Mtu mmoja ajirusha ziwani kutoka kwenye kivuko Mwanza. Kivuko kimeendelea na safari

Mtu mmoja ajirusha ziwani kutoka kwenye kivuko Mwanza. Kivuko kimeendelea na safari

Ukashindwa kuogolea ka majaliwa kumuokoa Mzee upate tuzo hahaha 🤣🤣🤣 umekosa bahati
 
KISHERIA ni kosa. Jamhuri ya Muungano wa Tanzania huwa haipendi kabisa kupoteza nguvu Kazi kiboyaboya
Serikali zote ulimwenguni suicide ni kosa nafahamu. Hayo ni maoni yangu mimi binafsi sitaingilia uhuru wa mtu aliyeamua kujitoa uhai..tena hasa kama sikujui.
 
Mtu akidondoka majini kwa kujirusha anazama chini kabisa maana yale maji huzunguka
Pole yake masikini ila wanaibuka kwa kutapatapa na kivuko hakikimbii hivyo
Wangemuokoa mkuu ila ndio hivyo tena
Hatuwezi kujua yaliomsibu mpaka kafikia maamuzi hayo kwani binadamu tunatofautiana kwa kuyakabili madhila yoyote
 
Unyonga unyonga unyonga ya nyoko, taifa limeelekeza nguvu kudiscuss upuuzi wakati kivuko hakina life jacket, za za uokozi wala waokoaji.
 
Serikali zote ulimwenguni suicide ni kosa nafahamu. Hayo ni maoni yangu mimi binafsi sitaingilia uhuru wa mtu aliyeamua kujitoa uhai..tena hasa kama sikujui.
Huo ni uhuru uliopitiliza. Incase you didn't know...

Mtu yeyote akiwa hai...lazima awe chini ya SHERIA. Na akifa ndio anakua juu ya SHERIA.

Kwahiyo ndio kusema....kama ukitaka kutoa sadaka ya kujimaliza...basi lazima ufanye hivyo 100% ( no pumzi, no sauti) ..

Lakini ukishindwa kujitoa uhai, basi lazima SHERIA itachukua mkondo wake naturally. Hakuna mjadala!!!
 
MDA huu Niko kwenye kivuko, kuna mbaba WA makamo amejirusha kwenye kivuko cha busisi, yaani kivuko kimesimama dakika kadhaa halafu kikaendelea.

Bila msaada wowote, R.I.P jamaa

Mtu si kataka kufa mwenyewe...
 
MDA huu Niko kwenye kivuko, kuna mbaba WA makamo amejirusha kwenye kivuko cha busisi, yaani kivuko kimesimama dakika kadhaa halafu kikaendelea.

Bila msaada wowote, R.I.P jamaa
Kwani wote hapo hamna no ya Shujaa Majaliwa!!?
 
Mtu si kataka kufa mwenyewe...
Acha roho mbaya! Wengine hawapendi....sema watu kwasasa upendo umepungua sana.

Mimi nilishanuia...siwezi kutoka ndani ya nyumba yangu na kwenda kutafuta riziki pasipo kutenda jambo jema njiani. Napenda sana kusaidia watu hata bila kuombwa msaada. Napenda kusitiri watu.
Wakati mwingine naweza kumuona mtu anashida na hajasema....nikamvuta pembeni...nikamsaidia. Au nikamsaidia mtu pasipo yeye kujua.
 
Back
Top Bottom