HOPECOMFORT
JF-Expert Member
- Feb 25, 2012
- 3,921
- 6,646
Hata toneMimi huwa nasema huwezi kuwa na akili timamu ukashabikia uovu wa CCM na Serikali yake
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hata toneMimi huwa nasema huwezi kuwa na akili timamu ukashabikia uovu wa CCM na Serikali yake
FIFA?...🙄🙄🙄.Na nyinyi muende FIFA kama mnahisi mmeonewa
Ni mtazamo wako mzembe wa kifikraHukuwi lolote subiri mtaone CCM ilipo wadumbukiza mtatafuna meno mpo ndani ya 18
Ushahidi inaupatatikanaje na mmezuia kuingia na simu simu na mitandao?? Mlijua yatatokea haya ndo maana mkajihamiAcha tatarika ya mahindi ya bisi mleta mada, weka ushahidi wa unachokisema!
Wenyewe wanashangilia na kukata maunu.Kituo chenye wapiga kura 125,239 (registered voters) msimamizi anatangaza wamepiga kura 437,980, hata wizi hauko hivyo.
Uchaguzi ambao karibu nusu ya wagombea ubunge nchi nzima aidha wametekwa, wanashikiliwa na polisi au kujeruhiwa kwa silaha, utashangiliaje matokeo haya.
Matokeo ya uchaguzi ambao karatasi za kura feki zimezagaa mitaani nchi nzima.
Uchaguzi ambao wakati wa kuhesabu kura polisi wanaingia vituoni wanawatoa mawakala wote wa vyama vingine anabaki wakala wa CCM na msimamizi wa kituo wakihesabu peke yao.
Uchaguzi ambao OCD anaingia kituo cha kupigia kura anakwapua ballot box na kuondoka nalo.
Uchaguzi ambao matokeo yanaonyesha wagombea wote wa ubunge toka CCM wameshinda, matokeo ambayo yanakwenda kuunda bunge la chama kimoja.
Hata mwana CCM mwenye akili timamu hawezi kushangilia matokeo ya uchaguzi huu yanayokwenda kuligawa taifa.
Utashindana na aliyeprint ballot papers. Wangetoa access kwa wote basi hlf tuone.Mimi ni mpinzani, ila haya mengine tumeyataka wenyewe.
Ulipigwa vitani , unaingia tena vitani na adui yuleyule huku hujabadili jambo. CCM walishajiwekea mazingira haramu ya ushindi
hata katika hayo uliyoyaongea kuna watu watakuja kusema ni uongo wakati ni kitu kinachoonekana kabisaKituo chenye wapiga kura 125,239 (registered voters) msimamizi anatangaza wamepiga kura 437,980, hata wizi hauko hivyo.
Uchaguzi ambao karibu nusu ya wagombea ubunge nchi nzima aidha wametekwa, wanashikiliwa na polisi au kujeruhiwa kwa silaha, utashangiliaje matokeo haya.
Matokeo ya uchaguzi ambao karatasi za kura feki zimezagaa mitaani nchi nzima.
Uchaguzi ambao wakati wa kuhesabu kura polisi wanaingia vituoni wanawatoa mawakala wote wa vyama vingine anabaki wakala wa CCM na msimamizi wa kituo wakihesabu peke yao.
Uchaguzi ambao OCD anaingia kituo cha kupigia kura anakwapua ballot box na kuondoka nalo.
Uchaguzi ambao matokeo yanaonyesha wagombea wote wa ubunge toka CCM wameshinda, matokeo ambayo yanakwenda kuunda bunge la chama kimoja.
Hata mwana CCM mwenye akili timamu hawezi kushangilia matokeo ya uchaguzi huu yanayokwenda kuligawa taifa.
😂😂😂 kwa vyovyote vile una maisha ya taabu kupita kiasi na ma tatizo uliyokuwa nayo ndio yame lemaza ubongo wako!Ni mtazamo wako mzembe wa kifikra
Sisi wengine maisha yetu hayategemei ccm wala chadema wala bibi ake na nani sijui
Hiyo mnaitegemea nyie wazembe ambao mmeshindwa kufanya kazi mkajipatia kipato mnabaki kuilalamikia serikali.
Kiufupi hakuna watetezi wa wananchi.Wote watakuwa watu wa ndio mkuu.Ule wako upingeKituo chenye wapiga kura 125,239 (registered voters) msimamizi anatangaza wamepiga kura 437,980, hata wizi hauko hivyo.
Uchaguzi ambao karibu nusu ya wagombea ubunge nchi nzima aidha wametekwa, wanashikiliwa na polisi au kujeruhiwa kwa silaha, utashangiliaje matokeo haya.
Matokeo ya uchaguzi ambao karatasi za kura feki zimezagaa mitaani nchi nzima.
Uchaguzi ambao wakati wa kuhesabu kura polisi wanaingia vituoni wanawatoa mawakala wote wa vyama vingine anabaki wakala wa CCM na msimamizi wa kituo wakihesabu peke yao.
Uchaguzi ambao OCD anaingia kituo cha kupigia kura anakwapua ballot box na kuondoka nalo.
Uchaguzi ambao matokeo yanaonyesha wagombea wote wa ubunge toka CCM wameshinda, matokeo ambayo yanakwenda kuunda bunge la chama kimoja.
Hata mwana CCM mwenye akili timamu hawezi kushangilia matokeo ya uchaguzi huu yanayokwenda kuligawa taifa.
Endelea kumsubiri mbeligi ashinde akupe uhuru na maendeleo unayotaka maana hakuna unachowaza cha maana zaidi tu ya ushabiki wa kisiasa😂😂😂 kwa vyovyote vile una maisha ya taabu kupita kiasi na ma tatizo uliyokuwa nayo ndio yame lemaza ubongo wako!
Wamebaki bendera fuata upepo.Bunge lisilo na mvuto wa kulifuatilia, wakizima tv kwa sasa ni sawa tu.Mchakato wa Katiba ndo bye bye. Na Tume huru ndiyo basi tena. Watetezi wa wananchi wametolewa nje, wamebaki watetezi wa serikali[emoji31][emoji31][emoji31]
😂😂😂 "wakizima tv ni sawa tu "Wamebaki bendera fuata upepo.Bunge lisilo na mvuto wa kulifuatilia, wakizima tv kwa sasa ni sawa tu.
Jambo usilolijua ni kama usiku wa giza we kaa kwa kutulia, hii nchi ina wenyewe na haiwezi kuwa vile wewe unataka iwe .
😂😂 Ajax 13 vvv Venlo 0Kituo chenye wapiga kura 125,239 (registered voters) msimamizi anatangaza wamepiga kura 437,980, hata wizi hauko hivyo.