Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ndiyo maana nikasema, jukumu la kuwaondoa m23, apewe Tanzania pekee. Na si EAC.
Rwanda mizigo yake 90% inapitia Bandari ya DSM na ndio mteja wa 2 anaepitisha mizigo mingi kwny Bandari hio.Swali,Je Kenya angekua tayari kupoteza mteja wa Bandari yake kwa Sababu ya DRC?Hao wabanwe kwenye bandari tu over!
Somewhere something is not Right, the issue is M23 Watolewe kwenye Ardhi ya DRC , the issue has nothing to do with Rwanda ,ordinary citizen wa DRC Wanateseka especially wamama na watoto kila siku wanakufa kwa sababu ya hao M23, Rwanda ni mwanachama wa EAC watoe ushirikiano na wauunge mkono jitahada za Reginal force kuwaondoa hao M23 Kwenye ardhi ya congo ...huu siyo wakati wa kuwa blame Rwanda ni wakati wa kuungana kwa pamoja kama EAC kuwa disarm vikundi vyote vya Waasi vilivyoko ndani ya DRC territorial area kwa ajili ya usalama katika ukanda wa maziwa makuu...OVER
Tuanze kuondoa kero nyingi za walipa kodi wa nchii hii, zaidi ya hapo ni mbwembwe tu.Ndiyo maana nikasema, jukumu la kuwaondoa m23, apewe Tanzania pekee. Na si EAC.
EA nchi maskini zote hizi,wimbo wa Vita sijui hua unaimbwa kwa Sababu zipi.Vita ni gharama, kuna kupoteza rasilimali watu, fedha na muda; ukimya unasaidia
TANZANIA hawawezi kumbuka M23 Ni Jeshi la Uganda+RwandaNdiyo maana nikasema, jukumu la kuwaondoa m23, apewe Tanzania pekee. Na si EAC.
Congo solution ya matatizo yake italetwa na wacongo wenyewe,wengine wote wanaoenda pale wanafuata Per diem nzuri za UN, Geopolitics Influence,etc.Ukiona kobe juu ya mti jua kapandishwa huyo, huyu anachoongea kimetoka mdomoni mwa farasi mwenyewe.......sasa enyi bongolala na kunyaland endeleeni na fitna zenu mnazofanyiana nyinyi kwa nyinyi, PK na Mu7 ndo wanawaonyesha shoo hivyo......ni wakati sasa wa DRC kusimama kwa miguu yake, akitegemea hizi diplomacy za kinafiki za EA atapoteza mazima.
😄 Mbunge Mnyeti alisema hilo bungeni wakam-maindi kishenzi.Acheni mambo zenu, kwani wa congo man wako wapi kuipigania nchi yao.
Kazi kushinda kwenye vioo na kujikoboa sura.
Wajikusanye wakaipiganie nchi yao, siyo kucheza muziki na kukata mauno , alafu sisi ndiyo tukawapambanie vita yao.
DRC ilisema yenyewe haitaki Jeshi la Rwanda kuingizwa Congo Kama mojawapo ya jeshi la East Africa.I second this, As EAC ipitie mikataba yao kama Rwanda wanatakiwa kutoa ushirikiano hata wa kijeshi washurutishwe kufanya hivyo kweny EAC then EAC forces zipigane na M23 not keep on going to blame Rwanda
Ila sisi ngozi nyeusi aliyeturoga atuhurumie aisee walau alegeze kamba kidogo.Congo solution ya matatizo yake italetwa na wacongo wenyewe,wengine wote wanaoenda pale wanafuata Per diem nzuri za UN, Geopolitics Influence,etc.
Imagine nchi Kama Burundi ambayo yenyewe tu nchini kwake hali yake ya usalama Ni tete eti inapeleka wanajeshi wake DRC kuwasaidia, South Sudan yenyewe ambayo inateseka na waasi wa Riek Machari mpk inategemea mission za UN ku-stabilize nchi yao nayo eti imepeleka Askari DRC.
Pale DRC Kuna Askari kutoka kila Kona ya dunia walioko chini ya mission za UN,lkn so far Matokeo Ni 0-0.
Ni mzaha huo.
Hakuna watu wabaguzi Kama waafrika mkuu,Ni vile tu sisi tunajua kulia Lia saaana.Ila sisi ngozi nyeusi aliyeturoga atuhurumie aisee walau alegeze kamba kidogo.
Mapigano ya wenyewe kwa wenyewe hayaishi,watu hawathamini damu za wenzao hata kidogo. Halafu tukibaguliwa kidogo tu tunalialia wakati wenyewe hatupendani.
Hakika umenena mkuuHata maji ya kunywa hamna, leo unataka kupigana vita isiyokuhusu
Kwani ikoje??[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji28]Tanzania ya Samia?
Tuwe siriaz kidogo
[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]Acheni mambo zenu, kwani wa congo man wako wapi kuipigania nchi yao.
Kazi kushinda kwenye vioo na kujikoboa sura.
Wajikusanye wakaipiganie nchi yao, siyo kucheza muziki na kukata mauno , alafu sisi ndiyo tukawapambanie vita yao.
Haya nendeni mkampige...kwa kosa la kufadhili magaidi wa m-23.
Vita 'isiyokuhusu'Hata maji ya kunywa hamna, leo unataka kupigana vita isiyokuhusu
Burundi pale ilipo ipo kwa ajili ya Tanzania,,kukosa TZ burundi zamani sana ingekua mikononi mwa watutsiSiyo empty huyu jamaa ndivyo alivyolelewa. Yeye taifa kwake ni Ututsi. Huyu ni mtutsi kwao mbari ndio kila kitu. Hivi sasa wanajua wanatawala rwanda na uganda. Burundi ilijikomboa toka makucha yao miaka michache. Binafsi naona kama congo bado wameishikilia kinamna. Tanzania enzi za nyerere walijaribu kupitia mapinduzi ya kijeshi.
Kwa ufupi hawa wadudu ni hatari kwenye eneo letu. Ni sawa na makaburu maana wakifanikiwa kuchukua madaraka nchini mwenu ni ubaguzi wa kimbari mbele kwa mbele tena hawajali kitu. Kila cheo ni wao wenyewe wakiita chef kabila zingine mnakua boi tu.
Afrika ya mashariki tujihadhari sana na tamaa ya madaraka ya watutsi