Vitabu viliandikwa na watu wenye upeo wa kawaida sana na ndomana vinajikanganya vyenyewe. Kifupi hekaya za adamu na uzao wake ni alfu lela ulela hazina uhalisia.Hata kaini alimwambia mungu amuweke alama ili atakapopita watu wasumdhuru tafakari ni
Kina nani?
Ficha ujinga wako.Mtoto wa myahudi Ibrahim hawezi zaa mwarabu.
Ishmael ni myahudi kwa baba.
Ndio maana yake. Hushangai?Kwa hiyo Ibrahim alikuwa mwarabu ndio maana Ishmael nae mwarabu?
akificha ata elimikajeFicha ujinga wako.
Ibrahim alitokea Iraq.......utajaza mwenyewe watu wa aina gani wanaishi Iraq.
SunaAndaa kabisa kalio.
Kama unataka kumuona mungu, mpokee yesu kuwa bwana na mwokozi wako, vinginevo utaishia jehanamu ya moto wa mileleHukuzisoma World wars, Cold War, Korean War, Vietnam war, hukusoma walichofanya makomunisti akina Stalin, Pol Pot, Mao na wenzao, Bolsheviks waliua mamilioni.
Kasome kitu inaitwa Holodomor.
Hitler alipowaua mayahudi milioni 6 sijui hujasikia habari zake. Akina Leopold wa pili. Dunia inakuwa sio salama zaidi akina nani wakipigana? Urusi na Ukraine wamepigana vita vinaanza kila mtu ana wasiwasi. Korea wakitaka kupigana kila mtu ana wasiwasi. Kwa sababu wanajua ni akina nani hasa ndio wanatishia zaidi kuichoma moto amani ya dunia. Hao mayahudi (mazayuni) wenyewe waliofukuzwa na wasio waarabu huko Ulaya wakakimbilia nchi ya watu mashariki ya kati ni waleta fujo na watu wenye kuleta uharibifu. Kasome tu /ka google Samson Option uone ni watu wa aina gani! Na usisahau Waarabu hawajawahi kutumia mabomu ya nyuklia hata kidogo.
Mola wetu Allah ametakasika
Ibrahim hakuwa mwarabu.Hivi kwani Ibrahim mwenyewe alikuwa mzungu? Ibrahim alikuwa mwarabu aliyezaliwa na kukulia Iraq wakati huo ikiitwa Babylon.
Ibrahim alihamia nchi nyengine ya waarabu inayoitwa Falastin akakaa hapo mpaka akafariki hapo.
Kwa hivyo mwarabu akihama nchi ndio anabadilika kuwa mzungu au? Hao Israel ni kabila tu ila ni waarabu pure.
Ni kama Mtanzania ahamie Ghana hapo utasema huyu sio muafrika?
Nyie wenzetu Wakristo muende mkapimwe kwanza akili zenu sio kwa umbumbumbu huu
Nikiangalia waarabu walivoitenda dunia nimekuja kujifunza Kumsikiliza mungu.
Akikwambia tulia kwene ndoa ana maanisha.
Akikwambia oa mke mmoja wewe na mkeo muwe mwili mmoja ana maanisha.
Ukitenda unayoyajua utaiumiza dunia na ukoo wako na kizazi chako.
Mtoto wa nje ya ndoa siyo
Poleni mliozaliwa nje ya ndoa ,, sina budi kuongea ukweli
Yyte achukuaye mwanamke hili ya kya ana mke anaziniIBRAHIM ANAAMBIWA MTOTO ATAKAYE MRITHI ATATOKA KATIKA VIUNO VYAKE
Mwanzo 15:4
Nalo neno la BWANA likamjia likinena, Huyu hatakurithi, bali atakayetoka katika viuno vyako ndiye atakayekurithi.
ISHMAEL NDIO MTOTO ALIYETOKANA NA VIUNO VYA IBRAHIM
Mwanzo 16:2
Sarai akamwambia Abramu, Basi sasa, BWANA amenifunga tumbo nisizae, umwingilie mjakazi wangu labda nitapata uzao kwa yeye. Abramu akaisikiliza sauti ya Sarai.
Mwanzo 16:4
Basi akamwingilia Hajiri, naye akapata mimba. Naye alipoona ya kwamba amepata mimba, bibi yake alikuwa duni machoni pake.
MUNGU ANATOA BARAKA KWA ISHMAEL
Mwanzo 16:11
Malaika wa BWANA akamwambia, Tazama! Wewe una mimba, utazaa mwana wa kiume, nawe utamwita jina lake Ishmaeli, maana BWANA amesikia kilio cha mateso yako.
Mwanzo 16:12
Naye atakuwa kama punda-mwitu kati ya watu, mkono wake utakuwa juu ya watu wote na mkono wa watu wote utakuwa juu yake, naye atakaa mbele yao ndugu zake wote.
IBRAHIM YUPO SAUDI ARABIA NA ANAMUOMBA MUNGU UWE MJI WA AMANI
Quran 2:126
Na alipo sema Ibrahim: Ee Mola wangu Mlezi! Ufanye huu uwe mji wa amani, na uwaruzuku watu wake matunda, wale wanao muamini Mwenyezi Mungu na Siku ya Mwisho. Akasema:
IBRAHIM NA MWANA WE ISHMAEL WANAJENGA MSIKITI WA MAKA
Quran 2:127
Na kumbukeni Ibrahim na Ismail walipo inyanyua misingi ya ile Nyumba wakaomba: Ewe Mola Mlezi wetu! Tutakabalie! Hakika Wewe ndiye Msikizi Mjuzi.
