FRANCIS DA DON
JF-Expert Member
- Sep 4, 2013
- 38,920
- 44,970
- Thread starter
- #21
Umeanza lini kuwashwa makalio ndugu?Fanya kumsadia janaa kuclear Deni
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Umeanza lini kuwashwa makalio ndugu?Fanya kumsadia janaa kuclear Deni
Hakuna mtandao utakaotoa pesa yako kwa niaba ya hao wapuuzi, na hawawezi kukupeleka mahakamani kamwe.Aisee, mimi sijawahi kumshitaki mtu mahakamani kwa lolote lile! Ila kwa hili, itakuwa mara yangu ya kwanza, na mwanasheria ninae mzuri sana, na nitakaowashtaki ni mtandao wangu wa simu kwa wizi, kwamba wametoaje pesa kwenye akaunti yangu bila ridhaa yangu (namba ya siri)?!
Sawa, ila hivi vitisho lazima wavilipie mahakamani, inabidi tusema tumesabbishiwa msongo mkali wa mawazo, ngoja niendelee kukusanya ushahidi, nitaanza kurekodi na voice call kabisa.., maana mahakamani lazima upeleke ushahidi unaohitosheleza. Nafanya mchongo na daktari wa akili aanze kuandaa report yake..Hakuna mtandao utakaotoa pesa yako kwa niaba ya hao wapuuzi, na hawawezi kukupeleka mahakamani kamwe.
Onyo la nini bwana hawa wamezidi. Ukiwashtaki watakuita pembeni wanakupa hela. Njaa inaumaaaaa.Wape onyo Kwanza
Kampuni gani hao mkuu wamefanya hivyo,m nilipigiwa na watu wanajiita umojaloan sijui Aisee 🙌🙌Sawa, ila hivi vitisho lazima wavilipie mahakamani, inabidi tusema tumesabbishiwa msongo mkali wa mawazo, ngoja niendelee kukusanya ushahidi, nitaanza kurekodi na voice call kabisa.., maana mahakamani lazima upeleke ushahidi unaohitosheleza. Nafanya mchongo na daktari wa akili aanze kuandaa report yake..
Kiufupi ni kuwa unamfahamu na ushamwambia. Basi inatosha.So as long as hawakunishirikisha wakati anakopa, na so as long as nilishawaambia kwa meseji na kwa mdomo kwamba naomba waainibughudhi tena juu ya hiko sababu siwajibiki nao kwa lolote, ila bado wanaendelea maliciously kunitishia na kunipa msongo wa mawazo kwa kutumia namba mgeni each time. Nitadeal nao kishiria.
Wanajiita one nini sijui.. 🤣Kampuni gani hao mkuu wamefanya hivyo,m nilipigiwa na watu wanajiita umojaloan sijui Aisee 🙌🙌
Hata kama sijamwambia, so as long siwajibiki nao kwa lolote, na nishawaambia sitaki tena simu zao, na wameendelea.., lazima wacheue pesa ndefu.., shida ni ushahidi tu, maana mahakamani bila ushahidi hutoboi.., ngoja waendelee kwanza ushahidi ujitosheleze..Kiufupi ni kuwa unamfahamu na ushamwambia. Basi inatosha.
Wakiendelea wakatti umewaambia waache, basi hiyo ni harassment.
1) Mtu anakopa pesa mtandano kisha anaandika namba yako kama mtu wake wa karibu bila ridhaa yako
2) Anaposhindwa kulipa, wale waliomkopesha wanaanza kukupigia simu eti uwasaidie kumfikishia taarifa kwamba alipe deni
3) Baada ya hapo anaposhindwa kulipa deni, eti wanatishia kukuchukulia hatua z akisheria wewe kama mdhamini.
Sasa najiuliza, hawa watu wamechanganyikiwa? Wakati anakopa sikushirikishwa wala kuambiwa lolote, ila ghafla bin vuu unaitwa mdhamini, hivi kuwa na ukaribu na mtu inamaanisha automatically weww ni mdhamini, hii imekaaje kaaje? 😂😂🤣🤣🤣
Matapeli haoNimeshapigiwa simu kama mara 4 hivi, na wanatumia namba tofauti, na ni wakali hasa! Kwa kweli wananifanyia harassment mimi wakijua kwamba siwezi kuzima simu yangu, maana yule aliyekopa kawazimia simu, ni kweli namfahamu, lakini mimi sikushirikishwa lolote wakati anakopa.
