Uchaguzi 2020 Mtu timamu hawezi kushangilia matokeo haya

Wananchi wameshaamua,shida ni hayo makundi mengine
 
Nenda, tena usirudi kabisa
 
Fatuma karume aliwahi sema ipambaniwe tume huru ajabu hakuna aliyesikiliza.

Sasa Bungeni wanarudi wenyewe na katiba itabadilishwa.
Afadhali wasingeitisha uchaguzi, maana sijui nani wanataka kumridhisha kuwa wamefanya uchaguzi wakati fujo na vitimbi kila mahali.
 
L
leo mtazungumza lugha zote. Hivi mfano mtu wapinzani mnafanyaga muda wa kufanya kazi jimboni kweli wakati muda wote ninyi ni kupinga maendeleo. Mnawachelewesha wananchi jana wamewachinja poleni sana.
Kama ni hivyo majimbo ya ccm yangekuwa mbali sana,lakini ndio yanayoongoza kwa shida ya maji,
 
Tulia dawa iingie vizuri, acha kutapatapa. Manyumbu wa Mbowe ndio mpate akili sasa.
 
Wenye akili timamu ni sisi ambao hatujawahi kupiga kura wala hatutapiga kura mpaka tunaingia kaburini, ila tunaomba amani.
 
si wanafanya mazoezi ili walinde masla ya ccm ambao ni WEZI WA KURA.
Hivi huu uchaguzi mtajisifu mmeshinda?
 
Tanzania kwa sasa nafikiri wajinga ni wengi sana! Na huenda tatizo hili likaendelea kwa miongo mingi sana!

Kushangilia uhalifu ni laana
 
Mkuu Quinine, huu uchafuzi umekwishapita, tusubiri tu yatakayojiri kwa miaka mitano hii kama Mungu ataruhusu.

Haya yote uliyoandika hapa ni machozi ya samaki ndani ya maji, sina hakika kama wapinzani walichukua jukumu la kukusanya ushahidi usiotia mashaka na matukio yote haya uliyoyaorodhesha hapo juu, anagalau wananchi nao wawe na uhakika na kilichotokea.
Hakuna lolote ambalo wapinzani wangeweza kufanya ili kuyazuia yote haya bila ya wananchi wenyewe kukataa hayo yaliyofanywa.
 
Kwa kuingiza kura feki tu.
Wananchi Wana Imani na nyie.
Mna NEC ,mna polisi,mna jeshi,mna ZEC .
lakini bado na kura feki mnatumia[emoji1787][emoji1787][emoji1787].
Ccm mmefanya uchaguzi wa aibu Sana.
Hamna Cha kujivunia mwaka huu labda mseme mnajivunia NEC na zec yenu.
Wananchi wana imani na Ccm. Wapinzani watabaki na ofisi zao za vyama wakinywa kahawa.
 
si wanafanya mazoezi ili walinde masla ya ccm ambao ni WEZI WA KURA.
Hivi huu uchaguzi mtajisifu mmeshinda?
kwani si mlisema mtalinda kura na mmejipanga na kujiapiza kabisa kuwa safari hii hakuna wakuwaibia?? sasa haya malalamiko yanatoka wapi? CCM wamewazidi mbinu au wamekuja na mbinu mpya??
 
Kura feki zinaingizwa vipi? Idadi ya wapiga kura lazima iendane na matokeo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…