Mtoto wa Rais Samia, Abdul ana cheo gani Serikalini/Wizara ya Nishati hadi akutane na Rais Museveni?

#MamaYupoKazini
 
Nasisitiza kama dogo Yuko vzr kichwani acha atuwakilishe isije sikawa akili za Kama maza ake
 
Mama nampenda sana tena sana.
Ila natofautiana nae kwenye maamuzi kama haya ya bandari na upendeleo wa zanzibar.
Mama atambue hadi vijijini wanafahamu kila kitu kuhusu madudu yake.
Uchaguzi ujao utakuwa mgumu sana kwake.
Historia nyingine itaandikwa maana kwa mara ya kwanza kutakuwa na serikali ya mseto
Nchi hii upendeleo hautoisha,Mzee wa Msoga alipendelea timu yake. Hii ilikuwa mbaya lakini sio sana maana hakuligawa Taifa. Alipoingia JPM akasema haa maisha si ndio haya huyu wa Msoga si aliweka watu wake.Akapendelea Kabila lake na kuwajaza katiko vitengo vingi vya serikali. Nae Mama ameingia akajiuliza mbona JPM alifanya hivi mpaka kwenye TISS. Ngoja na mimi nijaze wa visiwani wenzangu. Nchi zote duniani zinaendeshwa kihistoria, hata ukiangalia nchi nyingi ambazo marais wamepinduliwa. Uhuru wao ulipatikana kwa kumwaga damu. Marekani hadi leo ina matatizo ya ubaguzi wa rangi kwa sababu ya historia yao.Kwa hio ili tulitibu hili tatizo suluhisho ni kuwa tuwe na maono na dira ya muda mrefu. Maana kwa sasa kila mtu akipata Urais anawaza afanya yake maisha yaende.
 
Hili nalo la ni ajenda tayari, kuzunguka nchi nzima kulitangaza.

Tunajua mengi. Ukweli utawala wa sasa hivi upo zaidi kwaajili ya kuvuna kuliko kitu kingine chochote. Urais na Serikali na rasilimali zote vimefanywa mali ya familia na hivyo kufanya chochote wanachojisikia.
 
Kuna upendeleo gani? Wewe umekatazwa kwenda kuwekeza Uganda?
 
Tunajua mengi. Ukweli utawala wa sasa hivi upo zaidi kwaajili ya kuvuna kuliko kitu kingine chochote. Urais na Serikali na rasilimali zote vimefanywa mali ya familia na hivyo kufanya chochote wanachojisikia.
Tupe uthibitisho
 
M7 naye hana siri mtu mzima hovyo,[emoji28][emoji28]

Mseven kafanya makusudi. Mtoto mwenyewe, akili kibaba. Mseven ameona kuwa amedhalilishwa. Alijua anakutana na mtu wa maana mwenye uelewa, lakini akapelekewa mtu asiyejua chochote, sifa kubwa aliyo nayo, eti mtoto wa Rais.
 
Ameuza wapi ,kwa nani ,kwa shilingi ngapi,kwa mkataba upi,wewe umeuzwa kwa shilingi ngapi,malipo yamefanyika kupitia benki gani ,akaunti namba gani, malipo yalifanyika tarehe gani,wapokeaji ni akina nani na mazungumzo ya mazishi yalifanyikia wapi. Kama huna majibu ya hayo basi ni bora ukafunga mdomo wako hapa.
Very poor analysis and understanding from mind crippled. Halafu unaona umeuliza maswali ya maana. Hopeless kabisa. Fikra zako duni zinakufanya uelewe kuwa kuuzwa kwa nchi ni sawa na kuuza nyanya au kuku. Pole sana kwa uelewa na ypeo duni.
 
Nchi imeuzwa kwa nani! Acheni upotoshaji wenu wa kitoto
 
👇
Screenshot_20230813-101720.jpg
 
Tunajua mengi. Ukweli utawala wa sasa hivi upo zaidi kwaajili ya kuvuna kuliko kitu kingine chochote. Urais na Serikali na rasilimali zote vimefanywa mali ya familia na hivyo kufanya chochote wanachojisikia.
Uongozi wa Rais samia umekuwa baraka kwa watanzania kwa mamilioni.ndio maana unaona ni wakati wa mama samia ambapo wakulima , wafanyabishara, watumishi wa umma ,vijana , akina mama wakinufaika na fursa mbalimbali za kiuchumi hapa nchini.Ni wakati huu ambapo uchumi wetu unaendelea kufanya vizuri,ni wakati huu ambapo viwango vya furaha mitaani vinaendelea kuongezeka katika mioyo ya watanzania
 
Nchi hii upendeleo hautoisha,Mzee wa Msoga alipendelea timu yake. Hii ilikuwa mbaya lakini sio sana maana hakuligawa Taifa. Alipoingia JPM akasema haa maisha si ndio haya huyu wa Msoga si aliweka watu wake.Akapendelea Kabila lake na kuwajaza katiko vitengo vingi vya serikali. Nae Mama ameingia akajiuliza mbona JPM alifanya hivi mpaka kwenye TISS. Ngoja na mimi nijaze wa visiwani wenzangu. Nchi zote duniani zinaendeshwa kihistoria, hata ukiangalia nchi nyingi ambazo marais wamepinduliwa. Uhuru wao ulipatikana kwa kumwaga damu. Marekani hadi leo ina matatizo ya ubaguzi wa rangi kwa sababu ya historia yao.Kwa hio ili tulitibu hili tatizo suluhisho ni kuwa tuwe na maono na dira ya muda mrefu. Maana kwa sasa kila mtu akipata Urais anawaza afanya yake maisha yaende.
Katika serikali ya Rais samia hakuna upendeleo wa aina yoyote ile ndio maana watu wanateuliwa serikalini kutoka kila mkoa ,kila dini ,kila eneo ,hata wasio na dini .kinachoangaliwa na kuzingatiwa na uwezo wa mtu kisifa na uwezo wa kumudu majukumu ya kazi husika.vyeo havigawiwi kama karanga bali ni kwa kuzingatia sifa na vigezo.Ni wakati huu tunaona watu mbalimbali bila kujali familia zao wakipata nafasi ndani ya serikali.
 
Back
Top Bottom