Mtoto wa Museveni Kainerugaba atema cheche kuhusu Rwanda na DR Congo. Afrika Mashariki wanyamaza

Bila congo, Rwanda ingekuwa kama Zanzibar kwa Tanzania
 
Muhoozi anafanya haya ili kumhakikishia mjomba wake (Kagame) wapo pamoja na Rwanda....hakuna tatizo lolote kufanya hivyo..
imhotep
 
..Tanzania na Kenya wanatakiwa kuungana kumshughulikia Rwanda. Ikiwezekana watimuliwe ktk East African community.

..As long as Tanzania and Kenya do not speak with one voice, Rwanda,
lazima ataleta chokochoko.
Kufanya hivi ni kuivuruga na kuivunja hii jumuiya...

Rwanda kama jirani wa Drc lazima ahusishwe kwenye kutafuta suluhu na madai yake dhidi ya Drc yasikilizwe pia kwenye usuluhishi na sio kuitenga.

Suluhisho ni diplomasia tu.
zitto junior mtu chake
 
Na wao si Wana muwakilishi wao ndani ya Congo ADF NALU
Rwanda M23
 
They don't exist now...limebaki chaka la PK
FDLR bado wapo na ni hatari kwa usalama wa Rwanda, hivyo watafuatwa popote walipo na anayewaunga mkono iwe kwa kuwahifadhi, fedha, siraha au mafunzo atambue hatapata usingizi.
 
Huyu Jamaa na Dingi yake wanatucheza shere.

Nina mashaka anachoongea pia ndio mawazo ya Mzee wake.
 
Ndiyo maana nikasema, jukumu la kuwaondoa m23, apewe Tanzania pekee. Na si EAC.
Mkuu,usii-underrate Rwanda,tambua kwasasa jeshi ni ajira,hakuna raia ambaye atatia mguu eti kujitolea asapoti Tanzania,badala yake wataachwa wanajeshi wenyewe waingie kwenye vita,na inaweza ikagharimu maisha yao sana,na huko kui-overrate Tanzania,kakaiponza nchi.
 
Kenya anataka wote hao Rwanda , Congo na Uganda watumie Mombasa port, siku Tanzania akilivuruga kwa Rwanda ndio utajua wakenya sio watu, na Rwanda atapewa discount for 5 years kutumia Mombasa port, ni uchumi tuu hakuna cha amani ya Congo wala M23
 
Niliwahi kusoma sehemu Kenya wali side na makaburu na kuendelea kufanya nao biashara wakati kina Mandela wakiwa ndani na dunia nzima ikisisitiza vikwazo, siwalaumu lakini maslahi mbele
 
Nakubali mkuu,Kenya Ni mabepari haswaa.
 
Niliwahi kusoma sehemu Kenya wali side na makaburu na kuendelea kufanya nao biashara wakati kina Mandela wakiwa ndani na dunia nzima ikisisitiza vikwazo, siwalaumu lakini maslahi mbele
Akili za kibepari ziko hivyo,sie ujamaa mwingi ndio maana tupo hapa tulipo leo,tuna nguvu kubwa sana ndani ya congo kijeshi kuliko taifa lolote ndani ya maziwa makuu,lakini hamna tunachonufaika nacho huko ikiwa hata angola tu anaiba madini ya congo
 
TANZANIA YETU PENDWA ISIINGIZE MGUU HAPA KWA SABABU ZA KIUCHUMI, TUPO MTEGONI TUFANYE BIASHARA ZAIDI NA MAJIRANI WOTE, TUWE NGUZO YA USULUHISHI KWA PANDE ZOTE BILA KUBAGUA, YA KONGO TUYASIKILIZE TUSIMAMIE KWENYE UTATUZI PEKEE.
 
..Tanzania na Kenya wanatakiwa kuungana kumshughulikia Rwanda. Ikiwezekana watimuliwe ktk East African community.

..As long as Tanzania and Kenya do not speak with one voice, Rwanda,
lazima ataleta chokochoko.

Bora hiyo mbinu, lkn EAC yote ikiingia Congo, itakuwa ni kuzungukana tu.
 
Umenena kitu mkuu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…