Mtoto Warda apatikana kwenye Kijiji cha chamanzi, Dar es Salaam

Wanao toroka ni wa kike tuu! Tena 15+ Yrs kuna shida mahali
 
Vijana wa JF acheni uzinzi na vitoto,
Mtakufa kifo cha mbwa mwenye kaswende.
 
Kizazi hiki cha kusikiliiza ngoma za dear x na masingeli hamna kitu kabisa
Watoto wadogo washajua mambo ya kuzagamuana

Ova
 
Mapenzi na malezi sio pesa....hata wazazi maskini wanapenda na kupendwa na watoto wao... Tatizo ni wazazi wa kisasa kuwa busy kutafuta pesa na kukosa uangilizi Kwa watoto,,bond baina ya mzazi na mtoto inakosekana
Huwezi kutengeneza bondi au kuangalia mtoto ikiwa hujajiimarisha kiuchumi... ndo maana nimemaanisha kuzaa hovyo bila kujipanga ndo matokeo hayo... We nikuulize tu au nikuambie fanya uchunguzi utagundua asilimia kubwa ya hao watoto wa kike wanapotea ghafla majumbani utagundua vishawishi hupelekewa na hali ya mazingira iliyowazunguka.
 
Keshakuwa mkubwa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ukinyoosha mkono huendi huko
 
Sisy Joannah mbona unamficha shem sijapentraaaaaaa πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Mwaya shem karibu me ndo mdogo wake wa mwisho
Sasa namfichaje?nilisema siku ya nilipoachwa kwamba namwachia Missy Gf baby wangu ila nimekaa pale atanirudushia si uanaona wababe wapya kina Siri yangu wanavyombebisha?🀣🀣🀣🀣
 
Sasa namfichaje?nilisema siku ya nilipoachwa kwamba namwachia Missy Gf baby wangu ila nimekaa pale atanirudushia si uanaona wababe wapya kina Siri yangu wanavyombebisha?🀣🀣🀣🀣
🀣🀣🀣 Kwahiyo siri yangu sio wako?
Sasa mbona anakubebisha na bro namuona kabisa kapanic hakutegemea hili
 
Sielewi maana ya Kwa akili sanaaa🀣🀣🀣
Ila Huoni wanarahisisha maisha ya binadamu?
 
🀣🀣🀣 Kwahiyo siri yangu sio wako?
Sasa mbona anakubebisha na bro namuona kabisa kapanic hakutegemea hili
Kwani ni Mimi au bro na Siri yake ndio wanabebishana mi simo?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…