Vimalj hivyo hivyo kuna watu wanaachiwa obay,masaki na kwengineko mzee akingoka kila mtu tuuze tuuzeHukuachiwa mali uliachiwa vimali isee mali za urithi wanaachiwa kina riz moko na hao kina abdu..!
Ukiona watu wanashinikiza kilichoachwa kiuzwe maana yake ni cha ngama hicho..Vimalj hivyo hivyo kuna watu wanaachiwa obay,masaki na kwengineko mzee akingoka kila mtu tuuze tuuze
Ova
Hapana tunatamaa hatuna umoja wala ushirikianoUkiona watu wanashinikiza kilichoachwa kiuzwe maana yake ni cha ngama hicho..
Wenzetu wahindi waarabu wanaweza kujichanga MandeUkiona watu wanashinikiza kilichoachwa kiuzwe maana yake ni cha ngama hicho..
Sio swala la tamaa hapo maana yake vilivyopo havitoshi wewe umeshawai sikia watoto wa rais Tanzania wanagombea mali au kugawana au kuuza..maana yake wanazo za kutosha na kuwakidhi.Hapana tunatamaa hatuna umoja wala ushirikiano
Ova
Kaka kwanza nakupongeza, watu wajifunze kujibi kupitia wewe mi sijamtetea mama, ila nimeona TAJITAHIDI kuangalia mazingira sahihi Kuna choo hapo huwezi ENDA kula humo ndo mfano wangu juu ya kuangalia mazingira sahihi ya kumuongelea huyo kijana.Wivu ni jambo moja na kukemea wizi ni jambo lingine.
Kama ambavyo kumwonea wivu huyu kijana haikubaliki, ndivyo hivyo pia kunyamazia mapato yasiyo yasiyojulikana chanzo chake haikubaliki.
Tutakuwa tunajenga precedence mbaya sana kama tutaubomoa utamaduni wa kuhoji viongozi na watumishi wa umma wamepata wapi mali zao. Jambo hilo litakuwa ni hatua moja tu kuelekea kufuta sheria ya maadili ya viongozi.
Wivu na wizi vyote havikubaliki. Lakini kumsingizia kwa mambo ambayo hajafanya nayo pia haikubaliki.
Kaka UNAWEZA kuwa na hoja ukishleta mambo ya uzanzibar unaharibu tayari, nimeishia hapo huo ni ubaguzi siku NYINGINE tafadhali usiseme neno mzanzibara alafu ukasema neno mtanzania unaharibu sana sentensi Moja tu imeharibu comment yote sijaisomaMbona kabla ya mama yake kuwa raisi alikuwa hajulikani na alikuwa haendeshi magari ya kifahari?so waache wafu waseme rasilimali za nchi ya Tanzania zinaibiwa na wanzibari.watanzania tumekuwa wajinga sana.mali zetu zinaibiwa halafu sisi wenye nchi yetu tunaangalia na kushabikia ujinga.tutakuja kulia huko mbeleni endeleeni na ushabiki wenu ndio maana wakenya wanatuona Mabwege.
Kwanini mumuanike huyo kijana? Mbona kipind kile hamkumdiscuss sana umekaribia uchaguzi ndo shida imeanzia hapo, mnakosea sana kama mti una shida toa mzizi sio ukate matawi na mti uhutaki mkuu, huyo kijana anapewa hela na mama yake ni haki yake mbona we unwapa watoto wako hela?Mkuu kwa nn asiwe na amani wakat kachuma kwa jasho lake? Kwa nn ajifiche fiche
Mnatongozana nini huu Uzi si wakutingozana jiheshimuni basi ni zinaa tu zimewajaa vichwani
Fullstop, kwishaaa
Wala sina shida ya kuwajua watu ambao hawana huruma na watoto wa wengineo niwajie iwe nini, furaha yenu nikuona watoto wa mitaani wanaongezeka kisa wazazi wao wawarizishe nyie eti Wana maisha simpo, usikute hata we unatamani mwanao umpe gari shida kipatoWewe mwenye mawazo machafu ndiyo unaona tunatongozana.
Hunijui. Humjui Aminata. Hujui historia ya mazungumzo haya. Hujui chochote unafikiri kwa kuwa wewe unaendeshwa kwa nyegenyege tu kila mtu yuko hivyo.
Bloody guluguja.
Wewe mwenye mawazo machafu ndiyo unaona tunatongozana.
Hunijui. Humjui Aminata. Hujui historia ya mazungumzo haya. Hujui chochote unafikiri kwa kuwa wewe unaendeshwa kwa nyegenyege tu kila mtu yuko hivyo.
Bloody guluguja.
Eti kijana wa masaki, mumepajuaje huko, au ndo machimbo yako kwa zile shughuli zenu wakina FulaniWewe bro alex na nilikuwa nakusuburi unijibu na umetumia akili kunijubu pembeni ili nisipate notification.
Nyie vijana wa Masaki mnapenda kukasirisha watu ili wawatukane na wanonekane hawana akili kama nyie.
Jibu langu pekee kwako ni HAHAHA HAHAHA HA !!!
Kwa hiyo kila polepole anacho sema umeamini dada ake, umenisikitisha sana Yani nawe unashikwa masikio na polepole alafu ulivo huna aibu, umesikiliza kule unakuja kusimulia watu dah matatizo yako si madogo any way, kampuni la lake oil walisema ni la kikwete ndo miliki na jina lake limeandikwabadae ikaja julikana ni la ally awadh we badogo tu hujajifunza? Umenisikitisha sanaPole sana kwa kusumbuliwa na huyo kijana. Anajua vizuri. Hawa vijana wa Masaki wanaukaribu sana na hao watu Polepole aliosema wanafuwataga watu kwenye magari na kujifanya wanawinda -- they know everything -- lakini ili aonyeshe ubabe anajibu chochote tu ili asionekane kama ananiogopa.
Eti kijana wa masaki, mumepajuaje huko, au ndo machimbo yako kwa zile shughuli zenu wakina Fulani
Fullstop, kwishaaaa