TANZIA Mtoto wa mwanamziki Davido Afariki Dunia akiwa anaogelea

Nasubiri tamko kutoka kwa wazazi wa mtoto
 
Mbona inasemekana katoto kapo ICU Jamani..mna uhakika na mnachokileta hapa?
 
Mungu amfanyie wepesi katika kipindi hiki kigumu
 
Dibanj mtoto wake alifariki na Swimming Pool

Davido nae mtoto wake amefariki na Swimming Pool

Swali la kujiuliza ni hili 👇

Kuna nini kwenye Swimming Pool kinachopelekea vifo vya watoto hao?

JIBU: Kuna Maji Mengi

Usisahau umezaliwa ukiwa na uoga vitu viwili tu

1. Uoga wa Sauti kubwa
2. Uoga wa Kuanguka

Haujazaliwa na uoga wa kufa maana ukifa utazaliwa tena upya..

Asante kwa kuisoma comment hii
 
Wewe rekebisha hapo juu huyu ni mtoto wa kiume
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…