Mtu mmoja ajirusha ziwani kutoka kwenye kivuko Mwanza. Kivuko kimeendelea na safari

Mtu mmoja ajirusha ziwani kutoka kwenye kivuko Mwanza. Kivuko kimeendelea na safari

Sasa kama ana mental issue akijirusha si ndo kaondolea watu tatizo.

Hakuna mwenye mental kesi akapanda ferry, akalipa afu akajirusha, huyo ana akili

Ngoja samaki wamle
Mkuu ivi nyie mnaishi dunia gani? Kwani haujui wagonjwa wa akili ambae saa hii yupo sawa alafu baada ya nusu saa kichaa kinapanda, haujawah ku encounter situation kama hizo? Usiwe judgemental mkuu Mungu hapendi kabisaa
 
Ingekuwa ajali wangeokolewa sababu ni ajali, mtu kupanda na kujitupa hiyo ni makusudi.

Vile vivuko vina wavu ni tofauti na hivi vya hapa Dar
Hiyo pia ni ajali,kwanza tuna uhakika gani kwamba ameanguka na sio kwamba amejirusha?
 
Tukisema ni taifa lenye laana mtatushangaa
Yaani wameshindwa hata kumtupia lifebuoy jamaa
Laana za kutafuta tu hizi yaani mshkaji umeshindwa hata kuongea unafungua uzi sasa na picha lazima kapigwa tu maana ndio msaada wengi wanaouweza
Yawezekana kweli tuna laana lkn hatujafikia hatua ya kuruhusu wanaume kwa wanaume kufirana Kama huko mlipo.
 
MDA huu Niko kwenye kivuko, kuna mbaba WA makamo amejirusha kwenye kivuko cha busisi, yaani kivuko kimesimama dakika kadhaa halafu kikaendelea.

Bila msaada wowote, R.I.P jamaa
Tutamkuta mbele ya safari
 
Mkuu ivi nyie mnaishi dunia gani? Kwani haujui wagonjwa wa akili ambae saa hii yupo sawa alafu baada ya nusu saa kichaa kinapanda, haujawah ku encounter situation kama hizo? Usiwe judgemental mkuu Mungu hapendi kabisaa
Jamaa anabisha tu
 
MDA huu Niko kwenye kivuko, kuna mbaba WA makamo amejirusha kwenye kivuko cha busisi, yaani kivuko kimesimama dakika kadhaa halafu kikaendelea.

Bila msaada wowote, R.I.P jamaa
kimeshakuwa chakula cha samaki hicho. afya ya akili ni shida kwa wengi tz
 
MDA huu Niko kwenye kivuko, kuna mbaba WA makamo amejirusha kwenye kivuko cha busisi, yaani kivuko kimesimama dakika kadhaa halafu kikaendelea.

Bila msaada wowote, R.I.P jamaa
Kwahiyo hakuna watu waliojitolea kumsindikiza! Mna roho za kikatili kwani hamkuweza kufikiria huko njiani anaweza kupata matatizo na atakosa msaada.
 
Hujaeleweka
Hajui kueleza kwa ufasaha. Kivuko kilikuwa kwenye mwendo,mfano kimefika katikati ya ziwa,mzee akajirusha kwenye maji. Kivuko kikaenda mbele kidogo kikasimama,labda kumsikilizia mzee kwamba labda alienda kukata gogo,au kumsalimia sangara. Walivyoona kimya kimya kivuko wakaendelea na safari.
 
Aisee
 
Daah jamaa kaiiba hatimiliki ya wazo langu. Kuna siku nilivurugwa...nikapanda pantoni la busisi...yani nikawa nayacheck yale maji mwanzo mwisho mpaka nikafika upande wa pili.

Muda huo wakati pantoni linatembea...kichwani nikawa nasikia dizain kama sauti za makaratasi yakipekuliwa, mara sauti za viti vikivutwa, mara vikohozi..dizain kama watu wapo kikaoni vile...

Kila nikitaka kujirusha nasikia sauti, "subiri kwanza"...
 
Back
Top Bottom