Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Duu jamani ni balaa!bado hajasema, matusi ya kuanzia november 2024 hadi november 2025 atajinyonga kabisa. Amwambie mama yake atangaze mapema kuwa hana nia kugombea urais 2025 hapo atasalimika kiasi fulani, tofauti na hapo watamtambua kama mama yake ana tamaa sana...kapewa akaimu miaka 4 tu tayari amenogewa anataka na anaona anaweza kumbe embe la kupewa si sawa na la kununua.
Huyu dada Wanu ni mbunge wa viti maalumu jambo linaloonyesha kuwa ni mwanachoma kindakindaki wa CCM. Labda 2025 anaweza kugombea kama ilivyokuwa kwa Salma kikwete na Ummy Mwalimu , walianza na ubunge wa viti maalumu na baadae wakawa wabunge wa kuchaguliwa.Usinge gombea ubunge , ungefanya kazi za kawaida huko watu wasingekufahamu kihivyo, kwanza kitendo Cha kugombea jina linakuuza bila hata kampeni, kwahiyo tulia tu acha waongee ili mradi hawakutupii mawe unameza tu.
Hata viti maalumu huwa wanagombea humo ndani hata akishindwa ilkitokea nafasi anateuliwa, kwahiyo atulie tu ukubwa jalala!Huyu dada Wanu ni mbunge wa viti maalumu jambo linaloonyesha kuwa ni mwanachoma kindakindaki wa CCM. Labda 2025 anaweza kugombea kama ilivyokuwa kwa Salma kikwete na Ummy Mwalimu , walianza na ubunge wa viti maalumu na baadae wakawa wabunge wa kuchaguliwa.
Kumbe ni mrembo hivi au ni title ndio inanichanganya?"Kuna mahali naingia nafanya kazi zangu naondoka bila Watu kujua kama nilikuwa pale, lakini unapokwenda kwenye shughuli za kijamii hasa harusi kuna Watu lazima wanitambulishe kama mtoto wa Rais, ile huwa inanifanya nisiwe huru katika mazingira yale" - Mhe. Wanu Hafidh Ameir, Mbunge na Mwenyekiti wa MIF
“Inaumiza kama mtoto kuona mzazi anarushiwa maneno mitandaoni na katika kipindi ambacho muda wake wote amewekeza kwa Taifa, muda mwingi anakuwa mbali na familia, lakini ni Mtu imara sana namfahamu hajawahi kutetereka kwenye hilo” - Mhe. Wanu Hafidh Ameir, Mbunge na Mwenyekiti wa MIF
"Moja kati ya changamoto kubwa ninayokutana nayo katika uongozi wangu ni wananchi wangu pamoja na Watu wengine kuhisi naweza kufanya kila kitu kwa kigezo kwamba ni mtoto wa Rais, sio kweli kwamba naweza kufanya kila kitu na kuna wakati nazidiwa" - Mhe. Wanu Hafidh Ameir, Mbunge na Mwenyekiti wa MIF
View attachment 3075878
At the moment, 3 people are here100 people are here
Mkuu, sasa matusi ya mtu kichaa nayo yanakuumiza nini? Ni afadhali uumie akitukanwa na watu wenye akili timamu.Hata mimi huwa naumia sana kuona Mheshimiwa Rais akitukanwa matusi na vitoto vidogo kama li Mdude Nyagali
Hata mimi huwa naumia sana kuonala Mheshimiwa Rais akitukanwa matusi na vitoto vidogo kama li Mdude Nyagali
Hata mimi huwa naumia sana kuona Mheshimiwa Rais akitukanwa matusi na vitoto vidogo kama li Mdude Nyagali
Huyo konda muhuni hata asijaribu kugombea lile ni gaid kabsaa muuajiMshauri mam 25 ,amuachie konda agombee
Mwambie mam ,mkaxa mwana wake ameifuta wilaya ya Ngorongoro.
Amwambie pia, tabia ya kihalalisha ufisadi na ushoga ni mambo ya hovyo sana, yanachukiza.bado hajasema, matusi ya kuanzia november 2024 hadi november 2025 atajinyonga kabisa. Amwambie mama yake atangaze mapema kuwa hana nia kugombea urais 2025 hapo atasalimika kiasi fulani, tofauti na hapo watamtambua kama mama yake ana tamaa sana...kapewa akaimu miaka 4 tu tayari amenogewa anataka na anaona anaweza kumbe embe la kupewa si sawa na la kununua.