Mtu mwenye degree anapoenda kujifunza kazi ya waliokosa Elimu ni ujumbe gani tunapata kuhusu Elimu yetu?

Maisha hayana formula mwache afanye kama atakavyo njia ya mafanikio huwa gizani
 
Tatizo kubwa linakuja watu wanapokariri elimu ni idadi ya madarasa na degree.

Wakati ujuzi wa kushona tu ni elimu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Anataka kuja kuwa designer mkubwa wa mavazi.
Fundi mwenye degree na fundi hasiyekuwa na degree ni vitu viwili tofauti.
Sharia Ngowi, greater designer with LLB bachelor

Sent using Jamii Forums mobile app
Kwanza nimpongeze mpwa wako kwa kuwa na uthubutu wa kujifunza kitu cha kuweza kujiajiri, siyo kila mwenye degree awe muajiriwa, hongera zake na huenda akatoboa kimaisha kuliko hao wenye degree wenye kusubiri ajira.
 
Wewe umetazama ufundi ule wa mazoea, yawezekana ye ameuona katika mtazamo tofauti ndio maana ana shauku kubwa sana ya kujifunza ili apate timiza ndoto zake. Nadhani unafahamu pia watu kama Speshoz na wenzake wanavyofurahia maisha kupitia cherehani.
 
SUBIRI BAADA YA MIAKA KADHAA NDIO UJE UHOJI TUNAPOKWAMA.
 
The sad part hata ushauri mzuri anaopata kutoka humu JF unaishia kwenye makabati,hata huu uzi utapita na kubaki kwenye archives za Jamii Forums..sio bure kuna tatizo la kusikia ama kuona kwa viongozi wetu lol
Huu ushauri nakuhakikishia anausoma. Nimemtumia link ameniambia anafuatilia kila post. Na anashukuru sana wanaomtia moyo.
 
Wasomi wamebadilisha sana tasnia ya urembo, mavazi, upambaji, upishi na kilimo.

Wasio wasomi walikuwa wameshikilia haya maeneo na kazi zao hazikuwa na thamani na mvuto kwa tabaka la wenye pesa hata hizi huduma zikawa zinapatikana toka nje.

Sasa wenye pesa wanachagua kushona shela kuliko kuagiza uturuki.

Huduma za vyakula kwa ajili ya sherehe zilitegemewa sana kutoka kwenye mahoteli makubwa ambapo wapishi walikuwa ni wageni. Leo huduma hizo zinatolewa na wazawa kwa ubora.

Kilimo cha mboga mboga na matunda kimebadilisha kabisa upatikanaji na matumizi ya hizo mboga.
Mchicha, kusamvu vinapatikana hadi supermarket.

Tunahitaji wasomi kwenye kila sekta ili kuongeza tija na uzalishaji sambamba na kuinua pato la jamii.


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sasa kama ameliona gap kwenye ushonaji asilitumie kwasababu amesoma ila hio kozi mbona soko inayo kozi almost zote za social science ni dili hio kozi nisingekosa kazi kabisa
Siyo rahisi kama unavyosema. Graduates wa course hizo ni wengi mno. Wengi wanahangaika mitaani.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wewe kweli ni mtoto. Watu wamemaliza vyuo mwaka 2013 na hawana ajira wewe unaongelea kuanza Chuo 2015!!!! Kama una ajira ni bahati tu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwa hiyo unashauri nini kwa hao 30,000 wanaokosa kuajiriwa?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kua Kua na skills nyingi Ni jambo jema amechelewa sana yani nampongeza kwa uamuzi huo Mimi Ni graduate ila Nina skills ambazo hata nikose ajira silali njaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…