Mtoto wa Rais Samia, Wanu Hafidh Ashinda Tuzo ya Mwanamke Mahiri Zanzibar

Mtoto wa Rais Samia, Wanu Hafidh Ashinda Tuzo ya Mwanamke Mahiri Zanzibar

Stephano Mgendanyi

JF-Expert Member
Joined
May 16, 2020
Posts
2,833
Reaction score
1,301

MTOTO WA RAIS SAMIA, WANU HAFIDH ASHINDA TUZO YA MWANAMKE MAHIRI ZANZIBAR

Mwenyekiti wa Taasisi ya Mwanamke Initiative ambae pia ni Mbunge wa Viti Maalum Mheshimiwa Wanu Hafidh Ameir amenyakua tuzo ya mwanamke mahiri katika kipengele cha mtendaji bora wa taasisi kwa mwaka katika kuchochea shughuli za maendeleo kwa jamii.

Mhe. Wanu ambaye ni mtoto wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan amekuwa miongoni mwa wanawake washindi 17 waliopatiwa tuzo hizo ambazo hutambua mchangao wa mwanamke katika kuleta matokeo chanya.

Mhe. Wanu anasema kufanyika kwa tunzo hizo kunaibua ari na ujasiri kwa wanawake wote nchini kufanya juhudi katika kufanikisha mipango mbalimbali kwa maslahi ya Jamii zao.

GBD9EYbW4AU4Af5.jpg

GBD9EYXWAAAgXhA.jpg
 

MTOTO WA RAIS SAMIA, WANU HAFIDH ASHINDA TUZO YA MWANAMKE MAHIRI ZANZIBAR

Mwenyekiti wa Taasisi ya Mwanamke Initiative ambae pia ni Mbunge wa Viti Maalum Mheshimiwa Wanu Hafidh Ameir amenyakua tuzo ya mwanamke mahiri katika kipengele cha mtendaji bora wa taasisi kwa mwaka katika kuchochea shughuli za maendeleo kwa jamii

Mhe. Wanu ambaye ni mtoto wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan amekuwa miongoni mwa wanawake washindi 17 waliopatiwa tuzo hizo ambazo hutambua mchangao wa mwanamke katika kuleta matokeo chanya

Mhe. Wanu anasema kufanyika kwa tunzo hizo kunaibua ari na ujasiri kwa wanawake wote nchini kufanya juhudi katika kufanikisha mipango mbalimbali kwa maslahi ya Jamii zao
Ushindi wake unatokana na mzazi wake kwa sababu huko nyuma hakusikika. Hata kaka yake ana jina kubwa serikalini ingawa hana cheo kinachofahamika.
 
Back
Top Bottom