Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Upumbavu wa ukoo wako usiulete humu, humu kuna watu wenye akili,sio wenye laana kama wewe.Hili nalo la ni ajenda tayari, kuzunguka nchi nzima kulitangaza.
Nchi hii upendeleo hautoisha,Mzee wa Msoga alipendelea timu yake. Hii ilikuwa mbaya lakini sio sana maana hakuligawa Taifa. Alipoingia JPM akasema haa maisha si ndio haya huyu wa Msoga si aliweka watu wake.Akapendelea Kabila lake na kuwajaza katiko vitengo vingi vya serikali. Nae Mama ameingia akajiuliza mbona JPM alifanya hivi mpaka kwenye TISS. Ngoja na mimi nijaze wa visiwani wenzangu. Nchi zote duniani zinaendeshwa kihistoria, hata ukiangalia nchi nyingi ambazo marais wamepinduliwa. Uhuru wao ulipatikana kwa kumwaga damu. Marekani hadi leo ina matatizo ya ubaguzi wa rangi kwa sababu ya historia yao.Kwa hio ili tulitibu hili tatizo suluhisho ni kuwa tuwe na maono na dira ya muda mrefu. Maana kwa sasa kila mtu akipata Urais anawaza afanya yake maisha yaende.Mama nampenda sana tena sana.
Ila natofautiana nae kwenye maamuzi kama haya ya bandari na upendeleo wa zanzibar.
Mama atambue hadi vijijini wanafahamu kila kitu kuhusu madudu yake.
Uchaguzi ujao utakuwa mgumu sana kwake.
Historia nyingine itaandikwa maana kwa mara ya kwanza kutakuwa na serikali ya mseto
Hili nalo la ni ajenda tayari, kuzunguka nchi nzima kulitangaza.
Kuna upendeleo gani? Wewe umekatazwa kwenda kuwekeza Uganda?Nchi hii upendeleo hautoisha,Mzee wa Msoga alipendelea timu yake. Hii ilikuwa mbaya lakini sio sana maana hakuligawa Taifa. Alipoingia JPM akasema haa maisha si ndio haya huyu wa Msoga si aliweka watu wake.Akapendelea Kabila lake na kuwajaza katiko vitengo vingi vya serikali. Nae Mama ameingia akajiuliza mbona JPM alifanya hivi mpaka kwenye TISS. Ngoja na mimi nijaze wa visiwani wenzangu. Nchi zote duniani zinaendeshwa kihistoria, hata ukiangalia nchi nyingi ambazo marais wamepinduliwa. Uhuru wao ulipatikana kwa kumwaga damu. Marekani hadi leo ina matatizo ya ubaguzi wa rangi kwa sababu ya historia yao.Kwa hio ili tulitibu hili tatizo suluhisho ni kuwa tuwe na maono na dira ya muda mrefu. Maana kwa sasa kila mtu akipata Urais anawaza afanya yake maisha yaende.
Tupe uthibitishoTunajua mengi. Ukweli utawala wa sasa hivi upo zaidi kwaajili ya kuvuna kuliko kitu kingine chochote. Urais na Serikali na rasilimali zote vimefanywa mali ya familia na hivyo kufanya chochote wanachojisikia.
M7 naye hana siri mtu mzima hovyo,[emoji28][emoji28]
Unamaanisha familia nzima hakuna mwenye cheti hata cha form 4?Kwa kumtizama tu, huyo hata cheti Cha form 4 Hana!!
Very poor analysis and understanding from mind crippled. Halafu unaona umeuliza maswali ya maana. Hopeless kabisa. Fikra zako duni zinakufanya uelewe kuwa kuuzwa kwa nchi ni sawa na kuuza nyanya au kuku. Pole sana kwa uelewa na ypeo duni.Ameuza wapi ,kwa nani ,kwa shilingi ngapi,kwa mkataba upi,wewe umeuzwa kwa shilingi ngapi,malipo yamefanyika kupitia benki gani ,akaunti namba gani, malipo yalifanyika tarehe gani,wapokeaji ni akina nani na mazungumzo ya mazishi yalifanyikia wapi. Kama huna majibu ya hayo basi ni bora ukafunga mdomo wako hapa.
Nchi imeuzwa kwa nani! Acheni upotoshaji wenu wa kitotoVery poor analysis and understanding from mind crippled. Halafu unaona umeuliza maswali ya maana. Hopeless kabisa. Fikra zako duni zinakufanya uelewe kuwa kuuzwa kwa nchi ni sawa na kuuza nyanya au kuku. Pole sana kwa uelewa na ypeo duni.
Uongozi wa Rais samia umekuwa baraka kwa watanzania kwa mamilioni.ndio maana unaona ni wakati wa mama samia ambapo wakulima , wafanyabishara, watumishi wa umma ,vijana , akina mama wakinufaika na fursa mbalimbali za kiuchumi hapa nchini.Ni wakati huu ambapo uchumi wetu unaendelea kufanya vizuri,ni wakati huu ambapo viwango vya furaha mitaani vinaendelea kuongezeka katika mioyo ya watanzaniaTunajua mengi. Ukweli utawala wa sasa hivi upo zaidi kwaajili ya kuvuna kuliko kitu kingine chochote. Urais na Serikali na rasilimali zote vimefanywa mali ya familia na hivyo kufanya chochote wanachojisikia.
Katika serikali ya Rais samia hakuna upendeleo wa aina yoyote ile ndio maana watu wanateuliwa serikalini kutoka kila mkoa ,kila dini ,kila eneo ,hata wasio na dini .kinachoangaliwa na kuzingatiwa na uwezo wa mtu kisifa na uwezo wa kumudu majukumu ya kazi husika.vyeo havigawiwi kama karanga bali ni kwa kuzingatia sifa na vigezo.Ni wakati huu tunaona watu mbalimbali bila kujali familia zao wakipata nafasi ndani ya serikali.Nchi hii upendeleo hautoisha,Mzee wa Msoga alipendelea timu yake. Hii ilikuwa mbaya lakini sio sana maana hakuligawa Taifa. Alipoingia JPM akasema haa maisha si ndio haya huyu wa Msoga si aliweka watu wake.Akapendelea Kabila lake na kuwajaza katiko vitengo vingi vya serikali. Nae Mama ameingia akajiuliza mbona JPM alifanya hivi mpaka kwenye TISS. Ngoja na mimi nijaze wa visiwani wenzangu. Nchi zote duniani zinaendeshwa kihistoria, hata ukiangalia nchi nyingi ambazo marais wamepinduliwa. Uhuru wao ulipatikana kwa kumwaga damu. Marekani hadi leo ina matatizo ya ubaguzi wa rangi kwa sababu ya historia yao.Kwa hio ili tulitibu hili tatizo suluhisho ni kuwa tuwe na maono na dira ya muda mrefu. Maana kwa sasa kila mtu akipata Urais anawaza afanya yake maisha yaende.