mjingamimi
JF-Expert Member
- Aug 3, 2015
- 42,209
- 51,004
kwani si mlisema mtalinda kura na mmejipanga na kujiapiza kabisa kuwa safari hii hakuna wakuwaibia?? sasa haya malalamiko yanatoka wapi? CCM wamewazidi mbinu au wamekuja na mbinu mpya??
Sasa nawewe hebu kawaulize Viongozi wako kuwa Kama walijua uchaguzi hautakuwa wa huru na haki kwanini walishiriki uchaguzi?nia yenu mnataka watu wafe amani itoke.
Tunajua tangu mwezi wa 8 mwaka huu polisi walikuwa wanafanya mazoezi ya ziada kwa ajili ya kuja kupiga watu kwenye uchaguzi huu.
Swali la msingi Kama hamtaki upinzani Tanzania uchaguzi mnafanya wa nini?
Kama unajua tume siyo huru unashangilia kitu gani sasa.[emoji23] [emoji23] [emoji23] Tuliwambia toka 2015 piganieni tume huru, nyie mkaishia kujadili kingereza cha Magu.,
Yani toka 2015 mlichofanikiwa ni kujadili kingereza cha Magu tu.
Mpaka unaingia kabulini? Sio mpaka tume huru ipatikane mkuuWenye akili timamu ni sisi ambao hatujawahi kupiga kura wala hatutapiga kura mpaka tunaingia kaburini, ila tunaomba amani.
Mpaka naingia kaburini.Mpaka unaingia kabulini? Sio mpaka tume huru ipatikane mkuu
Braza Pemba hakuna mwaka wa uchaguzi ambao hakujawahi kuwa na fujo na vifo, labda ulete stori nyingine na labda uniambie kwahiyo mlikuwa mnatishia nyau kuwa mtalinda kura??Waliolinda kura zao wameshauliwa na ccm huko Pemba.
Wengine wameshaogopa.
Watu 10 kuuliwa unafikiri ni mchezo?.
Wenye ushindi wa kura 'fake na damu za watu ndio wanao mpenda sioWenye vyeti feki hamuwezi kumpenda JPM.
Sasa nawewe hebu kawaulize Viongozi wako kuwa Kama walijua uchaguzi hautakuwa wa huru na haki kwanini walishiriki uchaguzi?
Kwani isingewezekana kususia Kama walivyosusia kwenye serikali za mitaa?
Tanzania siyo Palestina Wala sudani kwahiyo nikutoe tu wasiwasi kuwa "expect nothing to happen in Tanzania after this generale election 2020"Usiombee hilo na wala usitamani litokee jambo kama hilo hata wewe hutokaa kwa amani.
Tumefika sehemu ya kualalisha wizi na kushangilia wizi hamtaishia hapo mtahalalisha vingi zaidi ya hapoSugu chali
Braza Pemba hakuna mwaka wa uchaguzi ambao hakujawahi kuwa na fujo na vifo, labda ulete stori nyingine na labda uniambie kwahiyo mlikuwa mnatishia nyau kuwa mtalinda kura??
Sio Watanzania, sema wasimamizi
Hiyo ni yako,Magufuli jembe wewee anakosaje kupita sasa?Sio Watanzania, sema wasimamizi
Mwaka 2020 hakuna uchaguzi kuna ubakaji wa sanduku la kuraItafutwe Tume huru au turudi mfumo wa chama kimoja.
Sawa mkuuMpaka naingia kaburini.
Upinzani hawakuwa serious Sana Kama alivyo Lissu kwenye kudai katiba mpya na Tume huru.Lissu alivyopigwa Risasi Upinzani ukaishia pale,hata hizi kura chache ambazo Upinzani wamepata Ni baada ya Lissu kurejeaMchakato wa Katiba ndo bye bye. Na Tume huru ndiyo basi tena. Watetezi wa wananchi wametolewa nje, wamebaki watetezi wa serikali[emoji31][emoji31][emoji31]
Sasa nawewe hebu kawaulize Viongozi wako kuwa Kama walijua uchaguzi hautakuwa wa huru na haki kwanini walishiriki uchaguzi?
Kwani isingewezekana kususia Kama walivyosusia kwenye serikali za mitaa?
Hawakushinda uchaguzi wamepora majimbo na Urais hakuna uchaguzi umefanyika sasaNimekwambia waliolinda kura zao wameshauliwa huko Zanzibar.
SISI WENGINE TUMEISHAINGIWA NA HOFU NA UOGA.
Mmeshinda nyie..
kwani nani ANALALAMIKA?.
sisi tunasema tu ule ukweli kuwa kwenye uchafuzi huu kuna kura feki zimekamatwa.
sasa akili kichwani kwako.