makaveli10
JF-Expert Member
- Mar 27, 2013
- 31,583
- 92,670
ndoshida ya uislam ,hapa tunazungumzia vitu gani vinapelekea huyu MTU aombe maji na akipewa anakufa,lakini huyuhuyu akikimbizwa hospitalini anatundikiwa drip anapona ,tunataka jibu LA kibiolojia au science, siohilo kamalako
DUH!! jamaa kakwiba parokiani kabisa ๐ ๐Huwa nasikia mtu aliye katika hali hiyo ukimpa maji anaweza kufa.
Kuna mwizi mmoja hivi alikamatwa na kondoo aliyeiba parokiani basi wakambebesha huyo kondoo na kuanza kumkimbiza kutoka hapo kwenda parokiani (ilikuwa kama ni kijiji cha jirani na hapo). Alipofikiswa pale kuna wahuni wakawa wanapiga kelele "mpeni maji, ana kiu...kakimbia sana"๐๐๐ Wamama wakaanza kupiga kelele wakiamba hao masela wasimpe maji huyo kaka kibaka.
Natamani kuelezwa huu mchakato unakuwaje kibaiolojia.
Labda maini zake zilikua zinawaka Moto na pia unaweza kuta alikua na maradhi yake mengine yaliyomfanya awe hoiKuna mshikaji alikuwa amelewa chakari mchana wa jua Kali akaanguka kutembea hawezi ila alikuwa amekaa tu na anaonekana hana nguvu,akawa anaomba sana maji kwa wapita njia
Kuna jamaa alikuwa karibu akafuata maji alipokaribia Kuna mama mmoja akasema usimpe maji atakufa,kama una chumvi mpake kwenye nyayo pombe itakata
Je aliyelewa sana nae ukimpa maji atakufa?
aisee ๐๐nakunya
Alidhani kwa kuwa wanasema samehe 7x70 hivyo wangemuacha tu, isingekuwa juhudi za wamama kupiga makelele angechomwa palepale parokiani maana paroko alishatoa go ahead. Yule alikiwa kondoo kama wa nne kuibiwa so baba paroko alikiwa kamaind sana๐๐๐๐DUH!! jamaa kakwiba parokiani kabisa ๐ ๐
Habarini wananzengo,
Nimeshuhudia baadhi ya visa vya watu kuomba maji wakiwa hoi sana wengi wao ikiwa ni baada kupata ajali. Kuna jamaa alianguka kutoka kwenye mti akawa analia apewe maji lakini hakuna mtu aliyempa.
Mwengine aligongwa na gari akawa analia huku akisema"naombeni maji, majii tu" kuna mzee mmoja alikataa kata kata jamaa asipewe hayo maji badala yake akimbizwe hospitalini na sikua na nafasi ya kumuuliza huyo mzee ni kwanini jamaa asipewe maji.
Naombeni kuuliza inamaanisha nini mtu anapoomba maji akiwa kwenye hali kama hiyo ๐ na ukimpa maji kitamtokea nini?
Aise ๐ ๐ ๐ baba paroko akawapa raia moraliAlidhani kwa kuwa wanasema samehe 7x70 hivyo wangemuacha tu, isingekuwa juhudi za wamama kupiga makelele angechomwa palepale parokiani maana paroko alishatoa go ahead. Yule alikiwa kondoo kama wa nne kuibiwa so baba paroko alikiwa kamaind sana๐๐๐๐
MI sijuiKuna mshikaji alikuwa amelewa chakari mchana wa jua Kali akaanguka kutembea hawezi ila alikuwa amekaa tu na anaonekana hana nguvu,akawa anaomba sana maji kwa wapita njia
Kuna jamaa alikuwa karibu akafuata maji alipokaribia Kuna mama mmoja akasema usimpe maji atakufa,kama una chumvi mpake kwenye nyayo pombe itakata
Je aliyelewa sana nae ukimpa maji atakufa?
Sawa, lakini pia mgonjwa wa muda mrefu (mahututi) ambaye pengine watu washakata tamaa kwamba atapona akitaka kufa hupata ahueni na kuomba aletewe pilau na akishakula tu ndo bye byeNi sawa na mtu aliyetoka kufanyiwa oparesheni akishazinduka huwa anahisi kiu ya hali ya juu sana lakini manesi huwa hawaruhusu apewe maji akiruhusu atakuambia mpe kwenye kizibo cha chupa ya maji tu basi halafu achana naye mpk muda fulani ndiyo umpe chai
Mkuu hii ya kusema wakati umetimia napenda kuipinga kwani ni kama inajustify vifo vilivyosababishwa kwa uzembe au makusudi.Umpe ama usimpe kama wakati umetimia, atakufa tu..
Hii inatokana na mafundisho(uislam) wakati wa umauti mtu anaweza akapatwa na kiu kali mnoo..
Kwahiyo kwa watu wengi imekuwa ni dalili kuwa kuomba maji kwa mgonjwa yawezekana ikawa umauti unasogea, lakini hapa umpe ama usimpe umauti utamchukua tu kama wakat wake umetimia
Ukisoma juu hapo kuna comment moja ina jibu la hili swali lako chief..Mkuu hii ya kusema wakati umetimia napenda kuipinga kwani ni kama inajustify vifo vilivyosababishwa kwa uzembe au makusudi.
kifo ni lazima ila tahadhari ni muhumu mkuuUmpe ama usimpe kama wakati umetimia, atakufa tu..
Hii inatokana na mafundisho(uislam) wakati wa umauti mtu anaweza akapatwa na kiu kali mnoo..
Kwahiyo kwa watu wengi imekuwa ni dalili kuwa kuomba maji kwa mgonjwa yawezekana ikawa umauti unasogea, lakini hapa umpe ama usimpe umauti utamchukua tu kama wakat wake umetimia
kwann? na maji anakunywaga kila siku
๐๐ฐ๐ธ๐ณ๐ช ๐ท๐ฒ๐ด๐ช๐ฌ๐ฑ๐พ๐ท๐ฐ๐พ๐ต๐ฒ๐ฎ ๐ผ๐ต๐ฒ๐ญ๐ฎ๐ผ ๐๐ช๐ท๐ฐ๐พ ๐๐ช ๐ถ๐ฎ๐ญ๐ฒ๐ฌ๐ช๐ต ๐น๐ฑ๐๐ผ๐ฒ๐ธ๐ต๐ธ๐ฐ๐ ๐ท๐ฒ๐ฝ๐ช๐ป๐พ๐ญ๐ฒ ๐ท๐ช ๐ณ๐ฒ๐ซ๐พHabarini wananzengo,