazimisha huyo mtoto kukupenda badala ya kumpa nafasi ya yeye kukupenda mwenyewe naturally. Sijui kwanini ila nahisi kama wewe (or who ever that is) mlikuwa na haraka sana ya kutambulishana kwa mtoto. Mlipaswa kuacha mahuasiano yenu kuwa yenu kwanza, wakati unaanzisha urafiki na mtoto bila pressure yoyote mpaka hapo baadae.
Kama mko serious na mahusiano yenu kweli, cha msingi acheni kum-force huyo mtoto kukupenda/kukukubali mara moja. Na wala usijipendekeze nae sana. Just be there as a friend & a father figure. Akionyesha kukuhitaji kwa lolote sawa, asipoonyesha pia sawa....mwishowe atakuzoea na bond itaanzia hapo. Huyo mtoto bado mdogo sana....angekuwa mkubwa ndio ingekuwa changamoto.
Swali la kizushi.....
Usikute una nia mbaya nao na mtoto can sense that alafu unatuchosha na ushauri? 😬😬
we jamaa nimecheka sana wakati dogo ana miaka 4mbambikize kesi huyo dogo akanyeee debe
Baada ya miaka Kama kumi hivi,Toto lazima lianze kumtia mangumi kila atakapotofutiana na Mkewe!!Mkuu pambana na Hali yako we si ndo umeoa single maza unakubali vp inaanza mechi na moja bila
Upo na mama yake mwaka wa 2 sasa maana ulimchukua akiwa na mwaka 1, tazoeaje mfano
tafuta michezo wanayopenda watoto na unaohisi ataupenda alafu ufanye peke ako akiwa anakuona bila kumuita.... Kama ni cartoon unaangalia cartoon huku unafurahia baada ya mda atakuja toys nyingine unazitumia wewe mwenyewe kwa kuimagine kama unaongea and the likes....pia kumpeleka sehem zaivhezo ya watoto will help
Hilo ndio tatizo sugu kwenye aina hiyo ya mahusiano,ni vizuri mama kama ana akili amtengenezee mtoto mazingira ili akukubali lakini kwa kutumia vijuice na soda hivyo mkuu utaliwa sana hela zako na hakuna utakachofanikiwa,shida hapo ni huyo mwanamke sio mtoto...Imetokea na huwa inatokea mtoto wa mkeo hakupendi. Umeamua kuishi au kuoa mke ambaye hana kazi ana mtoto mmoja wa kike au wa kiume mwenye umri wa miaka 4 sasa mkeo anajaribu kumwambia mtoto kuwa wewe ndiye baba yake au baba wa kambo mtoto hataki na ukijaribu kuwa karibu na yeye hakubali, unamletea juice, pipi, biscuit mara kwa mara kama zawadi hataki, siku moja mkiwa wawili wewe na mkeo mama anamuuliza mbele yako huyu nani anasema hajui.
Wenye uzoefu na haya mambo unafanyaje, kwanza mama hajisikii vizuri mtoto kutokuwa karibu na wewe na hataki kukusogelea ukizingatia kuwa mkeo alikwambia kuishi na mimi lazima umkubali mwanaye. Zingatia kwamba mkeo hana tena wazazi kwamba angempeleka mtoto kwa bibi yake.
Tunafanyaje kwa mfano huu.
Huyo bikra utamuumba mwenyewe?NI UTOTO UNAMSUMBUA ataacha akikua.........endelea kum care. ...ingawa anaonekana ana kiburi cha kichaw......
Anyway
MWANAMKE WA KUOLEWA AWE.....BIKRA TU ...
Kwanini mama anamwambia mtoto kuwa wewe ni baba yake wakati siyo?!Mama kumuelekeza mtoto akuamkie sio kosa na sio ku force, mama kumwambia mtoto huyo ndio baba yako ili akitaka kufanya kitu ajue huyo ndiye baba sio kosa, mwanaume hata muda wa kutaka kuongea na mtoto ila kama mtoto wake akitoka kazini au sehem anakuja na zawadi bado mtoto hataki hizo zawadi. Nia mbaya kwa huyo mtoto ni kama ipi mfano maana hakuna mpango wa kumuumiza au kumfanyia mtoto kitu kibaya.
........wapo tu weng mkuu .....ukishindwa nenda zenjiHuyo bikra utamuumba mwenyewe?