Ukaulize makofi Polisi? Wenyewe wanaishi kwà kutengemea hayo hayo masoko.Nenda Halmashauri kaulize utapata ufafanuzi mzuri.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Ukaulize makofi Polisi? Wenyewe wanaishi kwà kutengemea hayo hayo masoko.
Sasa vibali utapata wapi? Ni vema uende ukaulize tu ili ujue mbivu na mbichi mkuu.Ukianzisha soko unakuwa mshindani wa halmashauri. Hawawezi kukupa jibu lisilo na walakini.
Uchue kodi! Hawawezi kukuruhusu.Soko kama haya traditional soko. Supermarket mara nyingi humilikiwa mtu mmoja au kampuni. Soko kama yale ya kitaa huku mimi nikichukua kodi.
Alo unaumri gani?Mbona frem za biashara, supermarket na magenge watu huweka sehemu yoyote? Soko si ni kama genge kubwa na frem nyingi za biashara?
Kiufupi atapata tabu sana!Ndio ila likishakuwa na manufaa watu wakawa wengi utakumbushwa kuwa ardhi yote ni mali ya JMT.
Kabla hujafanya biashara ambayo ipo wazi ila haifanyiki maswali ya msingi ya kujiuliza ni haya:
Kwann hii biashara haifanyiki na wengine?
Mm nina akili sana kuliko wengine wasioifanya?