Mtu mwenye degree anapoenda kujifunza kazi ya waliokosa Elimu ni ujumbe gani tunapata kuhusu Elimu yetu?

Nimetoka kuzungumza na mpwa wangu sasa hivi anaomba msaada wa cherehani akajifunze kushona nguo, ndio mradi aliobuni baada ya kusota miaka 2 bila ajira. Amesoma ana degree Bachelor of Arts in Community and Development Studies.

Kaniambia ameshapata mtu wa kumfundisha na mahali pa kujifunzia (baraza fulani hivi). Ninavyofahamu huyo fundi cherehani atakayekuwa anamfundisha mpwa wangu kushona ana elimu ya darasa la saba tu, jamani! Huyu fundi atapata ujumbe gani kuhusu kusomesha mtoto?

Hivi kweli ni sawa kijana asome hadi elimu ya university aishie kuja kufundishwa ushonaji na mtu wa la saba? Kulikuwa na sababu gani ya kupoteza gharama na muda wote huo, si bora tu angeenda ushonaji alipomaliza la saba, labda sasa hivi angekuwa mbali sana. Au kuna mahali tunakosea katika elimu hizi, tuna universities nyingi na courses nyingi lakini kumbe wanachohitaji watu ni ufundi cherehani tu! Tunahangaika na mambo makubwa ya gharama kubwa bure tu!

Interestingly mpwa wangu ana shauku kubwa ya kutekeleza mpango wake huu, anauchukulia serious kabisa, anaanza kesho rasmi! Namtakia kila la heri lakini kwa kweli nashangaa tu, mimi katika makuzi yangu niliona degree ni level kubwa sana, si ya kutumia kwenye cherehani. Lakini basi ndiyo imeshakuwa hivyo.

Tunakwama wapi?
Kuna msomi wa IFM pale posta anauza uji wa dona,mchele,ulezi na vitafunwa mkuu humuezi kwa mkwanja ,anauleta asb na kuutembeza kwenye maofisi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
"Bachelor of arts in Community and development studies," Ibaki kwenye makaratasi na "saver," Za elimu ya juu. Ukifika mtaani fanya kilichopo sokoni.
 
Kwani kakwambia atafia humo kwenye cherehani mwenye elimu muheshimu anaweza kusota na cherehani kwa miaka miwili baadae ukashangaa amepata bonge la mchongo
kabisa kaka.,Halaf mtazamo wa huyo mpwa kuhusu hiyo fani ya kushona utakua tofauti sana na hawa mafundi wa kawaida.tayar yy atakua kashaona soko flan analoli target..sidhani kama atakua anasubir watu wamfuate.Anaweza akaifanya hiyo bishara ya kawaida kama njia isiyo ya kawaida bali iliyo bora zaid.
 
Tupo wengi mkuu saiz natembeza matunda ubungo
Nimetoka kuzungumza na mpwa wangu sasa hivi anaomba msaada wa cherehani akajifunze kushona nguo, ndio mradi aliobuni baada ya kusota miaka 2 bila ajira. Amesoma ana degree Bachelor of Arts in Community and Development Studies.

Kaniambia ameshapata mtu wa kumfundisha na mahali pa kujifunzia (baraza fulani hivi). Ninavyofahamu huyo fundi cherehani atakayekuwa anamfundisha mpwa wangu kushona ana elimu ya darasa la saba tu, jamani! Huyu fundi atapata ujumbe gani kuhusu kusomesha mtoto?

Hivi kweli ni sawa kijana asome hadi elimu ya university aishie kuja kufundishwa ushonaji na mtu wa la saba? Kulikuwa na sababu gani ya kupoteza gharama na muda wote huo, si bora tu angeenda ushonaji alipomaliza la saba, labda sasa hivi angekuwa mbali sana. Au kuna mahali tunakosea katika elimu hizi, tuna universities nyingi na courses nyingi lakini kumbe wanachohitaji watu ni ufundi cherehani tu! Tunahangaika na mambo makubwa ya gharama kubwa bure tu!

Interestingly mpwa wangu ana shauku kubwa ya kutekeleza mpango wake huu, anauchukulia serious kabisa, anaanza kesho rasmi! Namtakia kila la heri lakini kwa kweli nashangaa tu, mimi katika makuzi yangu niliona degree ni level kubwa sana, si ya kutumia kwenye cherehani. Lakini basi ndiyo imeshakuwa hivyo.

