Mtu kanitumia huu ujumbe; Unadhani mtu huyu kanywa pombe gani?

Vilaza waliozoea Umbea vumbi tuu unaambiwa.
Madishi hayasomani mpaka DK hizi..
Simba hanyatiwi.
 
Poppy, Poppy Hatonn, huyo mtu ni wale mafundi wa kamati ya ufundi, alipewa kazi fulani ya ufundi kwa ahadi ya malipo manene, akakopa pesa kununua vifaa kazi, akaifanya kazi, baada ya kazi kukamilika, aliyempa kazi akamtosa mazima!

Baada ya kuelezwa wewe ni nani, anadhani unaweza kumsaidia kulipwa haki yake.

Huyo mtu ni issue, anapeleka issue nyeti kwa mtu mwingine ambaye nae ni issue akidhani utaweza kumsaidia.

Na huyo aliyemtumia mtu ambaye ni issue kupiga issues za kiufundi, akigundua jamaa anataka kuunguza picha, then.... ndio kama vile!.
Kiukweli.... Kuwa kichaa sio mpaka kuokota makopo! Je, Tanzania tuna vichaa wengi kuliko tunavyojidhania?
P
 
Hapo upo sahihi Mtoto wa late spy. Kwa nini udara haikukuchukua? Yaani mpaka Jeshini ukaenda!
 
Lugha za mawasiliano hzo hadi upewe code, hapa tutacheza "Migambo wanaluka na kukanyagana wanaluka kinyama tena wamesimama, aaah! wanacheka.
 
Mbn kama unatuthimulia hadithi ya empress ki
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…