Inabidi nianze mkakati wa kuwashtaki washenzy hawa, eti wananitishia kuepeleka taarifa zangu TCRA na kuanza kunikata moja kwa moja kwenye akaunti yangu ya pesa hadi deni liishe. Nasubiri watie mkono wachukue hata mia waone moto wake.
TCRA
Tatizo ni muda utakaoutumia, vikampuni vyenyewe janja janja tu. Kuna dogo alikopa na akaniweka mdhamini, na akiniambia kabisa nikakubali. Baada ya wiki tu jamaa wakanipigia, wanataka nimkumbushe dogo alipe hela yao.Sawa, ila hivi vitisho lazima wavilipie mahakamani, inabidi tusema tumesabbishiwa msongo mkali wa mawazo, ngoja niendelee kukusanya ushahidi, nitaanza kurekodi na voice call kabisa.., maana mahakamani lazima upeleke ushahidi unaohitosheleza. Nafanya mchongo na daktari wa akili aanze kuandaa report yake..
Kibaya zaidi, hawatumii namba official ya kampuni kutishia na kutukana watu, wanatumia namba binafsi za watu hata wasiokuwa watu wa kampuni ili kujikinga na back lash kama hizi, ila dawa yao nimeshaigundua..I think wale wafanyakazi wao Wana ugonjwa wa akili
Serikali inabidi iangalie hii huduma Kwa ukaribu zaidi,
Yan unaweza kutumiwa msg unaambiwa wewe na wenzako wote matapeli
Wakati anakuweka mdhamini, wao walidhibitisha vipi kama umekubiana nae kukopa hiyo pesa, maana matokeo yake watu namba zao zinaandikwa tu kiholela bila mawasiliano wa makubaliano yoyote yaleTatizo ni muda utakaoutumia, vikampuni vyenyewe janja janja tu. Kuna dogo alikopa na akaniweka mdhamini, na akiniambia kabisa nikakubali. Baada ya wiki tu jamaa wakanipigia, wanataka nimkumbushe dogo alipe hela yao.
Niliwaambia mpelekeni polisi mkamshitaki na msinisumbue tena kwani simfahamu, hawakunipigia tena zaidi ya kuandika vimeseji uchwara kuwa pesa yao haiendi bure, na watanidhalilisha mimi na mkopaji.
nilipa aina hii ya ujumbe sikujibu1) Mtu anakopa pesa mtandano kisha anaandika namba yako kama mtu wake wa karibu bila ridhaa yako
2) Anaposhindwa kulipa, wale waliomkopesha wanaanza kukupigia simu eti uwasaidie kumfikishia taarifa kwamba alipe deni
3) Baada ya hapo anaposhindwa kulipa deni, eti wanatishia kukuchukulia hatua z akisheria wewe kama mdhamini.
Sasa najiuliza, hawa watu wamechanganyikiwa? Wakati anakopa sikushirikishwa wala kuambiwa lolote, ila ghafla bin vuu unaitwa mdhamini, hivi kuwa na ukaribu na mtu inamaanisha automatically weww ni mdhamini, hii imekaaje kaaje? 😂😂🤣🤣🤣
Nakuelewa wenyewe wanaita MingoKama unapenda shari shari na haupo busy sana, washikati wewe. Itakupotezea muda na pesa kiasi ila unaweza otea bingo ukalipwa fidia.
Tunza meseji zao, calls zote record, wakijimix siku wakakutukana au kukutishia maisha fungua shauri.
Hawakunipigia kuthibitisha na dogo nilikuwa naye tunapiga ngumu kumeza. Pesa yenyewe alipewa 25K tukavuta K-Vant kubwa 2 siku ikaisha.Wakati anakuweka mdhamini, wao walidhibitisha vipi kama umekubiana nae kukopa hiyo pesa, maana matokeo yake watu namba zao zinaandikwa tu kiholela bila mawasiliano wa makubaliano yoyote yale