Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tatizo kubwa linakuja watu wanapokariri elimu ni idadi ya madarasa na degree.Humu kuna watu twawaita ma GT ila ni wapumbavu kiasili na hawataki kuelewa ku ni wapumbavu.
kuna ubaya gani kufunzwa kazi na drs la 7, mimi nimefunzwa kazi na drs la 7 taasisi flani.Badae nikapewa kuwa msimamizi wao (wakati naenda pale wanajamii hasa marafiki walikuwa wananibeza badae tukikutana wananisifia bora kazi ndogo kuliko kukaa bure)
nimetoka pale nikachukuliwa na taasisi nyingine (inayo fanya kazi sawa na ile ya mwanzo wakanipa kitengo)
la saba ama asiyesoma kukufunza kazi ni kawaida sana,kazi inabaki kwako kujiongeza, kufanya kwa malengo na kujitoa pale.
Nimetoka kuzungumza na mpwa wangu sasa hivi anaomba msaada wa cherehani akajifunze kushona nguo, ndio mradi aliobuni baada ya kusota miaka 2 bila ajira. Amesoma ana degree Bachelor of Arts in Community and Development Studies.
Kaniambia ameshapata mtu wa kumfundisha na mahali pa kujifunzia (baraza fulani hivi). Ninavyofahamu huyo fundi cherehani atakayekuwa anamfundisha mpwa wangu kushona ana elimu ya darasa la saba tu, jamani! Huyu fundi atapata ujumbe gani kuhusu kusomesha mtoto?
Hivi kweli ni sawa kijana asome hadi elimu ya university aishie kuja kufundishwa ushonaji na mtu wa la saba? Kulikuwa na sababu gani ya kupoteza gharama na muda wote huo, si bora tu angeenda ushonaji alipomaliza la saba, labda sasa hivi angekuwa mbali sana. Au kuna mahali tunakosea katika elimu hizi, tuna universities nyingi na courses nyingi lakini kumbe wanachohitaji watu ni ufundi cherehani tu! Tunahangaika na mambo makubwa ya gharama kubwa bure tu!
Interestingly mpwa wangu ana shauku kubwa ya kutekeleza mpango wake huu, anauchukulia serious kabisa, anaanza kesho rasmi! Namtakia kila la heri lakini kwa kweli nashangaa tu, mimi katika makuzi yangu niliona degree ni level kubwa sana, si ya kutumia kwenye cherehani. Lakini basi ndiyo imeshakuwa hivyo.
Tunakwama wapi?
Kwanza nimpongeze mpwa wako kwa kuwa na uthubutu wa kujifunza kitu cha kuweza kujiajiri, siyo kila mwenye degree awe muajiriwa, hongera zake na huenda akatoboa kimaisha kuliko hao wenye degree wenye kusubiri ajira.Anataka kuja kuwa designer mkubwa wa mavazi.
Fundi mwenye degree na fundi hasiyekuwa na degree ni vitu viwili tofauti.
Sharia Ngowi, greater designer with LLB bachelor
Sent using Jamii Forums mobile app
Safi sanaMahala nnapofanyia kazi kuna dogo wa Bachelor alikuwa kila mwisho wa semester au Mwaka, anajichanganya kuendesha Bajaj! Na juzi amegraduate tayari yupo kitaa na Bajaj yake
Sent using Jamii Forums mobile app
Sijakuelewa. Tafadhali eleza kwa lugha fasaha.We umesema nn na he hichi ili chia dola ndo ukichosomea?
Safi, unauzia terminal au kitaa?
SUBIRI BAADA YA MIAKA KADHAA NDIO UJE UHOJI TUNAPOKWAMA.Nimetoka kuzungumza na mpwa wangu sasa hivi anaomba msaada wa cherehani akajifunze kushona nguo, ndio mradi aliobuni baada ya kusota miaka 2 bila ajira. Amesoma ana degree Bachelor of Arts in Community and Development Studies.
Kaniambia ameshapata mtu wa kumfundisha na mahali pa kujifunzia (baraza fulani hivi). Ninavyofahamu huyo fundi cherehani atakayekuwa anamfundisha mpwa wangu kushona ana elimu ya darasa la saba tu, jamani! Huyu fundi atapata ujumbe gani kuhusu kusomesha mtoto?
Hivi kweli ni sawa kijana asome hadi elimu ya university aishie kuja kufundishwa ushonaji na mtu wa la saba? Kulikuwa na sababu gani ya kupoteza gharama na muda wote huo, si bora tu angeenda ushonaji alipomaliza la saba, labda sasa hivi angekuwa mbali sana. Au kuna mahali tunakosea katika elimu hizi, tuna universities nyingi na courses nyingi lakini kumbe wanachohitaji watu ni ufundi cherehani tu! Tunahangaika na mambo makubwa ya gharama kubwa bure tu!
Interestingly mpwa wangu ana shauku kubwa ya kutekeleza mpango wake huu, anauchukulia serious kabisa, anaanza kesho rasmi! Namtakia kila la heri lakini kwa kweli nashangaa tu, mimi katika makuzi yangu niliona degree ni level kubwa sana, si ya kutumia kwenye cherehani. Lakini basi ndiyo imeshakuwa hivyo.
Tunakwama wapi?
