Iko hivi....Mungu katuumbia AKILI pamoja na HISIA. Kwenye akili akaweka UTASHI, na kwenye HISIA akaweka UPENDO.
AKILI Kazi yake ni kuulinda mwili wako na Hisia ni kwà ajili ya kuuongoza mwili wako.
Nataka kusema nini...."kama una akili timamu na Hisia zilizo kamilika,...utampenda jirani Yako kama unavyojipenda wewe mwenyewe.
I mean, kabla ya huyo jamaa kujirusha majini..Mimi Mzee Kipusa, kwà dhati ya moyo wangu...nina amini majirani zake walipata alerts...lakini wakashindwa kumuokoa kwasababu ya kuongozwa na mahisia mabaya yenye roho mbaya.
Ndugu zangu...tupendane. HII NDIO AMRI KUBWA KATIKA KUISHI KWETU.