Mtu mmoja ajirusha ziwani kutoka kwenye kivuko Mwanza. Kivuko kimeendelea na safari

Mtu mmoja ajirusha ziwani kutoka kwenye kivuko Mwanza. Kivuko kimeendelea na safari

MDA huu Niko kwenye kivuko, kuna mbaba WA makamo amejirusha kwenye kivuko cha busisi, yaani kivuko kimesimama dakika kadhaa halafu kikaendelea.

Bila msaada wowote, R.I.P jamaa
That's the irony of life, maisha lazima yaendelee
 
Ndio mana nlikuwa namcrush alosema shauri yake kajirusha mwenyewe,... Ameshindwa kuwaza ingetokea ajali wakatumbukia watu wanne labda wangeendelea au wangeokoa? Wako na weakness ya utayari wa kuokoa watu... We are doomed.
 
MDA huu Niko kwenye kivuko, kuna mbaba WA makamo amejirusha kwenye kivuko cha busisi, yaani kivuko kimesimama dakika kadhaa halafu kikaendelea.

Bila msaada wowote, R.I.P jamaa
Mlitoa taarifa kuwa kuna mtu amejirusha? Captain kasemaje?
 
Tukisema ni taifa lenye laana mtatushangaa
Yaani wameshindwa hata kumtupia lifebuoy jamaa
Laana za kutafuta tu hizi yaani mshkaji umeshindwa hata kuongea unafungua uzi sasa na picha lazima kapigwa tu maana ndio msaada wengi wanaouweza
Mzee Mimi nilikuwa nyuma kabisa nashangaa shangaa mandhari ya ziwani nimekuja kushtuliwa na mdogo wangu kwamba kuna tatizo, nilishtuka nikajua kivuko kinazama.

Sikubahatika hata kumuona
 
Ndio mana nlikuwa namcrush alosema shauri yake kajirusha mwenyewe,... Ameshindwa kuwaza ingetokea ajali wakatumbukia watu wanne labda wangeendelea au wangeokoa? Wako na weakness ya utayari wa kuokoa watu... We are doomed.
Hapo weakness ni waokoaji,huyo aliyejirusha ni kweli amejirusha lakini je wamechukua hatua gani kuhakikisha wanamuokoa,je kama ikitokea chombo kimezama wataweza kweli kuokoa watu, Afrika tabu sana.
 
Back
Top Bottom