Mtoto wa Rais Samia (Wanu): Sitamani Kuonekana Mtoto wa Rais Nikiingia Mahali/Naumia Mzazi Akitukanwa

Mambo ya umama ni kwenu huko mambo ya kitaifa yanapoenda kombo haangaliwi kama mama.

Kuna siku huyo dada atakuja kusema anajisikia vibaya mumewe Mchengerwa akisemwa.

Uongozi unahitaji ngozi ngumu kama hawawezi wakae pembeni , yaani mtu anapwaya halafu asiambiwe?
 
Hata mimi huwa naumia sana kuona Mheshimiwa Rais akitukanwa matusi na vitoto vidogo kama li Mdude Nyagali
Endelea kuumia zaidi.

Atatukanwa sana tu kwani yeye ndio wa kwanza kutukanwa?

Pia ulivyoumia Samia amekupa dawa ya kuponya hayo maumivu ?
 
Yeye, mume wake, had maza ake waache vyeo na madaraka, wawe raia wa kawaida ndo tutajua ana maanisha, vinginevyo aache porojo zake.

Kwanza atuache bhana, hatuna mda na wao, anakera na kuboa tyuu.
Mxxxxiiiiieeeeew.
 
"Kuna mahali naingia nafanya kazi zangu naondoka bila Watu kujua kama nilikuwa pale, lakini unapokwenda kwenye shughuli za kijamii hasa harusi kuna Watu lazima wanitambulishe kama mtoto wa Rais, ile huwa inanifanya nisiwe huru katika mazingira yale" - Mhe. Wanu Hafidh Ameir, Mbunge na Mwenyekiti wa MIF

“Inaumiza kama mtoto kuona mzazi anarushiwa maneno mitandaoni na katika kipindi ambacho muda wake wote amewekeza kwa Taifa, muda mwingi anakuwa mbali na familia, lakini ni Mtu imara sana namfahamu hajawahi kutetereka kwenye hilo” - Mhe. Wanu Hafidh Ameir, Mbunge na Mwenyekiti wa MIF

"Moja kati ya changamoto kubwa ninayokutana nayo katika uongozi wangu ni wananchi wangu pamoja na Watu wengine kuhisi naweza kufanya kila kitu kwa kigezo kwamba ni mtoto wa Rais, sio kweli kwamba naweza kufanya kila kitu na kuna wakati nazidiwa" - Mhe. Wanu Hafidh Ameir, Mbunge na Mwenyekiti wa MIF

View attachment 3075878
Ajuwe,tunayempenda Rais ni wengi zaidi,ni asilimia 99.9.Kwa hiyo awe upande wetu,tunayempenda Rais na kumsema vizuri.
 
"Kuna mahali naingia nafanya kazi zangu naondoka bila Watu kujua kama nilikuwa pale, lakini unapokwenda kwenye shughuli za kijamii hasa harusi kuna Watu lazima wanitambulishe kama mtoto wa Rais, ile huwa inanifanya nisiwe huru katika mazingira yale" - Mhe. Wanu Hafidh Ameir, Mbunge na Mwenyekiti wa MIF

“Inaumiza kama mtoto kuona mzazi anarushiwa maneno mitandaoni na katika kipindi ambacho muda wake wote amewekeza kwa Taifa, muda mwingi anakuwa mbali na familia, lakini ni Mtu imara sana namfahamu hajawahi kutetereka kwenye hilo” - Mhe. Wanu Hafidh Ameir, Mbunge na Mwenyekiti wa MIF

"Moja kati ya changamoto kubwa ninayokutana nayo katika uongozi wangu ni wananchi wangu pamoja na Watu wengine kuhisi naweza kufanya kila kitu kwa kigezo kwamba ni mtoto wa Rais, sio kweli kwamba naweza kufanya kila kitu na kuna wakati nazidiwa" - Mhe. Wanu Hafidh Ameir, Mbunge na Mwenyekiti wa MIF

View attachment 3075878
mchengerwa anamwagia pazuri aiseee.....
 
Duniani hakuna neno kukosolewa kwa staha, unastahili ukosolewe kikamilifu kulingana na kosa ulilolifanya, nusu maksi hapana. Ila sasa na nyie mtuone na sisi tusio na wazazi viongozi kuwa akili na uwezo wa kuongoza nchi tunao, msituone sisi ni magangwala au magarasa huku mnajaza familia zenu madarakani, mbona Mwalimu Nyerere alijitahidi hata pale Mwitongo palionekana ni mahali pa kawaida tu kama kijijini, hapakuwahi kufanyika matamasha yasiyokuwemo kwenye ratiba ya sherehe za kiserikali na kugharamiwa na wasiojulikana.

Pia Mwl. Nyerere hakuwahi kumpa mwanae cheo wala mkwe cheo chochote.
Na kanuni inakataza kwa mtu mwadilifu kabisa ili kuepuka mgongano wa maslahi na pia mwanao au mkwe akikosea unaweza kushindwa kumkabili kumuonya sababu ya mgongano wa kimaslahi.
Siku hizi hawajali wala nini?!
 
Kama hataki mama yake kutukanwa amwambie arudi kwao atuachie nchi yetu alafu aone kama kuna ambae atamnyoshea kidole
 
"Kuna mahali naingia nafanya kazi zangu naondoka bila Watu kujua kama nilikuwa pale, lakini unapokwenda kwenye shughuli za kijamii hasa harusi kuna Watu lazima wanitambulishe kama mtoto wa Rais, ile huwa inanifanya nisiwe huru katika mazingira yale" - Mhe. Wanu Hafidh Ameir, Mbunge na Mwenyekiti wa MIF

“Inaumiza kama mtoto kuona mzazi anarushiwa maneno mitandaoni na katika kipindi ambacho muda wake wote amewekeza kwa Taifa, muda mwingi anakuwa mbali na familia, lakini ni Mtu imara sana namfahamu hajawahi kutetereka kwenye hilo” - Mhe. Wanu Hafidh Ameir, Mbunge na Mwenyekiti wa MIF

"Moja kati ya changamoto kubwa ninayokutana nayo katika uongozi wangu ni wananchi wangu pamoja na Watu wengine kuhisi naweza kufanya kila kitu kwa kigezo kwamba ni mtoto wa Rais, sio kweli kwamba naweza kufanya kila kitu na kuna wakati nazidiwa" - Mhe. Wanu Hafidh Ameir, Mbunge na Mwenyekiti wa MIF

View attachment 3075878
Hata sisi hatupendi kuona yeye na familia yake wakifisadi kila sekta...huku mikononi mwao wamejaa damu za watanzania wanaouwawa na kikosi kazi chao
 
Aache unafiki kama anaumizwa kweli amwambie mama yake asigombee 2025,siye wenyewe tunaumia sana tunavyoona anataka kugombea 2025.
 
Back
Top Bottom