Poppy Hatonn
JF-Expert Member
- Apr 9, 2021
- 4,042
- 6,854
- Thread starter
-
- #161
Poppy Hatonn umeandika mambo mengi ambayo yameeleweka tofauti mwanzoni. Hapa ndio kuna umuhimu wa katiba mpya na nchi kwa ujumla cha kuanzisha kitengo cha uchunguzi wa maiti zote hata kama zilizikwa zamani. Kitengo kiongozwe na Pathologist au Toxicologist ambaye amebobea ili kuhakikisha utata kama uliouzungumzia unapunguaSasa nina hakika jamaa ana matatizo ya akili.
Haogopi kukamatwa.
Badala yake anasema hii namba yangu mpe Samia ili nilipwe hela milioni tatu na nusu ninazowadai ili niendelee na maisha yangu.
Sasa mimi Samia nitakutana naye wapi ili nimpe namba ya huyu jamaa.
Anasema "Mkataze Samia asiwasumbue Tundu Lissu na Gwajima. Awasamehe,kwa sababu hakuna mtu asiyefanya makosa. Hata mimi nikiyasema mambo yote waliyomtendea Magufuli,hapa mahali patakuwa hapatoshi.!"
Huyu jamaa nimeambiwa ana matatizo ya akili
Na pia yeye ananiambia amesoma mpaka darasa la saba tu. He is fifty years old.
Unakumbuka issue ya Sokoine famlia ilipoamua kuhamisha mwili? Na hii ni vile iliongelewa mara ajali mara risasi ! Unakumbuka issue ilisimamiwa na nani?Poppy Hatonn umeandika mambo mengi ambayo yameeleweka tofauti mwanzoni. Hapa ndio kuna umuhimu wa katiba mpya na nchi kwa ujumla cha kuanzisha kitengo cha uchunguzi wa maiti zote hata kama zilizikwa zamani. Kitengo kiongozwe na Pathologist au Toxicologist ambaye amebobea ili kuhakikisha utata kama uliouzungumzia unapungua
Ebu kumbushia hapa dadaUnakumbuka issue ya Sokoine famlia ilipoamua kuhamisha mwili? Na hii ni vile iliongelewa mara ajali mara risasi ! Unakumbuka issue ilisimamiwa na nani?
Kanywa kayogaAlichoandika ni mish mash. Lakini I have tried to sort it out.
Hii ndiyo msg yake.
Nitaongea mengi ya kusikitisha.
Lakini kabla sijaongea mtafute yule mtu aliepanda gari na Mr. Magufuli kutoka Mbezi. Kwa sababu walipopanda Ile gari ulikuwepo ugomvi kati yao.
Ugomvi wao ulikuwa yule aliyekamatwa asipelekwe jela, kwa sababu akipelekwa jela watamuweka rumande.
Wao ni Waislamu.
Yule mtangazaji akaenda kutangaza kwenye television. Akatangaza kwamba mtu fulani alikuwa ameshuka cd4.
Yule mtu akatangaza yale mambo.
Cha kushangaza, akarudi tena,amevaa vile vile kama kwanza,akayatangaza tena yale mambo kwenye TV.
Video ilionyeshwa lakini sehemu zingine ziliondolewa ama sivyo zingewaletea watu tuhuma nzito.
Mimi nimewafanyia kazi lakini mpaka Leo sijalipwa. Sasa hii inakuwaje,kwa sababu mimi nilikopa hela.
Nilimwambia( jina limehifadhiwa) awashughulikie.
Kuna mtu aliepanda gari pale stendi ya Mbezi,wamtafute yule mtu.
Huyu ananiambia tukutane anieleze zaidi, lakini mi naona I have heard enough.
Nilikuambia kitambo tu unahakikishaje huyo mtu hakuzingui tu?Nadhani hapa tunaweza kupata hitinisho la hii stori.
Ndugu zake yule jamaa wanasema huyu ana psychiatric problems. Ana matatizo ya akili na muda mrefu ameliwa anaongea haya mambo ya kijinga,mambo ya hizi hallucination.
Kwa hiyo hapa labda ni wakati mzuri wa kumuomba mod auondoe huu uzi,hizi posting zote aziondoe ili nisipate midnight knock on my door.
We ndio ulituma Ile video?Nilikuambia kitambo tu unahakikishaje huyo mtu hakuzingui tu?
We Pascali ulielewa yule mtu anadai hela kabla mi sijastukia.Poppy, Poppy Hatonn, huyo mtu ni wale mafundi wa kamati ya ufundi, alipewa kazi fulani ya ufundi kwa ahadi ya malipo manene, akakopa pesa kununua vifaa kazi, akaifanya kazi, baada ya kazi kukamilika, aliyempa kazi akamtosa mazima!
Baada ya kuelezwa wewe ni nani, anadhani unaweza kumsaidia kulipwa haki yake.
Huyo mtu ni issue, anapeleka issue nyeti kwa mtu mwingine ambaye nae ni issue akidhani utaweza kumsaidia.
Na huyo aliyemtumia mtu ambaye ni issue kupiga issues za kiufundi, akigundua jamaa anataka kuunguza picha, then.... ndio kama vile!.
Kiukweli.... Kuwa kichaa sio mpaka kuokota makopo! Je, Tanzania tuna vichaa wengi kuliko tunavyojidhania?
P
Hiyo video ya cd4 mi sikuiona.Kwanilivyoelewa kidogo…
1. Ugomvi wa Maghufuli na mtu ambaye walikuwa naye Mbezi.
2. Kuna mtu aliyepewa kazi ya kummaliza Magu, lakini hajalipwa mafao yake?
3. Kwamba kuna uhusinao kati ya kifo cha Magu na mzee Kibao?
4. Aliyezungumza kule Chatto kwenye mazishi kumsema Magu kuwa cd4 imeshuka ni suala la guessing. Lakini lazima ni muislam. Na pia kama siye waliyegombana kule Mbezi, basi wana husiana “Answar”
5. Kwamba huyo aliyempakazia Magu kuwa cd4 imeshuka kule kwenye msiba, ndo huyo huyo aliyepanga mipango ya kumuuwa. Hivyo aliyetumwa kufanya aliyoyafanya, akashangaa cd4 inahusikaje na kazi kafanya yeye na hajalipwa.
Kwa kifupi, watu wanaofahamu cycles za uongozi kwenye chama na serikali kwao kufahamu hao watu ni rahisi wanaweza kutufungulia code hapa kuhusu hao individuals.
Tuendelee kusoma…
Hakuna kitu kama hicho!hawa wazee wa kamati za ufundi,wengi ni matapeli tuu!hata huyo mtu wako atakuwa ni tapeli tuu。We Pascali ulielewa yule mtu anadai hela kabla mi sijastukia.
Na anamdai hela Mdada mwenyewe.
Unamwambia nani sasa?Wanasema,"Wamekwenda tena kumuua Job Ndugai? Leta tape- recorder sasa hivi tuongee"