Uchaguzi 2020 Mtu timamu hawezi kushangilia matokeo haya

Namba hazijawai kubagua tutazisoma sote!tunaoshangilia na wanaoumia.
 
Tukae tusubiri wabakaji wa democracy watuletee maendeleo[emoji847]
 
Hukuwi lolote subiri mtaone CCM ilipo wadumbukiza mtatafuna meno mpo ndani ya 18
Ni mtazamo wako mzembe wa kifikra
Sisi wengine maisha yetu hayategemei ccm wala chadema wala bibi ake na nani sijui
Hiyo mnaitegemea nyie wazembe ambao mmeshindwa kufanya kazi mkajipatia kipato mnabaki kuilalamikia serikali.
 
Wenyewe wanashangilia na kukata maunu.
Na tukisema awali wafute vyama ili wasiumize mioyo na miili ya watu.
 
Mimi ni mpinzani, ila haya mengine tumeyataka wenyewe.
Ulipigwa vitani , unaingia tena vitani na adui yuleyule huku hujabadili jambo. CCM walishajiwekea mazingira haramu ya ushindi
Utashindana na aliyeprint ballot papers. Wangetoa access kwa wote basi hlf tuone.
 
hata katika hayo uliyoyaongea kuna watu watakuja kusema ni uongo wakati ni kitu kinachoonekana kabisa
 
Ni mtazamo wako mzembe wa kifikra
Sisi wengine maisha yetu hayategemei ccm wala chadema wala bibi ake na nani sijui
Hiyo mnaitegemea nyie wazembe ambao mmeshindwa kufanya kazi mkajipatia kipato mnabaki kuilalamikia serikali.
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ kwa vyovyote vile una maisha ya taabu kupita kiasi na ma tatizo uliyokuwa nayo ndio yame lemaza ubongo wako!
 
Kiufupi hakuna watetezi wa wananchi.Wote watakuwa watu wa ndio mkuu.Ule wako upinge
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ kwa vyovyote vile una maisha ya taabu kupita kiasi na ma tatizo uliyokuwa nayo ndio yame lemaza ubongo wako!
Endelea kumsubiri mbeligi ashinde akupe uhuru na maendeleo unayotaka maana hakuna unachowaza cha maana zaidi tu ya ushabiki wa kisiasa
 
Polepole alisema tutawafundisha adabu, safi sana JPM mbele kwa mbele Hapa kazi Tu! Chama cha ukoo ambacho kimekuwa kinafadhiliwa na wapiga kura bila kunawa mikono. nileteeni ile Tindo nimalizie kuibomoa hii takataka.
 
Mchakato wa Katiba ndo bye bye. Na Tume huru ndiyo basi tena. Watetezi wa wananchi wametolewa nje, wamebaki watetezi wa serikali[emoji31][emoji31][emoji31]
Wamebaki bendera fuata upepo.Bunge lisilo na mvuto wa kulifuatilia, wakizima tv kwa sasa ni sawa tu.
 
Jambo usilolijua ni kama usiku wa giza we kaa kwa kutulia, hii nchi ina wenyewe na haiwezi kuwa vile wewe unataka iwe .

Yan hawa Mathug ndio unasema wenyewe ? mzee are you serious ? me sijasema kwamba kuna namna nataka iwe, hii nchi ina katiba na ina sheria, whatever is done should be governed by laws, sasa wanachofanya hawa mathug ndio unataka iwe sheria ? Kuna muda huwa siwaelew watu wa humu kwa namna maelezo yao yanatoka anaweza akawa anatembea na mkewe barabaran alafu akatokea jamaa kamtandika dole la kati jamaa ukamwangalia ukamwacha sababu ni mwenyewe, come on man, be genuine hata kwa siku moja.
 
πŸ˜‚πŸ˜‚ Ajax 13 vvv Venlo 0
 
Wembe ni ule ule ..... .... Ding ......Dong!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…