fanya mapenzi umalize nyege zilizotokozea mpaka machoni. wa kawaida sana.She is beautiful..
Ni mbwa au watu!! Mkuu mbona unachanganya madesa! Hao sio watu.Mamilioni gani hapa jf mko watu wasiozidi watatu
Luca
Variable
Chiembe
Endelea kuumia zaidi.Hata mimi huwa naumia sana kuona Mheshimiwa Rais akitukanwa matusi na vitoto vidogo kama li Mdude Nyagali
Ajuwe,tunayempenda Rais ni wengi zaidi,ni asilimia 99.9.Kwa hiyo awe upande wetu,tunayempenda Rais na kumsema vizuri."Kuna mahali naingia nafanya kazi zangu naondoka bila Watu kujua kama nilikuwa pale, lakini unapokwenda kwenye shughuli za kijamii hasa harusi kuna Watu lazima wanitambulishe kama mtoto wa Rais, ile huwa inanifanya nisiwe huru katika mazingira yale" - Mhe. Wanu Hafidh Ameir, Mbunge na Mwenyekiti wa MIF
“Inaumiza kama mtoto kuona mzazi anarushiwa maneno mitandaoni na katika kipindi ambacho muda wake wote amewekeza kwa Taifa, muda mwingi anakuwa mbali na familia, lakini ni Mtu imara sana namfahamu hajawahi kutetereka kwenye hilo” - Mhe. Wanu Hafidh Ameir, Mbunge na Mwenyekiti wa MIF
"Moja kati ya changamoto kubwa ninayokutana nayo katika uongozi wangu ni wananchi wangu pamoja na Watu wengine kuhisi naweza kufanya kila kitu kwa kigezo kwamba ni mtoto wa Rais, sio kweli kwamba naweza kufanya kila kitu na kuna wakati nazidiwa" - Mhe. Wanu Hafidh Ameir, Mbunge na Mwenyekiti wa MIF
View attachment 3075878
Wewe ndiye huna adabu.Mshenzi kweli huyu mtoto hanaadabu kwa Taifa, anatukejeri sisi...!
Isipokuwa wanachekelea kufurushwa katika eneo la asili ili mwarabu ajiwindie na kubeba wanyamapori wetu, siyo?
mchengerwa anamwagia pazuri aiseee....."Kuna mahali naingia nafanya kazi zangu naondoka bila Watu kujua kama nilikuwa pale, lakini unapokwenda kwenye shughuli za kijamii hasa harusi kuna Watu lazima wanitambulishe kama mtoto wa Rais, ile huwa inanifanya nisiwe huru katika mazingira yale" - Mhe. Wanu Hafidh Ameir, Mbunge na Mwenyekiti wa MIF
“Inaumiza kama mtoto kuona mzazi anarushiwa maneno mitandaoni na katika kipindi ambacho muda wake wote amewekeza kwa Taifa, muda mwingi anakuwa mbali na familia, lakini ni Mtu imara sana namfahamu hajawahi kutetereka kwenye hilo” - Mhe. Wanu Hafidh Ameir, Mbunge na Mwenyekiti wa MIF
"Moja kati ya changamoto kubwa ninayokutana nayo katika uongozi wangu ni wananchi wangu pamoja na Watu wengine kuhisi naweza kufanya kila kitu kwa kigezo kwamba ni mtoto wa Rais, sio kweli kwamba naweza kufanya kila kitu na kuna wakati nazidiwa" - Mhe. Wanu Hafidh Ameir, Mbunge na Mwenyekiti wa MIF
View attachment 3075878
Duniani hakuna neno kukosolewa kwa staha, unastahili ukosolewe kikamilifu kulingana na kosa ulilolifanya, nusu maksi hapana. Ila sasa na nyie mtuone na sisi tusio na wazazi viongozi kuwa akili na uwezo wa kuongoza nchi tunao, msituone sisi ni magangwala au magarasa huku mnajaza familia zenu madarakani, mbona Mwalimu Nyerere alijitahidi hata pale Mwitongo palionekana ni mahali pa kawaida tu kama kijijini, hapakuwahi kufanyika matamasha yasiyokuwemo kwenye ratiba ya sherehe za kiserikali na kugharamiwa na wasiojulikana.
!mchengerwa anamwagia pazuri aiseee.....
Hata sisi hatupendi kuona yeye na familia yake wakifisadi kila sekta...huku mikononi mwao wamejaa damu za watanzania wanaouwawa na kikosi kazi chao"Kuna mahali naingia nafanya kazi zangu naondoka bila Watu kujua kama nilikuwa pale, lakini unapokwenda kwenye shughuli za kijamii hasa harusi kuna Watu lazima wanitambulishe kama mtoto wa Rais, ile huwa inanifanya nisiwe huru katika mazingira yale" - Mhe. Wanu Hafidh Ameir, Mbunge na Mwenyekiti wa MIF
“Inaumiza kama mtoto kuona mzazi anarushiwa maneno mitandaoni na katika kipindi ambacho muda wake wote amewekeza kwa Taifa, muda mwingi anakuwa mbali na familia, lakini ni Mtu imara sana namfahamu hajawahi kutetereka kwenye hilo” - Mhe. Wanu Hafidh Ameir, Mbunge na Mwenyekiti wa MIF
"Moja kati ya changamoto kubwa ninayokutana nayo katika uongozi wangu ni wananchi wangu pamoja na Watu wengine kuhisi naweza kufanya kila kitu kwa kigezo kwamba ni mtoto wa Rais, sio kweli kwamba naweza kufanya kila kitu na kuna wakati nazidiwa" - Mhe. Wanu Hafidh Ameir, Mbunge na Mwenyekiti wa MIF
View attachment 3075878
Kumbe ana mtoto mrembo
Shepu za huko salaleee yani wamepewa sura shepu hawana ...wamejaa mwili mzima kma dada yake mzee yusuf😂😂😂 We uoni kuwa ni mrembo