Mtu mmoja ajirusha ziwani kutoka kwenye kivuko Mwanza. Kivuko kimeendelea na safari

1. Simu yangu haina camera ningepiga picha.
2. Tumezuiwa kupiga picha kwenye kivuko.
3. Mvua inakunya, nimeogopa simu kuingia maji.
4. Nimeshindwa kupiga picha kutokana na watu kuwa wengi.
5. Utajua mwenyewe..
.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…