Tunakwama wapi?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Anataka kuja kuwa designer mkubwa wa mavazi.
Fundi mwenye degree na fundi hasiyekuwa na degree ni vitu viwili tofauti.
Sharia Ngowi, greater designer with LLB bachelor

Sent using Jamii Forums mobile app
Nakushauri mpeleke mpwa wako veta shirika liko vizuri kwa maana ya walimu na vifaa vya kufundishia atapata nadharia (theory) na vitendo kuliko kwa huyo fundi wa barazani.
 
Nimetoka kuzungumza na mpwa wangu sasa hivi anaomba msaada wa cherehani akajifunze kushona nguo, ndio mradi aliobuni baada ya kusota miaka 2 bila ajira. Amesoma ana degree Bachelor of Arts in Community and Development Studies.

Kaniambia ameshapata mtu wa kumfundisha na mahali pa kujifunzia (baraza fulani hivi). Ninavyofahamu huyo fundi cherehani atakayekuwa anamfundisha mpwa wangu kushona ana elimu ya darasa la saba tu, jamani! Huyu fundi atapata ujumbe gani kuhusu kusomesha mtoto?

Hivi kweli ni sawa kijana asome hadi elimu ya university aishie kuja kufundishwa ushonaji na mtu wa la saba? Kulikuwa na sababu gani ya kupoteza gharama na muda wote huo, si bora tu angeenda ushonaji alipomaliza la saba, labda sasa hivi angekuwa mbali sana. Au kuna mahali tunakosea katika elimu hizi, tuna universities nyingi na courses nyingi lakini kumbe wanachohitaji watu ni ufundi cherehani tu! Tunahangaika na mambo makubwa ya gharama kubwa bure tu!

Interestingly mpwa wangu ana shauku kubwa ya kutekeleza mpango wake huu, anauchukulia serious kabisa, anaanza kesho rasmi! Namtakia kila la heri lakini kwa kweli nashangaa tu, mimi katika makuzi yangu niliona degree ni level kubwa sana, si ya kutumia kwenye cherehani. Lakini basi ndiyo imeshakuwa hivyo.

Tunakwama wapi?

kipindi hana kazi hukumletea uzi nazani ulikua katika kipindi cha furaha kubwa sana kwako. Now kaanza kujishikisha una anza kumjadili. Wewe ni mtoto wa kiume una roho mbaya, chuki, hasidi na wivu kwa ndugu yako. Fanya yanayokuhusu yasiyo kuhusu huyawezi na hutoyaweza maisha. Kesho na keshokutwa utakuja na uzi wa mtu wa degree kwenda kunya Manzese. Wakati ni kitu cha kawaida kabisa. Wewe umejiariwa furahia ajira yako mwache yeye mwenye shauku kile anachofanya saiv kama inakuuma sana kajinyonge.
 
Unapochagua kozi angalia kozi yenye uhitaji kwenye soko la ajira au yenye uwezo wa kukuwezesha kujiajiri.
 
Ninavyofahamu huyo fundi cherehani atakayekuwa anamfundisha mpwa wangu kushona ana elimu ya darasa la saba tu, jamani! Huyu fundi atapata ujumbe gani kuhusu kusomesha mtoto?

Naona dalili za fundi cherehani kuingia matatizoni, kwanini anachangamana na msomi?
 
Kazi popote, na degree yangu nipo natembeza ukwaju wa Azam..

Maisha ni formular tu na maisha yananiendea poa tu...

Sent using Jamii Forums mobile app
Mfano mtu Ana digrii ya marketing anafaa Sana kuwa machinga au muuza ukwaju sababu kuwa machinga na kuuza ukwaju lazima uwe na skill za marketing sijui kwa Nini wasomi wa digrii za biashara na marketing hawataki kuwa machinga au wauza ukwaju wa Azam mitaani
 
Kwenye udobi mtu hawezi kunishawishi. Watu wafanye mambo yao kwenye mashuka halafu niletewe nifue? Na degree zangu? Naheshimu kazi lakini hii hapana, unless uniambie nitalipwa mara 100 ya bei ya kawaida.
1576852318644.png

Dunia inakimbia sana...saana.Kuna mengi sana ya kujifunza.Kuna mazingira kama Hospital ambako ni kuchafu saana.
Lakini nimeshudia mara kadhaa nilipotembelea baadhi ya sehemu hizo.si kero tena kwa ufuaji.
Kuna machine kubwa sana...zaidi ya hizo.
Watu walio elimika gloves lazima zikuhusu hata kama ni unafua shuka za Guest.Hata iwe za watu binafsi...swala la afya kwa mwendo dunia kiganja ni rahisi zaidi kama umepata Degree na Kuelimika si kukariri.
 
