Mtu kukopa pesa mtandaoni na kukuweka kama mdhamini bila ridhaa yako ni sawa?

Hakuna mtandao utakaotoa pesa yako kwa niaba ya hao wapuuzi, na hawawezi kukupeleka mahakamani kamwe.
 
Hakuna mtandao utakaotoa pesa yako kwa niaba ya hao wapuuzi, na hawawezi kukupeleka mahakamani kamwe.
Sawa, ila hivi vitisho lazima wavilipie mahakamani, inabidi tusema tumesabbishiwa msongo mkali wa mawazo, ngoja niendelee kukusanya ushahidi, nitaanza kurekodi na voice call kabisa.., maana mahakamani lazima upeleke ushahidi unaohitosheleza. Nafanya mchongo na daktari wa akili aanze kuandaa report yake..
 
Kampuni gani hao mkuu wamefanya hivyo,m nilipigiwa na watu wanajiita umojaloan sijui Aisee 🙌🙌
 
Kiufupi ni kuwa unamfahamu na ushamwambia. Basi inatosha.
Wakiendelea wakatti umewaambia waache, basi hiyo ni harassment.
 
Kiufupi ni kuwa unamfahamu na ushamwambia. Basi inatosha.
Wakiendelea wakatti umewaambia waache, basi hiyo ni harassment.
Hata kama sijamwambia, so as long siwajibiki nao kwa lolote, na nishawaambia sitaki tena simu zao, na wameendelea.., lazima wacheue pesa ndefu.., shida ni ushahidi tu, maana mahakamani bila ushahidi hutoboi.., ngoja waendelee kwanza ushahidi ujitosheleze..
 
I think wale wafanyakazi wao Wana ugonjwa wa akili

Serikali inabidi iangalie hii huduma Kwa ukaribu zaidi,

Yan unaweza kutumiwa msg unaambiwa wewe na wenzako wote matapeli
 
Matapeli hao
 
Tatizo ni muda utakaoutumia, vikampuni vyenyewe janja janja tu. Kuna dogo alikopa na akaniweka mdhamini, na akiniambia kabisa nikakubali. Baada ya wiki tu jamaa wakanipigia, wanataka nimkumbushe dogo alipe hela yao.
Niliwaambia mpelekeni polisi mkamshitaki na msinisumbue tena kwani simfahamu, hawakunipigia tena zaidi ya kuandika vimeseji uchwara kuwa pesa yao haiendi bure, na watanidhalilisha mimi na mkopaji.
 
I think wale wafanyakazi wao Wana ugonjwa wa akili

Serikali inabidi iangalie hii huduma Kwa ukaribu zaidi,

Yan unaweza kutumiwa msg unaambiwa wewe na wenzako wote matapeli
Kibaya zaidi, hawatumii namba official ya kampuni kutishia na kutukana watu, wanatumia namba binafsi za watu hata wasiokuwa watu wa kampuni ili kujikinga na back lash kama hizi, ila dawa yao nimeshaigundua..
 
Wakati anakuweka mdhamini, wao walidhibitisha vipi kama umekubiana nae kukopa hiyo pesa, maana matokeo yake watu namba zao zinaandikwa tu kiholela bila mawasiliano wa makubaliano yoyote yale
 
nilipa aina hii ya ujumbe sikujibu
 
Kama unapenda shari shari na haupo busy sana, washikati wewe. Itakupotezea muda na pesa kiasi ila unaweza otea bingo ukalipwa fidia.

Tunza meseji zao, calls zote record, wakijimix siku wakakutukana au kukutishia maisha fungua shauri.
Nakuelewa wenyewe wanaita Mingo
 
Hawa wakopeshaji saa ingine unajiuliza level yao ya ufahamu ikoje

Wakati wanamkopesha hawakukuuliza kama unamjua , wakati wa marejesho wanaanza kukutishia kwa kitu ambacho hukijui ,

Mmoja nilimtishia nikamwambia wakati mnamkopesha huyo mliniuliza kama namjua? Au kuridhia akopeshwe? Au niwageukie nyie kubwa ni matapeli alikaaa kimya hakunitafuta tena
 
Wakati anakuweka mdhamini, wao walidhibitisha vipi kama umekubiana nae kukopa hiyo pesa, maana matokeo yake watu namba zao zinaandikwa tu kiholela bila mawasiliano wa makubaliano yoyote yale
Hawakunipigia kuthibitisha na dogo nilikuwa naye tunapiga ngumu kumeza. Pesa yenyewe alipewa 25K tukavuta K-Vant kubwa 2 siku ikaisha.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…