Mtu mmoja ajirusha ziwani kutoka kwenye kivuko Mwanza. Kivuko kimeendelea na safari

Mtu mmoja ajirusha ziwani kutoka kwenye kivuko Mwanza. Kivuko kimeendelea na safari

Tukisema ni taifa lenye laana mtatushangaa
Yaani wameshindwa hata kumtupia lifebuoy jamaa
Laana za kutafuta tu hizi yaani mshkaji umeshindwa hata kuongea unafungua uzi sasa na picha lazima kapigwa tu maana ndio msaada wengi wanaouweza
Mtu akidondoka majini kwa kujirusha anazama chini kabisa maana yale maji huzunguka
 
Vivuko vyetu vingi nchini Maboya yote yamefungiwa mkuu tena kwa kamba nzito huwezi kulinasua haraka haraka
Tukisema ni taifa lenye laana mtatushangaa
Yaani wameshindwa hata kumtupia lifebuoy jamaa
Laana za kutafuta tu hizi yaani mshkaji umeshindwa hata kuongea unafungua uzi sasa na picha lazima kapigwa tu maana ndio msaada wengi wanaouweza
 
Hapo weakness ni waokoaji,huyo aliyejirusha ni kweli amejirusha lakini je wamechukua hatua gani kuhakikisha wanamuokoa,je kama ikitokea chombo kimezama wataweza kweli kuokoa watu, Afrika tabu sana.
Ni shida sana mkuu
Yaani ina maana hao watu hawana mafunzo kabisa hata waalimu wao ni maboya tu

Hawa ndio wakiona meli imeelemewa wanatupa watu badala ya mizigo
 
Vivuko vyetu vingi nchini Maboya yote yamefungiwa mkuu tena kwa kamba nzito huwezi kulinasua haraka haraka
Tukisema ni taifa lenye laana mtatushangaa
Yaani wameshindwa hata kumtupia lifebuoy jamaa
Laana za kutafuta tu hizi yaani mshkaji umeshindwa hata kuongea unafungua uzi sasa na picha lazima kapigwa tu maana ndio msaada wengi wanaouweza
 
MDA huu Niko kwenye kivuko, kuna mbaba WA makamo amejirusha kwenye kivuko cha busisi, yaani kivuko kimesimama dakika kadhaa halafu kikaendelea.

Bila msaada wowote, R.I.P jamaa
Alifikiria Bwamdogo majaliwa yupo Karibu!
 
Ndio mana nlikuwa namcrush alosema shauri yake kajirusha mwenyewe,... Ameshindwa kuwaza ingetokea ajali wakatumbukia watu wanne labda wangeendelea au wangeokoa? Wako na weakness ya utayari wa kuokoa watu... We are doomed.
Ingekuwa ajali wangeokolewa sababu ni ajali, mtu kupanda na kujitupa hiyo ni makusudi.

Vile vivuko vina wavu ni tofauti na hivi vya hapa Dar
 
Sad! Kuna mambo/matukio kwenye maisha kama mtu huna roho ngumu basi unaishia kufanya kitu kisichofikirika 🤭🤭🤭
 
Kama anaupungufu wa akili mkuu aachwe tu? Kuna kitu hakipo sawa, ni haki ya mtu kuokolewa
Anayetaka jiua hatakiwi saidiwa, anatakiwa aachwe afe.

Sasa asaidiwe na nani kwa upumbavu wake?
 
Back
Top Bottom