Mtu kanitumia huu ujumbe; Unadhani mtu huyu kanywa pombe gani?

Bado anawasema Waislamu.
Anasema wampe hela anazowadai.
Anasema niwaambie wampe hela anazowadai,ingawa bado hajanieleza hao Waislamu nitawapata wapi.
Hela nilisema anawadai sh. Milioni tatu.
Akili yako na ya Josephat Kiboko zimefanana sana,mmerithi toka kwa Burito au kwa bibi
 
Au labda napoteza muda. Labda huyu ni tapeli wa mtandaoni wa "Tuma kwa namba hii"
Kwa sababu sijapendezewa kwamba hii discussion imechukua zaidi ya siku tano.
Lakini yeye anasema atatafuta siku nzuri atasema.
 
Eeeeh!!!!!
 
Uliwash kukutana na kichaa anaongea pekee ake na anachanganya story ya a inaenda b ya 3 inaenda ya 10

Mwandishi na anaandika kama kichaa
 
This is a serious case study,tunahitaji utulivu wa akili
 
Umewah kuingia kikao fulani hasa hivi vya watu wa nje ukakuta wanaongelea topic fulani very serious na wewe ukakaa mle kama bogi tu huelewi. Ndio mada hii ya leo sasa
Huyu ni mlevi
 
Nadhani hapa tunaweza kupata hitinisho la hii stori.

Ndugu zake yule jamaa wanasema huyu ana psychiatric problems. Ana matatizo ya akili na muda mrefu ameliwa anaongea haya mambo ya kijinga,mambo ya hizi hallucination.

Kwa hiyo hapa labda ni wakati mzuri wa kumuomba mod auondoe huu uzi,hizi posting zote aziondoe ili nisipate midnight knock on my door.
 
Kuna msemo unasema " mjumbe hauwawi isipokuwa kufikisha ujumbe"!!
 
Nasikitika sana kwamba mimi nimekuwa chanzo cha kuleta taharuki kwa kuandika habari za uongo.
Tafadhali mod ondoa huu uzi.
Mi nilipaswa kujua kwamba yule mtu ana matatizo ya akili.
Halafu nikamuuliza"Je,Mzee Jakaya Kikwete alihusika?"
Akasema,"Ah,usimtaje kabisa Mzee Jakaya Kikwete,huyo hakuhusika.
Huyo ndiye alikwenda kule Mzena kuwaambia 'Kwa nini mnataka kufanya tendo hilo ovu?' Wakamwambia,'Ondoka hapa,we Mzee. Sisi tumeshaamua kuhusu tunalotaka kufanya "
 
Baada ya hapo he went silent, zikaanza rumors kwamba amekufa,mara yupo chato mara sijui nini, TZ ina mengi ya vificho
BAADA YA HAPO HE WENT SILENT.
Of course he went silent. According to this guy,baada ya hapo,alitoswa ndani ya gari,pale pale Mbezi akaambiwa,"Leo tutakushikisha adabu"
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…