IBRAHIM ANAMUOMBA MUNGU ALETE MTUME PALE SAUDI ARABIA
Quran 2:129
Ewe Mola Mlezi wetu! Waletee Mtume anaye tokana na wao, awasomee Aya zako, na awafundishe Kitabu na hikima na awatakase. Hakika Wewe ndiye Mwenye nguvu, Mwenye hikima.
Nahi nakupa kama zawadi utabiri wa mtume MUHAMMAD katika mabii wa kale Tema ni jina la mtoto wa Nabii Ishmael baadae likawa jina la mji na huo mji ndio Saudi Arabia ya Sasa
Habakuki 3:3
Mungu alikuja kutoka Temani, Yeye aliye mtakatifu kutoka mlima Parani. Utukufu wake ukazifunika mbingu, Nayo dunia ikajaa sifa yake.
Sasa nyinyi wagalatia endeleeni tu kudanganywa na Wazungu
kweliWaarabu wa Saudia, UAE, Kuwait hawajilipui
Kwahiyo IBRAHIM alikuwa mzinifu?Yyte achukuaye mwanamke hili ya kya ana mke anazini
Mtoto anaweza zaliwa katika uzinifu pia hiyo n natural law
Hapa Walokele na wafia Israel wasipokuelewa basi kamwe hawataelewaIBRAHIM ANAAMBIWA MTOTO ATAKAYE MRITHI ATATOKA KATIKA VIUNO VYAKE
Mwanzo 15:4
Nalo neno la BWANA likamjia likinena, Huyu hatakurithi, bali atakayetoka katika viuno vyako ndiye atakayekurithi.
ISHMAEL NDIO MTOTO ALIYETOKANA NA VIUNO VYA IBRAHIM
Mwanzo 16:2
Sarai akamwambia Abramu, Basi sasa, BWANA amenifunga tumbo nisizae, umwingilie mjakazi wangu labda nitapata uzao kwa yeye. Abramu akaisikiliza sauti ya Sarai.
Mwanzo 16:4
Basi akamwingilia Hajiri, naye akapata mimba. Naye alipoona ya kwamba amepata mimba, bibi yake alikuwa duni machoni pake.
MUNGU ANATOA BARAKA KWA ISHMAEL
Mwanzo 16:11
Malaika wa BWANA akamwambia, Tazama! Wewe una mimba, utazaa mwana wa kiume, nawe utamwita jina lake Ishmaeli, maana BWANA amesikia kilio cha mateso yako.
Mwanzo 16:12
Naye atakuwa kama punda-mwitu kati ya watu, mkono wake utakuwa juu ya watu wote na mkono wa watu wote utakuwa juu yake, naye atakaa mbele yao ndugu zake wote.
IBRAHIM YUPO SAUDI ARABIA NA ANAMUOMBA MUNGU UWE MJI WA AMANI
Quran 2:126
Na alipo sema Ibrahim: Ee Mola wangu Mlezi! Ufanye huu uwe mji wa amani, na uwaruzuku watu wake matunda, wale wanao muamini Mwenyezi Mungu na Siku ya Mwisho. Akasema:
IBRAHIM NA MWANA WE ISHMAEL WANAJENGA MSIKITI WA MAKA
Quran 2:127
Na kumbukeni Ibrahim na Ismail walipo inyanyua misingi ya ile Nyumba wakaomba: Ewe Mola Mlezi wetu! Tutakabalie! Hakika Wewe ndiye Msikizi Mjuzi.
IBRAHIM ANAMUOMBA MUNGU ALETE MTUME PALE SAUDI ARABIA
Quran 2:129
Ewe Mola Mlezi wetu! Waletee Mtume anaye tokana na wao, awasomee Aya zako, na awafundishe Kitabu na hikima na awatakase. Hakika Wewe ndiye Mwenye nguvu, Mwenye hikima.
Nahi nakupa kama zawadi utabiri wa mtume MUHAMMAD katika mabii wa kale Tema ni jina la mtoto wa Nabii Ishmael baadae likawa jina la mji na huo mji ndio Saudi Arabia ya Sasa
Habakuki 3:3
Mungu alikuja kutoka Temani, Yeye aliye mtakatifu kutoka mlima Parani. Utukufu wake ukazifunika mbingu, Nayo dunia ikajaa sifa yake.
Sasa nyinyi wagalatia endeleeni tu kudanganywa na Wazungu
Pole KONDOO vipi mkia ushajaa mafuta?ibrahim angetulia, dunia hii ingekuwa salama na ya amani sana bila waarabu wala uislam.
vp na wewe mwafrica ulitoka wapi....hamna sehemu historia inakutambua...Nikiangalia waarabu walivoitenda dunia nimekuja kujifunza Kumsikiliza mungu.
Akikwambia tulia kwene ndoa ana maanisha.
Akikwambia oa mke mmoja wewe na mkeo muwe mwili mmoja ana maanisha.
Ukitenda unayoyajua utaiumiza dunia na ukoo wako na kizazi chako.
Mtoto wa nje ya ndoa siyo
Poleni mliozaliwa nje ya ndoa ,, sina budi kuongea ukweli
alichepuka na house girl, wakazaliwa waishmael (waarabu) ambao walikuja kuanzisha dini ya kiislam inayosumbua amani ya dunia kila siku.Ibrahim anahusika vipi hapo ?
Nikiangalia waarabu walivoitenda dunia nimekuja kujifunza Kumsikiliza mungu.
Akikwambia tulia kwene ndoa ana maanisha.
Akikwambia oa mke mmoja wewe na mkeo muwe mwili mmoja ana maanisha.
Ukitenda unayoyajua utaiumiza dunia na ukoo wako na kizazi chako.
Mtoto wa nje ya ndoa siyo. Poleni mliozaliwa nje ya ndoa, sina budi kuongea ukweli