Nimetoka kuzungumza na mpwa wangu sasa hivi anaomba msaada wa cherehani akajifunze kushona nguo, ndio mradi aliobuni baada ya kusota miaka 2 bila ajira. Amesoma ana degree Bachelor of Arts in Community and Development Studies.

Kaniambia ameshapata mtu wa kumfundisha na mahali pa kujifunzia (baraza fulani hivi). Ninavyofahamu huyo fundi cherehani atakayekuwa anamfundisha mpwa wangu kushona ana elimu ya darasa la saba tu, jamani! Huyu fundi atapata ujumbe gani kuhusu kusomesha mtoto?

Hivi kweli ni sawa kijana asome hadi elimu ya university aishie kuja kufundishwa ushonaji na mtu wa la saba? Kulikuwa na sababu gani ya kupoteza gharama na muda wote huo, si bora tu angeenda ushonaji alipomaliza la saba, labda sasa hivi angekuwa mbali sana. Au kuna mahali tunakosea katika elimu hizi, tuna universities nyingi na courses nyingi lakini kumbe wanachohitaji watu ni ufundi cherehani tu! Tunahangaika na mambo makubwa ya gharama kubwa bure tu!

Interestingly mpwa wangu ana shauku kubwa ya kutekeleza mpango wake huu, anauchukulia serious kabisa, anaanza kesho rasmi! Namtakia kila la heri lakini kwa kweli nashangaa tu, mimi katika makuzi yangu niliona degree ni level kubwa sana, si ya kutumia kwenye cherehani. Lakini basi ndiyo imeshakuwa hivyo.

Tunakwama wapi?
Amka wewe aliyefungua kiwanda cha kutengeneza suti kama za Turkey hapa kitaa alianza kama huyo ndugu yako ila elimu haimtupi mtu bwana yaani baada ya kujua kushona tu alianza kushona suti za wanakwanya ninavyokuambia kuwa ukisikia suit kutoka Uturuki unaamini kumbe kutoka Magomeni Mapipa na kwasasa amebamba kinoma kariakoo.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Unapochagua kozi angalia kozi yenye uhitaji kwenye soko la ajira au yenye uwezo wa kukuwezesha kujiajiri.

Hakuna kozi inayolipa au isiyolipa kikubwa ni kumwomba Mwenyezi Mungu akufanyie wepesi katika safari yako ya mafanikio. Kuna watu wamesoma MD miaka 5 hawana ajira za kuajiriwa na mitaji hawana, wakati kuna wengine wamesoma BA in ....( miaka 3 tu) lakini baada ya kumaliza tu wanapata mashavu, hivyo kila kitu ni mipango ya Mwenyezi Mungu.
 
Kuna jamaa mmoja ana masters ya sociology anauza nguo,ukiingia kwake anakuangaliaa akiona hufanani na nguo zake anazouza ana kushit.Nilikwenda kumnunulia mtu ila nikamkuta jamaa yuko busy na mteja wa design ya nguo zake,akani ignore ijapo nilikuwa na laki moja nilitaka kununua kitu hapo.Ilibidi niondoke tu.
Nilipouliza watu huyu jamaa ana shida gani!Ndipo nikaambiwa ni msomi kazi yake imebaki kutamba tu kuwa ana masters ijapo alipewa mtaji na ndugu yake ila biashara inataka kumshinda.
Amebakiza majigambo tu na jamaa kumbe wana mchoraa hajijui.

Naamini degree bado itakupa nafasi ya kutambia wanaume mtaani na kukupa nafasi ya kutukana na ukasikilizwa

Sent using Jamii Forums mobile app
Huyo nae mshamba kweli

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom