Uchaguzi 2020 Mtu timamu hawezi kushangilia matokeo haya

Sijawahi kutana na Zero Brain yenye kuongea utumbo kama wewe...
https://jamii.app/JFUserGuide you ....🚶🚶🚶
 
Hakuna bunge tena kuna ushetani unaenda kula posho Dodoma
Litakuwa ni bunge la ajabu kuwahi kutokea tangu uhuru,hakutakuwa na wabunge shupavu wa kupinga hoja za serikali zinazoenda sivyo,ajenda za serikali zitapita kiulaini.Hao wabunge wanaenda kula bata tu na kucheka na nyani huku mahindi yakiliwa shambani
 
[emoji3][emoji3]
 
Acha tatarika ya mahindi ya bisi mleta mada, weka ushahidi wa unachokisema!
TUMIA AKILI MAANA HATA WAKATI NYERERE AKIWA HAI CCM HAIKUSHINDA KWA ASILIMIA 100. KUWA NA WABUNGE WA CCM TU BUNGENI MNATENGENEZA DEFEAT 2025. HIVI KWENYE KAMPENI 2025 MTASEMA NANI KAZOROTESHA MAENDELEO?
 
CHADEMA mlijiaminisha kupita kiasiiiiiiiii

Sasa Bwana Lissu ajiandae kwenda kutumikia adhabu yake kwa AMSTERDAM
najua bwana ake atadai anaenda mahakaman 😂😂😂
 
TUMIA AKILI MAANA HATA WAKATI NYERERE AKIWA HAI CCM HAIKUSHINDA KWA ASILIMIA 100. KUWA NA WABUNGE WA CCM TU BUNGENI MNATENGENEZA DEFEAT 2025. HIVI KWENYE KAMPENI 2025 MTASEMA NANI KAZOROTESHA MAENDELEO?
Kama ndiyo, hivyo inabidi mjumuike na watani zenu CCM kusherekea ushindi wa CCM 2020 na nyinyi wa '2025'( in advance)! Ha hahaaa!
 
Mtalia sana,hizi kelele mlipiga sana humu kwenye majukwaa...kwenye kura hata hatujawaona.
 
CCM kujisifu kwa ushindi Kama huu ni ushamba na ujinga wa kiwango Cha rami
 
we jamaa una akili timamu ? umesoma shule ukaelika ? au upo kwenye kundi kubwa la illiterate ambalo ndio wanahitaji ukombozi wa fikra zaidi ?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…