Mtoto wa Nyerere afukuzwa tena Butiama

Mtoto wa Nyerere afukuzwa tena Butiama

Mtoto gani wa Nyerere ana nyumba
Butiama? Watoto wa baba wa Taifa hapo kijijini wanafugwa na Maria Nyerere!
Ni kweli wanaishi na mama yao kahela kote anapata yule Mama zinaishia kutunza mijitu mizima yente familia zao na wajukuu na vitukuu

Wakati ajira walishawahi kupata tena nzuri tu kama watanzania wenzao lakini wao kujitegemea imeshindikana tofauti na watoto wa maraisi wengine kama Mwinyi kikwete,Magufuli na Samia
 
Hii imetokea jana Jumamosi baada ya mtoto wa Nyerere kukuta askari polisi wa kituo cha Butiama wameizingira nyumba yake na kuweka ulinzi mkali na kumzuia kuingia ndani.
Mtoto wa Nyerere ametoroka Butiama bila begi,ameondoka na nguo tu alizovaa. Sasa yupo Mwanza anasubiri kurudi Dar .
Hii imetokea jana baada ya wanakijiji kufanya mkutano chini ya mbuyu katika shule ya msingi Butiama na mtoto wa Nyerere kutuhumiwa kuwahujumu watoto wa shule ya msingi.
Naomba kuwasilisha.
Kuwahujumu uchumi au
 
Mtoto huyu wa Baba wa Taifa, atakuwa ni Andrew tuu, huyu ni issue, anapaswa kuwa handled with care. Familia zote watoto wote hawawezi kufanana, mkiisha jijua mna mtoto mmoja ambaye ni issue, watu wote wa familia wakiwemo walinzi, wanakuwa notified to be very careful during kipindi cha mwezi mpevu, anacharuka, dawa sio kumjia juu au kumuwekea vikao vya kijiji, kifamilia au kumripoti polisi, dawa is to handle him delicately with maximum care, atatulia na maisha yataendelea!.

Lakini pia kwa vile Andrew ni member mwenzetu humu, wana jf we have a duty of care kumsaidia na kuwasaidia watu kama hawa.

Mimi ni miongoni mwa self proclaimed mshauri nasaha wa kujitolea, nimeisha saidia wengi kwa ushauri wangu humu, akiwemo yule Blaza wangu aliyetagulia, naye alikuwa issue, jf tumemsaidia sana.

Andrew ni issue, tumsaidie!. Insane Anahitaji Huruma, Kusaidiwa. Sio Kulaumiwa, Kulaaniwa na Kususwa! He Needs Help, Tumsaidieje?

P
tudili nao tu, ila tuwe na jicho la shukran, baba yao alifanya makubwa sana, na aliwasacrifice hata wao kwa ajili ya nchi hii. tukumbuke tulikotoka.
 
Mtoto huyu wa Baba wa Taifa, atakuwa ni Andrew tuu, huyu ni issue, anapaswa kuwa handled with care. Familia zote watoto wote hawawezi kufanana, mkiisha jijua mna mtoto mmoja ambaye ni issue, watu wote wa familia wakiwemo walinzi, wanakuwa notified to be very careful during kipindi cha mwezi mpevu, anacharuka, dawa sio kumjia juu au kumuwekea vikao vya kijiji, kifamilia au kumripoti polisi, dawa is to handle him delicately with maximum care, atatulia na maisha yataendelea!.

Lakini pia kwa vile Andrew ni member mwenzetu humu, wana jf we have a duty of care kumsaidia na kuwasaidia watu kama hawa.

Mimi ni miongoni mwa self proclaimed mshauri nasaha wa kujitolea, nimeisha saidia wengi kwa ushauri wangu humu, akiwemo yule Blaza wangu aliyetagulia, naye alikuwa issue, jf tumemsaidia sana.

Andrew ni issue, tumsaidie!. Insane Anahitaji Huruma, Kusaidiwa. Sio Kulaumiwa, Kulaaniwa na Kususwa! He Needs Help, Tumsaidieje?

P

Na wasiwasi huenda Andrew ndio kaandika huu uzi, his ways and style of reporting matukio iko hivi hivi, anahitaji msaada mkubwa sana..!
 
Back
Top Bottom