Mtu mmoja akamatwa baada ya kushambulia Kanisa Katoliki Zanzibar

Yaani mtu badala atumie NGUVU alizo nazo kujitafutia kipato, anawaza Imani za wengine. Kwa ujumla aliyefanya hivyo ukute ni masikini tu, anatumwa Kwa mihemko ya kidini. Hapo sawa na kuinyooshea kidole familia ya mtu mwingine kwamba Kwanini wanakula ugali badala ya wali.

Anyway, Kanisa katoliki ni IMARA sana, hapo kajisumbua tu.
 
IBRAHIM alivunja masanamu.kwenye madhabahu ya baba ake ni sawa lakini huyu mzanzibari kwenda kuvunja masanamu kwenye "nyumba ya Mungu" mnaona sio sawa.
Kama Kanisa muislam wewe leo umeliona ni nyumba ya Mungu then tuseme umeshagundua kwamba msikiti ni nyumba ya shetani?

Unafiq tu
 
Upo dunia gani? Wanaochoma misahafu Kila siku ni wakina nani?

Halafu uislamu ndio unaamrisha hayo au ni mtu tu na akili zake?
 
Mapendo .

Leo Asubuh saa moja kumetokea changamoto jimboni kwetu Zanzibar .

Mtu mmoja Mwenye Asiri ya kiarabu kaingia Ndani kanisani na kuanza kuvunja Sanamu kubwa iliyoko mlango mkuu kwa nje na kuanza kuipiga nyundo

Haikutosha Akaingia ndani na kuvunga sanamu ya Bikira Maria na kuvua Rozali zote ,Alipo maliza Akachukua kichwa cha Sanamu na kutaka kuondoka Nacho .

Ndipo Alipo Onekana na kulikua na watu wachache wakishirikiana na mlinzi waka Mzibiti na kupiga cm police kwa mkuu wa kituo wakaja kumchukua .

mpaka sasa yupo chini ya ulinzi kwa Mahojiano zaidi .

Tumetoka mbali sana na utume wetu Zanzibar mpaka hii leo .

Mzidi kutuombea sana ktk Utume wetu
Mungu yupo pamoja Nasi 🙏🏿🙏🏿
 
IBRAHIM alivunja masanamu.kwenye madhabahu ya baba ake ni sawa lakini huyu mzanzibari kwenda kuvunja masanamu kwenye "nyumba ya Mungu" mnaona sio sawa.
Alichokifanya ni uchokozi wa wazi,, hatukatai ni mzanzibari jeh ni muumini wa dini ipi?????
 
Mambo mengine ni kutafuta nongwa na watu tu,unaenda kujenga mkanisa mkubwa na kuweka askofu sehemu ambayo hao waumini wenyewe huna sana sana unatuta watu kutoka sehemu nyingine kila siku ya ibada ili ionekane mna waumini wengi wakati kiuhalisia hamna waumini hata wanaofika 200!
 
Halafu hiyo hoja ni ya kipumbavu mno


Yaani Zanzibar yenye watu million 2 inaizidi Dar es salaam Kwa kulana tigo??


Nenda telegram huko uone wabongo wanavyouza tigo

Hizo ni propaganda tu ambazo huwezi kuniongopea mzaliwa wa jiji hili
Yupo kamanda analipwa mshahara na dada'ako wa kipemba muislam mwenzako aliitisha press hapo Chukwani akawa anatoa nasaha kuwahimizeni hapo zenzibar muache kufirana

Huyo ndiye ukamwambie ana hoja za kipumbavu ila mimi nakupa fact
 
Halafu hiyo hoja ni ya kipumbavu mno


Yaani Zanzibar yenye watu million 2 inaizidi Dar es salaam Kwa kulana tigo??


Nenda telegram huko uone wabongo wanavyouza tigo

Hizo ni propaganda tu ambazo huwezi kuniongopea mzaliwa wa jiji hili
Unajua namna ya kusoma na kuzitumia data?
Jamii yenye mashoga 8 kati ya watu 20 na jamii yenye mashoga 6 kati ya watu 10 ni jamii ipi iliyoathirika zaidi?
 
Mbona ninakotoka mimi kuna msikiti ambao waumini hawafiki 12 lakini upo tangu nazaliwa hadi leo nazeeka na haujawahi kufanyiwa hujuma yoyote?

Ninyi mnahisi mna uspesho gani hadi wengine wasiwe na haki kama nyie?shida yenu kubwa akili kisoda.
 
Kunyimwa elimu ya darasani, inapoteza uwezo wa mtu kufikiri na kutafakari; huyu amemezeshwa mambo ya imani tu
 
Udini una sumbua sana akili za watu,
Hapo juu watu wanatoa maoni bila kujuwa dini ya mtu je, kama in mkiristo
ACHENI UDINI MNABOA.
 
Msijitoe ufahamu kiasi hiki.

Acheni unafiki

Sawa ata kule Ukraine kuna waislam wengi sana na Urusi pia.
Shida kubwa ni kwamba hao wana chuki kubwa mno na uislamu, na wanatamani uislamu usiwepo

Hapa wanapatia sehemu ya kutema nyongo zao
 
Shangaa sasa dogo wa miaka 9 washaanza kumfira, ila wanavyohangaika na dini za watu na kuona dini yao ndio bora wanafiki wakubwa hao.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…