Huu ushauri nakuhakikishia anausoma. Nimemtumia link ameniambia anafuatilia kila post. Na anashukuru sana wanaomtia moyo.The sad part hata ushauri mzuri anaopata kutoka humu JF unaishia kwenye makabati,hata huu uzi utapita na kubaki kwenye archives za Jamii Forums..sio bure kuna tatizo la kusikia ama kuona kwa viongozi wetu lol
Issue ni kujiongeza. Unapiga pesa kutoka USAID
Daah kuongea hivyo ni rahisi kinyama,njoo kwenye utekelezaji uone shughuli yake.Issue ni kujiongeza. Unapiga pesa kutoka USAID
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣 angebakiga tu mtaani aendeshe bajaji swayne! Bila shika ni vile vi kozi vya wote !
Huna akili ww !Mimi nimeapa mwanangu nitamsomesha mpaka form 4 tu baada ya hapo namtafutia akasome ujuzi wowote hizi takataka za degree ni upuuzi mtupu hazina impact yoyote mtaani ili utengeneze pesa
Sent using Jamii Forums mobile app
Siyo rahisi kama unavyosema. Graduates wa course hizo ni wengi mno. Wengi wanahangaika mitaani.Sasa kama ameliona gap kwenye ushonaji asilitumie kwasababu amesoma ila hio kozi mbona soko inayo kozi almost zote za social science ni dili hio kozi nisingekosa kazi kabisa
Wewe kweli ni mtoto. Watu wamemaliza vyuo mwaka 2013 na hawana ajira wewe unaongelea kuanza Chuo 2015!!!! Kama una ajira ni bahati tuYAANI WATANZANIA WANAIONA ELIMU KAMA HAISAIDII CHOCHOTE KWA SABABUBYA MIAKA HII MINNE TU AMBAYO AJIRA NYINGI ZIMESITISHWA. WAMEISAHAU KABISA MIAKA AMBAYO AJIRA ZILIKUWA NYINGI.
jamani tuwe wapole, mfano: kitu nilichosomea mimi kabla ya mwaka 2016, ajira zilkuwa zinatoka 50+ kila mwaka na ilikuwa inachukua watu wa course mbili ambazo zilikuwa zinazalisha si zaidi ya 25 graduates per year. Lakini october mwaka 2015 tuliingia chuo watu zaidi ya 40 kwenye course yangu tu na wenzetu walikuwa 20 na tume maintain hiyo trend mpaka leo, ingawa tangu 2015 ajira zinatoka si zaidi ya 5 kwa mwaka.
Sasa hapa tatizo ni kwamba ajira zimesitishwa ndio maana watu wanalazimika kufanya kazi yoyote.
Lakini mkumbuke kwamba ni kipindi tu, mda utafika mambo yatakuwa tofauti tu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwa hiyo unashauri nini kwa hao 30,000 wanaokosa kuajiriwa?Mimi nashangaa sana watu kama wewe huwa mnakosa akili kichwani . Mfano watu 40000 wameliza vyuo katika fani mbalimbali Tz nzima na ktk hao kumi elfu wakawa wameajiliwa na thelathini elfu wakawa hawana ajira na wakaenda kuanzisha ujasiriamali . Nani atamuhuzia mwenzake .
Mfano 2.
Umemaliza course ya engineering hafu wote mkaenda kufungua construction company miaka miatu ujapata tenda utalipa Nini ada crb na kodi.
Kumbuka crb imedelete compuni nyingi sana mwaka huu kwa kushinda kulipa ada na zingine zimekufa kwa kukosa tenda .
Na compuni nyingi hazina mtaji wa kushika hata tenda za milioni Mia moja na zinaenda kwa kampuni za kigeni.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kua na skills nyingi Ni jambo jema amechelewa sana yani nampongeza kwa uamuzi huo Mimi Ni graduate ila Nina skills ambazo hata nikose ajira silali njaaNimetoka kuzungumza na mpwa wangu sasa hivi anaomba msaada wa cherehani akajifunze kushona nguo, ndio mradi aliobuni baada ya kusota miaka 2 bila ajira. Amesoma ana degree Bachelor of Arts in Community and Development Studies.
Kaniambia ameshapata mtu wa kumfundisha na mahali pa kujifunzia (baraza fulani hivi). Ninavyofahamu huyo fundi cherehani atakayekuwa anamfundisha mpwa wangu kushona ana elimu ya darasa la saba tu, jamani! Huyu fundi atapata ujumbe gani kuhusu kusomesha mtoto?
Hivi kweli ni sawa kijana asome hadi elimu ya university aishie kuja kufundishwa ushonaji na mtu wa la saba? Kulikuwa na sababu gani ya kupoteza gharama na muda wote huo, si bora tu angeenda ushonaji alipomaliza la saba, labda sasa hivi angekuwa mbali sana. Au kuna mahali tunakosea katika elimu hizi, tuna universities nyingi na courses nyingi lakini kumbe wanachohitaji watu ni ufundi cherehani tu! Tunahangaika na mambo makubwa ya gharama kubwa bure tu!
Interestingly mpwa wangu ana shauku kubwa ya kutekeleza mpango wake huu, anauchukulia serious kabisa, anaanza kesho rasmi! Namtakia kila la heri lakini kwa kweli nashangaa tu, mimi katika makuzi yangu niliona degree ni level kubwa sana, si ya kutumia kwenye cherehani. Lakini basi ndiyo imeshakuwa hivyo.
Tunakwama wapi?
Uko Mkoa gani?? Unawafahamu kiumbe,kizazi kipya waltereed, pact, na wengine kama hao?Daah kuongea hivyo ni rahisi kinyama,njoo kwenye utekelezaji uone shughuli yake.
Sent using Jamii Forums mobile app