Mtoto wako amewahi kukuaibisha mbele za watu?

Tuliwahi kumtembelea jirani, tukaletewa soda hatujakaa sawa mtoto wake akaja na likikombe likubwa anaomba soda, ukimuwekea anaipiga tarumbeta anaomba tena, sio mtoto wangu ila nilihisi aibu.
Hakuna tabia mbaya kama hyo...sijui wtt wengine wazazi wanawavumiliaje na hali hyo...wa kwangu mgeni akiwepo kwanza hawasoge labda waitwe...
 
Wengjne mazingira yetu mgeni akiwepo hakuna mtoto atajipitisha mbele za wageni,

Na hiyo tabia ya kuropokaropoka watoto wwnu wanaiga kwenu wazazi na walezi,wafundisheni watoto kuwa na khaba si kila wanachokiona/kusikia ni lazima waongee,

aisee simpendi mtoto mropokaji,
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]dogo mnywaji mtarajiwa[emoji23]

Eti nataka pombe, ungempa uone kama angeiweza[emoji3]
 
[emoji23][emoji23]
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Huyu dogo yuko darasa la pili, mgeni tuko naye saa tano hivi tunasubiri mlo wa mchana, dogo akawa anajifanya mcheshi kwa mgeni, hamadi akachukua glasi nusu ya Johny Walker ya mgeni akakata kama utani, huyo katoka nje kaenda kucheza na wenzake, akarudi saa nane hivi kuja kula anaulizia kama kitimoto ya jana ilibaki.
Nilibaki sina neno zaidi ya kuzungumzia mvua.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…