Mtoto wangu ana tabia ya kujibonda, nifanyaje ili aache?

Kana kiburi kama cha mama yake. Ukitaka kulijua hilo, wafatilie shemeji zako(wajomba zake)..

Tandika viboko kaache kiburi. Acheni kukadekeza
 
Junior inabidi unamwambia hiki usifanye hiki kwa sauti ya mamlaka, siyo Junior stop, don't do that.

Pia usimnyime mtoto bakora, mapigo na mwendo.
 
Kwa hiyo akiwa anafanya Hivyooo unakaa pembeni Unamwambia Junior achaa juniorr.. nakuombaa[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] Ilaa hiki kizaziii...!! Mitoto inaendesha wazazi kifalaa sanaa...
 
Ahahaa,Cdf wa baadae huyo,asije akawa dikteta tu
 
Mzee mlimpataje huyo mtoto, wengine hamchelewi kwenda kwa waganga mpate watoto matokeo yake ni hayo.
Mguide vizuri tu atarekebishika bado mtoto huyo.
 
Usimpe attention sana, akikuwa ataacha.

Muone na daktari anaweza kuwa ni mwehu fulani.
 
mtafute Dk Isaac Maro atakueleza kinagaubaga .kama sikosei mwanaye mmoja ana usonji...na kuna foundation yao wacheki watakupa elimu ya kuishi na mtoto mwenye usonji/autism
Hakuna cha usonji wala nini!

Wenyewe mnafikiri ni usomi kusema USONJI 🀣🀣🀣🀣 Kumbe mtoto ana tatizo lingine kabisa.

Usonji ya komwe!!
 
Hakuna lolote. Mtu mjinga hapa ndio wewe.

Unafikiri ukikopi haya MADESA UCHWARA kutoka google ndio unakuwa msomi? HAPANA, LA HASHA, unabaki kuwa mjinga tu wa kawaida.

Kila kitu ambacho hakieleweki kwa mtoto wanakwambia ni AUTISM 😁😁 Majibu mepesi sana.

Umpeleke kwa daktari akamnyweshe uji wa sembe 😁😁 Ati NUTRITIONAL THERAPY!

Unaamini kabisa kwamba ukinyweshwa uji wa sembe na Mtu mwenye KOTI JEUPE ndio unapona hiyo AUTISM? πŸ₯΄πŸ₯΄πŸ˜‚πŸ™ŒπŸ™Œ

SHALLOW INDEED!
 
Wakati unamshughulikia kiroho, Nashauri pia ATANDIKWE VIBOKO HASWAA.

Piga mpaka anye uone kama atarudia huo upuuzi.
 
Huu sio ushahuri wa kitaalamu lakini mimi nilishawahi kufanya kazi kwenye shule ya watoto wenye autism. Matatizo yako ni communuication, lack of social interaction na etc. Na pia nina mtoto mwenye autism lakini sio mpigaji au kujipiga.
Huyo mtoto wako anaweza kuwa na Autism. Lakini chukulia huu kama ushahuri tu, unaitaji wataalamu kuthibitisha. Kama ikiwa ni Autism unahitaji kuwa nae karibu sana kumsoma tabia zake. Wana ''triggers" zao. Mfano, leo umempa chai, akaanza kujipiga au kujiuma. Msome tena siku nyingine kama hapendi hepuka kumpa chai na jaribu kum encourage achague anachotaka. Hata kwa kutumia picha kama njia ya communication. Mfano, mwingine inaweza kuwa ni choo. Asipopata choo siku mbili inaweza kuwa kasheshe. Wengine hata sauti fulani ya toys inaweza kuwa ndio "trigger". Cha muhimu ni wewe ku notice hivo vitu na ku document na kuepuka kujirudia. Kuna watu wenye autism na wameenda kuwa successful kwenye maisha.
Na pia ujue sio kujipiga tu, pia wengine wanapiga au kuvunja vitu wakiwa frustrated. Sio ninasema kukuchosha bali ukijua haya ni rahisi kuyaepuka kabla hajawa too late.

Wengine watakushahuri njia mbadala kama makanisa ya upako na kadhalika. Wewe fata ushahuri wa wataalamu
 
Na wewe nimekuingiza kwenye ignore.
 
Pole, kampime DNA halafu uchunguze baba yake utakuta hizo tabia za kwao ni kawaida.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…