Black Sniper
JF-Expert Member
- Dec 10, 2013
- 32,406
- 55,148
Aisee mto Zambezi mbona unakimbia sanaImenikumbusha kipindi flani navuka Zambezi River kutokea Botswana kuja Zambia kuna jamaa alijitosa pasi na sababu yoyote,mwamba mmoja akajitosa kumsaidia bahati yake aliokolewa ilikuwa shughuli pevu kuulizwa eti ana stress kali sana.
Kwa aliyewahi kupita Ile border ataelewa ni jinsi gani pale panatisha.
Jamaa alijiaminije kumuokoa
Kuna watu wana uwezo