The king mswati
JF-Expert Member
- Jun 20, 2020
- 787
- 825
we jamaa una akili timamu ? umesoma shule ukaelika ? au upo kwenye kundi kubwa la illiterate ambalo ndio wanahitaji ukombozi wa fikra zaidi ?
Magufuli Baba Laooo..
CCM chama Laoo....
Manina kafie mbali huko mbwa we.
sawa me ni mbwa wewe binadamu bogus na huwez hata kuficha huo ubogus wako , reasoning ya binadamu iko wapi ? elfu ishirini za ccm zitawatoa damu wazee tufanye kazi... he yote ni elfu ishirin ishirin mnazopewa [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]. [emoji1544][emoji1544][emoji1544][emoji1544]. samahan mkuu kama nimekukwaza ila daah you guys sold this country to the highest bidder...
😂😂😂 Huwaga hamkosi sababu za kujitungiaKituo chenye wapiga kura 125,239 (registered voters) msimamizi anatangaza wamepiga kura 437,980, hata wizi hauko hivyo.
Uchaguzi ambao karibu nusu ya wagombea ubunge nchi nzima aidha wametekwa, wanashikiliwa na polisi au kujeruhiwa kwa silaha, utashangiliaje matokeo haya...
Ni yeye Lissu,,kibaraka.Why Not,
Wananchi ndio wameamua;
Ushahidi upo wazi, tofauti Kati ya kura kwa wagombea ni kubwa Sana.
CCM iliwekeza kwa muda mrefu na haya ndio matunda yake,
Huwezi toa mgombea Ulaya akaja kuchukua nchi kirahisi,
Watu walikua na hasira Sana na mgombea Urais wa Chadema walikuwa wanasubiri tu siku ya kura.
Tumeona matokeo yake.
[emoji2][emoji2][emoji119][emoji119]Tumekubali kushindwa uzuri tutaumia wote
Umenena vyema mwanzoni kasoro hapo kwenye kuligawa taifa! labda mgawanyike ninyi mnaokaa meza kuu. Sisi huku tunaombana chumvi, tunaombana mbegu (vuli hii!) tunaazimana majembe, tunazikana. Kifupi tunaharakati nyingi za kutuweka pamoja kuliko za kututenganisha. Kama hujawahi kuwa na shibe huwezi ijua njaa!Kituo chenye wapiga kura 125,239 (registered voters) msimamizi anatangaza wamepiga kura 437,980, hata wizi hauko hivyo.
Uchaguzi ambao karibu nusu ya wagombea ubunge nchi nzima aidha wametekwa, wanashikiliwa na polisi au kujeruhiwa kwa silaha, utashangiliaje matokeo haya.
Matokeo ya uchaguzi ambao karatasi za kura feki zimezagaa mitaani nchi nzima.
Uchaguzi ambao wakati wa kuhesabu kura polisi wanaingia vituoni wanawatoa mawakala wote wa vyama vingine anabaki wakala wa CCM na msimamizi wa kituo wakihesabu peke yao.
Uchaguzi ambao OCD anaingia kituo cha kupigia kura anakwapua ballot box na kuondoka nalo.
Uchaguzi ambao matokeo yanaonyesha wagombea wote wa ubunge toka CCM wameshinda, matokeo ambayo yanakwenda kuunda bunge la chama kimoja.
Hata mwana CCM mwenye akili timamu hawezi kushangilia matokeo ya uchaguzi huu yanayokwenda kuligawa taifa.
Kumbe hata hujui limit ya wapiga kura kwenye kituo. Hakuna kituo chenye wapiga kura zaidi ya 500, wewe hao laki umewapata wapi?Kituo chenye wapiga kura 125,239 (registered voters) msimamizi anatangaza wamepiga kura 437,980, hata wizi hauko hivyo.
Uchaguzi ambao karibu nusu ya wagombea ubunge nchi nzima aidha wametekwa, wanashikiliwa na polisi au kujeruhiwa kwa silaha, utashangiliaje matokeo haya.
Matokeo ya uchaguzi ambao karatasi za kura feki zimezagaa mitaani nchi nzima.
Uchaguzi ambao wakati wa kuhesabu kura polisi wanaingia vituoni wanawatoa mawakala wote wa vyama vingine anabaki wakala wa CCM na msimamizi wa kituo wakihesabu peke yao.
Uchaguzi ambao OCD anaingia kituo cha kupigia kura anakwapua ballot box na kuondoka nalo.
Uchaguzi ambao matokeo yanaonyesha wagombea wote wa ubunge toka CCM wameshinda, matokeo ambayo yanakwenda kuunda bunge la chama kimoja.
Hata mwana CCM mwenye akili timamu hawezi kushangilia matokeo ya uchaguzi huu yanayokwenda kuligawa taifa.
U said it allKituo chenye wapiga kura 125,239 (registered voters) msimamizi anatangaza wamepiga kura 437,980, hata wizi hauko hivyo.
Uchaguzi ambao karibu nusu ya wagombea ubunge nchi nzima aidha wametekwa, wanashikiliwa na polisi au kujeruhiwa kwa silaha, utashangiliaje matokeo haya.
Matokeo ya uchaguzi ambao karatasi za kura feki zimezagaa mitaani nchi nzima.
Uchaguzi ambao wakati wa kuhesabu kura polisi wanaingia vituoni wanawatoa mawakala wote wa vyama vingine anabaki wakala wa CCM na msimamizi wa kituo wakihesabu peke yao.
Uchaguzi ambao OCD anaingia kituo cha kupigia kura anakwapua ballot box na kuondoka nalo.
Uchaguzi ambao matokeo yanaonyesha wagombea wote wa ubunge toka CCM wameshinda, matokeo ambayo yanakwenda kuunda bunge la chama kimoja.
Hata mwana CCM mwenye akili timamu hawezi kushangilia matokeo ya uchaguzi huu yanayokwenda kuligawa taifa.
Taratibu nakuona una hamia upande wa kusuguliwa.Anayejiaminii aingiie barabarani tugawane MIGUU
[emoji23] [emoji23] [emoji23] Kila siku nlikuwa nasema humu kwamba Lisu akishundwa Amsterdam atakuwa amechangia, maana watz linapokuja suala la utaifa wako vizuri sanaKwani mpaka sasa Robert Amsterdam anasemaje?