Mtoto wa Rais Samia (Wanu): Sitamani Kuonekana Mtoto wa Rais Nikiingia Mahali/Naumia Mzazi Akitukanwa

Mtoto wa Rais Samia (Wanu): Sitamani Kuonekana Mtoto wa Rais Nikiingia Mahali/Naumia Mzazi Akitukanwa

Magufuli alikuwa mtu mmoja mwenye msimamo wa pekee wa kuibadili Tanzania na watanzania kuelekea kwenye maendeleo ya uhakika. Sidhani kama tutapata bahati ya kupata rais mwingine mwenye fikra za magufuli. Ni kweli tutamkumbuka na KATU siyo rahisi sana kupata rais mwingine kama magufuli.
 
bado hajasema, matusi ya kuanzia november 2024 hadi november 2025 atajinyonga kabisa. Amwambie mama yake atangaze mapema kuwa hana nia kugombea urais 2025 hapo atasalimika kiasi fulani, tofauti na hapo watamtambua kama mama yake ana tamaa sana...kapewa akaimu miaka 4 tu tayari amenogewa anataka na anaona anaweza kumbe embe la kupewa si sawa na la kununua.
Duu jamani ni balaa!
 
Usinge gombea ubunge , ungefanya kazi za kawaida huko watu wasingekufahamu kihivyo, kwanza kitendo Cha kugombea jina linakuuza bila hata kampeni, kwahiyo tulia tu acha waongee ili mradi hawakutupii mawe unameza tu.
 
Usinge gombea ubunge , ungefanya kazi za kawaida huko watu wasingekufahamu kihivyo, kwanza kitendo Cha kugombea jina linakuuza bila hata kampeni, kwahiyo tulia tu acha waongee ili mradi hawakutupii mawe unameza tu.
Huyu dada Wanu ni mbunge wa viti maalumu jambo linaloonyesha kuwa ni mwanachoma kindakindaki wa CCM. Labda 2025 anaweza kugombea kama ilivyokuwa kwa Salma kikwete na Ummy Mwalimu , walianza na ubunge wa viti maalumu na baadae wakawa wabunge wa kuchaguliwa.
 
Huyu dada Wanu ni mbunge wa viti maalumu jambo linaloonyesha kuwa ni mwanachoma kindakindaki wa CCM. Labda 2025 anaweza kugombea kama ilivyokuwa kwa Salma kikwete na Ummy Mwalimu , walianza na ubunge wa viti maalumu na baadae wakawa wabunge wa kuchaguliwa.
Hata viti maalumu huwa wanagombea humo ndani hata akishindwa ilkitokea nafasi anateuliwa, kwahiyo atulie tu ukubwa jalala!
 
"Kuna mahali naingia nafanya kazi zangu naondoka bila Watu kujua kama nilikuwa pale, lakini unapokwenda kwenye shughuli za kijamii hasa harusi kuna Watu lazima wanitambulishe kama mtoto wa Rais, ile huwa inanifanya nisiwe huru katika mazingira yale" - Mhe. Wanu Hafidh Ameir, Mbunge na Mwenyekiti wa MIF

“Inaumiza kama mtoto kuona mzazi anarushiwa maneno mitandaoni na katika kipindi ambacho muda wake wote amewekeza kwa Taifa, muda mwingi anakuwa mbali na familia, lakini ni Mtu imara sana namfahamu hajawahi kutetereka kwenye hilo” - Mhe. Wanu Hafidh Ameir, Mbunge na Mwenyekiti wa MIF

"Moja kati ya changamoto kubwa ninayokutana nayo katika uongozi wangu ni wananchi wangu pamoja na Watu wengine kuhisi naweza kufanya kila kitu kwa kigezo kwamba ni mtoto wa Rais, sio kweli kwamba naweza kufanya kila kitu na kuna wakati nazidiwa" - Mhe. Wanu Hafidh Ameir, Mbunge na Mwenyekiti wa MIF

View attachment 3075878
Kumbe ni mrembo hivi au ni title ndio inanichanganya?
 
iced-tea.gif
iced-tea.gif
 



Daah, huyu Mwamba atusamehe wale tuliompinga kwa nguvu zote.

Ni kweli kabisa wasomi ni tatizo kubwa sana linapokuja suala la uzalendo.

Ndio maana hata majeshi ya kule Nigeria yalishindwa kudhibiti Boko haramu kutokana na kuwa na wasomi wengi wabinafsi na waoga waliokua wanaogopa kukatwa shingo na Magaidi wa boko Haram ,mpaka Walipoanza kuajiri vijana wenye Elimu ya Kawaida ndipo walipoanza kuwadhibiti Boko Haram.

