Na humu nina uhakika kuna watu wanatukanana na wazazi wao.
Stori za wakina nani Sykes pale kariakoo inasemekan alikua babu yake dully Sykes wakipigania uhuru hahahahaSasa faiza fox aliwahi kiri amesoma na mama maria nyerere sasa wewe unapinga nini
Uzee ni uzembe mama yake Kim Kardashian ukimuona saivi alivo acha tu mkuu na ni over 60Nina miaka 53 na bado najiona binti kabisa.....hatujazeeka bwana sema umri tuu umeenda
Naomba kukazia hapa....hakuna Genz anapenda kuwa anonymousKutoka na logic zenu
Mmekaa kizee akili za gen z wa tz tunazijua kwanza hawawezi kuwa kwenye social media ambayo Haina mambo ya picha picha na mwendo wa anonymous
Nyie ni wazee flani wenye busara mdogo ni marry Diana yani ndie gen z wa singoli motha wa jf
Kunidinya? Haloooooo👌👌👌👌👌😹😹😹 beautiful boy hujakosea kabisa afu kingine umesahau ukinikalia vibaya nakudinya..!!
Mfano kama mimi kuna mmoja alinishangaa kuskia nimemaliza Form four 2009, eti "kumbe mtu mwenyewe mtoto wa juzi tu hapa"Sasa mtu anasimulia habari za shule wakati anasoma primary mwaka 1982 halafu unajiuliza tunajuaje kwamba wamezeeka kweli?
Wewe mama nilishakwambia njoo nikuoe mke wa pili ubadilishe na hili jina, unaleta maringo haya endelea kuumizwa na comments za wana mtandao... na wakati maumivu haya yanaepukika.Ndo maana wanaume wengi mnakufa vijana
Maana kwenu uzee ni jambo baya la kucheka mtu
Sasa Mungu kaamua kuwanyima huo uzee sasa
Mtu akiwa kikongwe anakuuma nini? Amekuomba umtawaze?
Acheni mambo ya kitoto .
36+ mbona kwangu ni visichana tuu. Humu tuko wengi wazee.Mfano kama mimi kuna mmoja alinishangaa kuskia nimemaliza Form four 2009, eti "kumbe mtu mwenyewe mtoto wa juzi tu hapa"
Sasa mshangao kama huo si unakuonesha kabisa huyo ni bibi momba na pengine tayari ana mjukuu ambaye yuko secondary.
Iko wazi members wengi wa kike humu JF kiumri wako 36+
Yaani kwa hii comment yako dada To yeye, ni kama Mama Ametufikia KUUFUNGA UZIEm chukulia mfano kwangu,nimejiunga 2016 humu, nachati since mwaka huo mpaka muda huu,mwaka 2025... nitakuwa yule yule tu? Wapo sahihi kimahesabu ila hawapo sahihi kutumia neno uzee,umri unasogea ila sisi siyo vikongwe jamani🤨🙄
Mbona kama umepaniki..!!??Ndo maana wanaume wengi mnakufa vijana
Maana kwenu uzee ni jambo baya la kucheka mtu
Sasa Mungu kaamua kuwanyima huo uzee sasa
Mtu akiwa kikongwe anakuuma nini? Amekuomba umtawaze?
Acheni mambo ya kitoto .
Njoo PM tuyajenge kama jimbo liko wazi.Nina miaka 53 na bado najiona binti kabisa.....hatujazeeka bwana sema umri tuu umeenda
Picha yake tafasali mtu wa munguUzee ni uzembe mama yake Kim Kardashian ukimuona saivi alivo acha tu mkuu na ni over 60
Fullstop, kwishaaa
Babu hataki watoto wabichi eti umri huu inabidi tuwe tunatubu dhambi zetu....labda nipaye zali kama la WOTP hapo sawaMpe babu acha visingizio 😹😹