Mtoto wa Rais Samia, Wanu Hafidh Ashinda Tuzo ya Mwanamke Mahiri Zanzibar

Mama anaupiga mwingi. Kama hajaolewa nitajitosa kwenye mchuano wa kumpata. Lazima nitashinda. JF itapata mwakilishi kwenye familia ya Rais. Kina Mpwayungu Village , popoma GENTAMYCINE , mrangi , Erythrocyte , Nifah na wengine wote mtakuwa mnakuja Ikulu kumsalimia member mwenzenu mkiongozwa na komredi Lucas mwashambwa... ikumbukwe mtoto wa Rais ni rais wa watoto wote.
Mwenzako nimeshakutangulia, jiandae kuja kunisalimia Ikulu wakati unasikilizia mchongo wako utiki. Lols
Natania Mkuu, fanya hima nami ndugu yako nije kula ubwabwa kama Yanga walivyokula, niliutamani kweli yani.
 
Litoto lizuri kweli. Nitakubaliwa mimi mtutsi mtanzania nikipeleka mahari Zenji? Au nami nitabaguliwa kama machogo wa bara?
 
MTOTO WA RAIS SAMIA, WANU HAFIDH ASHINDA TUZO YA MWANAMKE MAHIRI ZANZIBAR

Mwenyekiti wa Taasisi ya Mwanamke Initiative ambae pia ni Mbunge wa Viti Maalum Mheshimiwa Wanu Hafidh Ameir amenyakua tuzo ya mwanamke mahiri katika kipengele cha mtendaji bora wa taasisi kwa mwaka katika kuchochea shughuli za maendeleo kwa jamii.

Mhe. Wanu ambaye ni mtoto wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan amekuwa miongoni mwa wanawake washindi 17 waliopatiwa tuzo hizo ambazo hutambua mchangao wa mwanamke katika kuleta matokeo chanya.

Mhe. Wanu anasema kufanyika kwa tunzo hizo kunaibua ari na ujasiri kwa wanawake wote nchini kufanya juhudi katika kufanikisha mipango mbalimbali kwa maslahi ya Jamii zao.

View attachment 2840418
View attachment 2840420
Mmmh!
I reserve my comment.
 
huyu ndio mke wa mchengerwa au ni mwingine?
 
Ila ni mrembo
 
Back
Top Bottom