Mtu mmoja ajirusha ziwani kutoka kwenye kivuko Mwanza. Kivuko kimeendelea na safari

Maisha yashamchanganya madeni kila Kona hapo ni kuomba yasikukute maana akili huwa inavurugika kwa sekunde moja tuuu kama hutapata mtu wa saikolojia chochote kinaweza kukutokea
 
Mfano mi sijui ogelea hivyo kiherehere cha kujirusha au kukimbilia panton huwa sina.
Huwa najiweka karibu na maboya ili likitokea nijiwahi mapema...

Kuna siku limeyumba kuna mdada kanidaka mimi badala ajishikize, yule lingezama asingeamini ngumi ambayo angeipata
[emoji38] [emoji23] nacheka kama mazuri aisee
Lakini ni vizuri kujifunza kuogelea mkuu
Watoto wangu wamezaliwa nje na wanafundishwa shuleni kuogelea wakiwa wadogo

Ila mimi old school nimeogelea kwenye mabwawa na mito sana
 
Kuna wakati niliokolewa na dogo niliyemzidi miaka 10, pale nilikuwa nakufa kifo kibaya
 
[emoji38] [emoji23] nacheka kama mazuri aisee
Lakini ni vizuri kujifunza kuogelea mkuu
Watoto wangu wamezaliwa nje na wanafundishwa shuleni kuogelea wakiwa wadogo

Ila mimi old school nimeogelea kwenye mabwawa na mito sana
Tofautisha kupiga mbizi ziwani na kufundishwa kuogelea kwenye makalai yenu ya kupuliza hayo na swimming pools
 
Back
Top Bottom