Mtu binafsi anaweza kumiliki soko?

Mtu binafsi anaweza kumiliki soko?

Mimi nilianziasha kituo cha polisi nikiwa na mwizi mmoja tu
 
Wewe sema unataka anzisha vigenge sio soko we anzisha mdogomdogo kinyemela ila ukienda halmashauri usitegemee majibu sahihi kwanza utapigwa stop
 
Back
Top Bottom