Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Muhoozi anafanya haya ili kumhakikishia mjomba wake (Kagame) wapo pamoja na Rwanda....hakuna tatizo lolote kufanya hivyo..Kipindi flani hawa Rwanda na Uganda wasingetamba hivi. Mimi nawaonea huruma sana DR Congo. Hawa miaka mingi wanachezewa.
Toka miaka ile na wakoloni na sasa Waafrika wenyewe kwa wenyewe. Tena wa hapahapa East Africa. Hapana kwa kweli. Ningekuwa na uwezo ningewasaidia Congo. Hawa wapuuzi wanaamini kwa East Africa wao ni untouchable.
Tunajua Ruto si mtu wa Vita. Anaonekana anapenda sana amani. Hajui wakati mwingine amani haipatikani isipokuwa kwa ncha ya Upanga. Basi ndo hivyo. Msome mtoto wa Museveni. Huyu jamaa kichwani empty sana. Basi tu.
View attachment 2434986
Kufanya hivi ni kuivuruga na kuivunja hii jumuiya.....Tanzania na Kenya wanatakiwa kuungana kumshughulikia Rwanda. Ikiwezekana watimuliwe ktk East African community.
..As long as Tanzania and Kenya do not speak with one voice, Rwanda,
lazima ataleta chokochoko.
Haaaaa sidiria la mafisadi linaweza kuendesha vita kweli tuache mizaa [emoji1787][emoji1787]Tanzania ya Samia?
Tuwe siriaz kidogo
Saizi yake ni maji na umeme msimwongezee vita nyingineKwani ikoje??[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji28]
Umeme na maji vinamtoa jasho yaani hajui hata pa kuanzia[emoji1787]Saizi yake ni maji na umeme msimwongezee vita nyingine
FDLR bado wapo na ni hatari kwa usalama wa Rwanda, hivyo watafuatwa popote walipo na anayewaunga mkono iwe kwa kuwahifadhi, fedha, siraha au mafunzo atambue hatapata usingizi.They don't exist now...limebaki chaka la PK
Hivi kwanini Congo yenyewe imeshindwa kua nchi tajiri?Bila congo, Rwanda ingekuwa kama Zanzibar kwa Tanzania
Mkuu,usii-underrate Rwanda,tambua kwasasa jeshi ni ajira,hakuna raia ambaye atatia mguu eti kujitolea asapoti Tanzania,badala yake wataachwa wanajeshi wenyewe waingie kwenye vita,na inaweza ikagharimu maisha yao sana,na huko kui-overrate Tanzania,kakaiponza nchi.Ndiyo maana nikasema, jukumu la kuwaondoa m23, apewe Tanzania pekee. Na si EAC.
Kenya anataka wote hao Rwanda , Congo na Uganda watumie Mombasa port, siku Tanzania akilivuruga kwa Rwanda ndio utajua wakenya sio watu, na Rwanda atapewa discount for 5 years kutumia Mombasa port, ni uchumi tuu hakuna cha amani ya Congo wala M23Rwanda mizigo yake 90% inapitia Bandari ya DSM na ndio mteja wa 2 anaepitisha mizigo mingi kwny Bandari hio.Swali,Je Kenya angekua tayari kupoteza mteja wa Bandari yake kwa Sababu ya DRC?
Je,Nini kimebadilika Leo ghafla mpk Kenya amekua interested na amani ya DRC?
Je,Tz inafurahia kupoteza influence yake DRC na kumuachia jukumu Hilo Kenya?
Akili kichwani.
Niliwahi kusoma sehemu Kenya wali side na makaburu na kuendelea kufanya nao biashara wakati kina Mandela wakiwa ndani na dunia nzima ikisisitiza vikwazo, siwalaumu lakini maslahi mbeleNi wakati wa tshesekedi kwenda upande wa SADC sasa kuomba msaada wa kijeshi,na ikitokea hivyo Tanzania itakua na monusco,EAC na SADC ndani ya kongo,jeshi la kenya linaweza kuwa mzigo mwingine ndani ya congo maana kenya iko kiinterest zaidi na si kiukombozi so wanaweza kufanya lolote lile ndani ya congo kwa maslahi yao
Nakubali mkuu,Kenya Ni mabepari haswaa.Kenya anataka wote hao Rwanda , Congo na Uganda watumie Mombasa port, siku Tanzania akilivuruga kwa Rwanda ndio utajua wakenya sio watu, na Rwanda atapewa discount for 5 years kutumia Mombasa port, ni uchumi tuu hakuna cha amani ya Congo wala M23
Naye si ndio nasikia anajeshi la kulinda amani DRC?Sasa kwa hali hii kweli kuna kitu kita fanyika hapo.
Akili za kibepari ziko hivyo,sie ujamaa mwingi ndio maana tupo hapa tulipo leo,tuna nguvu kubwa sana ndani ya congo kijeshi kuliko taifa lolote ndani ya maziwa makuu,lakini hamna tunachonufaika nacho huko ikiwa hata angola tu anaiba madini ya congoNiliwahi kusoma sehemu Kenya wali side na makaburu na kuendelea kufanya nao biashara wakati kina Mandela wakiwa ndani na dunia nzima ikisisitiza vikwazo, siwalaumu lakini maslahi mbele
TANZANIA YETU PENDWA ISIINGIZE MGUU HAPA KWA SABABU ZA KIUCHUMI, TUPO MTEGONI TUFANYE BIASHARA ZAIDI NA MAJIRANI WOTE, TUWE NGUZO YA USULUHISHI KWA PANDE ZOTE BILA KUBAGUA, YA KONGO TUYASIKILIZE TUSIMAMIE KWENYE UTATUZI PEKEE.Kipindi flani hawa Rwanda na Uganda wasingetamba hivi. Mimi nawaonea huruma sana DR Congo. Hawa miaka mingi wanachezewa.
Toka miaka ile na wakoloni na sasa Waafrika wenyewe kwa wenyewe. Tena wa hapahapa East Africa. Hapana kwa kweli. Ningekuwa na uwezo ningewasaidia Congo. Hawa wapuuzi wanaamini kwa East Africa wao ni untouchable.
Tunajua Ruto si mtu wa Vita. Anaonekana anapenda sana amani. Hajui wakati mwingine amani haipatikani isipokuwa kwa ncha ya Upanga. Basi ndo hivyo. Msome mtoto wa Museveni. Huyu jamaa kichwani empty sana. Basi tu.
View attachment 2434986
..Tanzania na Kenya wanatakiwa kuungana kumshughulikia Rwanda. Ikiwezekana watimuliwe ktk East African community.
..As long as Tanzania and Kenya do not speak with one voice, Rwanda,
lazima ataleta chokochoko.
Umenena kitu mkuu.Huyo Muhoozi huwa mnamuona yuko Timamu akilini kwa tweets zake?
Kwa umri huo kila kitu lazima amuhusishe baba yake hata vyeo hivyo hakuvipata kwa merit haijalishi kozi ngapi za kijeshi kaenda.
Tukija kwa huyo Kagame na Museveni hawa muda mrefu ni washirika na Muhoozi akimuita Kagame mjomba , hawa wote ni tanga tanga wameishi Kenya pia Tanzania kwa wakati fulani japo kwa M23 inafadhiliwa na Rwanda akisaidiwa na Uganda na wakiamini DRC ni kwa watutsi na wao wanaweza kupata mgao wa fedha za madini.
Madikteta wawili wasipoangaliwa ukanda unaenda kuwa wa machafuko ya kisiasa