Wasomi wakiwa na Kiongozi Imra na anayeweza kuwafilisi na kuwafunga gerezani au hata kuwaua ndipo wanapofanya kazi kwa uadilifu mkubwa mana ni waoga na wanaopenda nafsi zao.

Awamu hii imerudi nyuma zaidi ya ile ya JK . Imekwenda mrama zaidi .

Pesa zinakusanywa nyingi kila mahali na ardhi inaizwa kila mahali lakini pesa za mauzo zinaishia kwenye familia za watawala na mabosi wasomi wanaomuongoza kiongozi asiyekua na maono na kuijua misingi ya Uchumi unaotokana na Rasilimali za asili . Matokeo yake anagawa rasilimali za kutumika karne nzima kwa bajeti ya mwaka mmoja.

2025 Tanganyika ichukue maamuzi Magumu mana bila hivyo hii nchi itageuka kuwa Kongo .

Nimejua maana ya Royol tours haikua utalii bali kutangazia wezi utajiri wa nchi ili waje wainunue. Ndio maana hatuoni ongezeko la watalii Tanganyika zaidi ya wanunua ardhi na kujenga mahoteli huku wakiwafukuza wazawa kama Kongo wanavyowafukuza na kuwaua Banyalenge na kuwaacha wawekezaji wakichota madini.

Kitakachofuata ni Waarabu kujitangazia himaya yao Kaskazini na majeshi ya nchi kushindwa kuwadhibiti mana wapo eneo lisilo na wenyeji ambao ndio walinzi wa kwanza wa rasilimali za nchi.

Tundu Lisu anastahili kuwa Rais wa Tanganyika kwa faida ya Wote kwa sababu hii mikataba mingi imefanywa kimaslahi badala ya sheria.
Yule alitepo kwa sasa uwezo wake wa kisheria ,kiuchumi na kimaono mdogo sana . Anaongozwa na hisia za kifamilia na makuzi yake tu . Ndio maana anapoona mwarabu basi anaamini ni mtu mwema na mchamungu bila kujua kuwa dunia nzima wafanyabiashara hawana ubinadamu linapokuja suala la pesa.

Tupate Rais mwenye maono na kujua sheria na historia sahihi ya ulimwengu. Mwenye uwezo wa kujenga hoja za kisheria duniani sio vijembe na sijui Rais wa kwanza sijui mvulana au kijana au mwanamke. Ni upuuzi usiotusaidia chochote kwenye vita ya kiuchumi na mikataba ya kinyonyaji na Kimangungo.

Wakuu wa vyombo vya usalama waache Watanzania wachague Rais na wabunge wenye maono mapana itawasaidia wao pia .Yanayoendelea chini ya CCM ya awamu hii ni hatari sana kwa usalama wa nchi baadae na watakaoumia ni watoto wa maskini waliopo chini kwenye majeshi yetu ambao hawana mwanya wa kuchota mapesa na kujenga majumba Dubai na mahoteli ya kitalii kwenye hifadhi. Watasumbuliwa na ugaidi na ujambazi na vurugu nyingi toka kwa wananchi walionyanganywa ardhi zao na kubaki maskini.
 
Hata mimi huwa naumia sana kuonala Mheshimiwa Rais akitukanwa matusi na vitoto vidogo kama li Mdude Nyagali


Wamasai wakivurugiwa mali zao na mfumo wao wa maisha unafurahi kwa sababu tu sio wa itikadi na imani yako . Unawahesabu kama Mbu wanaostahili kufa.

Wapalestina wakidai ardhi yao unawaunga mkono ila wamasai unakua kiziwi .

Heshima aliyopewa ya kuwa makamu wa Rais miaka sita na Urais miaka minne inatosha. Auka'nwa mana hana shukrani. Kwa sasa anawaza kuwa tajiri namba moja mwanamke

Hata mimi huwa naumia sana kuona Mheshimiwa Rais akitukanwa matusi na vitoto vidogo kama li Mdude Nyagali
 
bado hajasema, matusi ya kuanzia november 2024 hadi november 2025 atajinyonga kabisa. Amwambie mama yake atangaze mapema kuwa hana nia kugombea urais 2025 hapo atasalimika kiasi fulani, tofauti na hapo watamtambua kama mama yake ana tamaa sana...kapewa akaimu miaka 4 tu tayari amenogewa anataka na anaona anaweza kumbe embe la kupewa si sawa na la kununua.
Amwambie pia, tabia ya kihalalisha ufisadi na ushoga ni mambo ya hovyo sana, yanachukiza.
 
Back
Top Bottom