Uchaguzi 2020 Mtu timamu hawezi kushangilia matokeo haya

mi nimeyapenda magufuli ameifanya ccm ipendwe zaidi kwa miaka 190 ijayo
 
Nikikuuliza hapo nini kimekiukwa kwenye uchaguzi ambacho kipo kisheria sidhani kama utakuwa na majibu yenye evidence zaidi tu ya vijistori vya vijiweni eti ooooh...wameiba kura.....ooooh...wamezima mitandao ya kijamiaa....oooh...sijui nn ushenzi mtupu.
 
Kama kuna mtu atasema huu ulikua uchaguzi ! Haihitaji kujua ukichaa wake uko hatua ipi
Huu siyo uchaguzi ni maigizo ya CCM kupata kibali cha kubakia sanduku la kura
 
Mwisho wa Lissu wako, wenye akili tulijua anakuja kuwaua chadema. Huwezi kumshinda rais aliye madarakani kwa kumtukana. Nilijaribu kuwahusia nyie vibaraka wa Chadema hamkunisikiliza.
Wenye Akili huko CCM mnategemea wizi wa kura kubaka uchaguzi siyo?
 
Wewe ni mbumbumbu juha zuzu kilaza kaa na upumbavu wako huko unaposhinda ukivuta Bangi, kajadili uchakachuaji na wizi wa kura siyo lazima kukaa popote Duniani kote wanajua upumbavu wenu acha kujitoa fahamu
 
SAFI SANA CCM ITAKUWA INALETA MAENDELEO TANZANIA ITAKUWA KAMA SOUTH AFRICA
CCM ipi hiyo? CCM ya mrundi? au ya Bashiru raia wa Rwanda? Tambua kuwa CCM inaenda kutumia pesa nyingi kunyamazisha watu kuwabambikia kesi kuwapiga risasi hakutakuwa na maendeleo kwani watatumia mda mwingi kudidimiza demokrasia
 
Wamebaki bendera fuata upepo.Bunge lisilo na mvuto wa kulifuatilia, wakizima tv kwa sasa ni sawa tu.
Bunge haramu la kishetani linaenda kutunga Sheria za hovyo na Nchi itaendeshwa kidikteta mno
 
Wewe ni mbumbumbu juha zuzu kilaza kaa na upumbavu wako huko unaposhinda ukivuta Bangi, kajadili uchakachuaji na wizi wa kura siyo lazima kukaa popote Duniani kote wanajua upumbavu wenu acha kujitoa fahamu
By the way wewe hukuwa msimamizi wa uchaguzi kwa hiyo huwezi kunisumbua akili.

NEC ndiyo chombo official kinachotoa taarifa za uchaguzi kwa watanzania wote.

So sina muda wa kuutilia manani upumbavu wako maana wewe siyo NEC.
 
Acha uongo. Toadie ushahidi wa madai yako. Tunawaelewa kwa uongo. Hatutaki madai ya jumlajumla. Kubalini kuwa mmeshindwa
 
By the way wewe hukuwa msimamizi wa uchaguzi kwa hiyo huwezi kunisumbua akili...
Akili yako si ipo kwa polepole itasumbuka vipi? Wewe si unaishi kwa kukariri zidumu fikra zisizo sahihi za mtukufu kaburu Mkoloni mweusi huna unachokijua zaidi ya kuwaza mambo yasiyo na tija kwa Taifa, NECCCM Tumeccm na Polisiccm ni vyombo binafsi vya CCM hakuna Haki hapo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…