Tony antony
JF-Expert Member
- Nov 17, 2013
- 4,988
- 3,268
na mimi nakwambia hakuna kitu kipya ambacho mwaka huu mnalalamikia ambacho hakijawahi tokea, mlikuwa na mkakati gani??kama mnahofu hata ya kupigania haki yenu basi hamuwezi ongoza hii nchi.Nimekwambia waliolinda kura zao wameshauliwa huko Zanzibar.
SISI WENGINE TUMEISHAINGIWA NA HOFU NA UOGA.
Mmeshinda nyie..
kwani nani ANALALAMIKA?.
sisi tunasema tu ule ukweli kuwa kwenye uchafuzi huu kuna kura feki zimekamatwa.
sasa akili kichwani kwako.
Mwaka 2020 hakuna uchaguzi kuna ubakaji wa sanduku la kura
Propaganda za kitoto.Nani anachunguza kuwa kura zilizopigwa zinaendana na matokeo?.
kwa hyo zile kura feki zilizokamatwa zilikuwa NI urembo?
😀😀😀😀 Wapi waingie wanaugulia maumivu,Chuga wamepigwa kwenye udiwani bado kidogo ubunge tuuMleta mada si Rais wenu wa mtandaoni aliwambia kuwa atawaingiza barabarani, una lialia nini sasa?
Labda tu nikuulize baada ya Kamanda mkuu kutangazwa kuwa kashindwa mpaka Sasa hivi Makamanda wake mmeshaingia barabara ngapi?
OkyHiyo ni yako,Magufuli jembe wewee anakosaje kupita sasa?
Kuiba bila aibu na kuhalalisha wizi sasa hivi tumeweka record ya wezi wasio na akili DunianiCCM wameamua kukomba kila kitu.
Naomba ujiheshimu.We ni maiti inayo tembea
CCM wanataka kufuta vyama vingi Nchi isalie na chama kimoja tu ipitishwe katiba awe Rais wa milele kama ChinaKwa hyo mnafanya haya yote ili upinzani use mtawale milele?
Si mseme tu mnafuta vyama vya upinzani?
na mimi nakwambia hakuna kitu kipya ambacho mwaka huu mnalalamikia ambacho hakijawahi tokea, mlikuwa na mkakati gani??kama mnahofu hata ya kupigania haki yenu basi hamuwezi ongoza hii nchi.
Wizi wa CCM ni wizi wa kishamba mnoKuiba bila aibu na kuhalalisha wizi sasa hivi tumeweka record ya wezi wasio na akili Duniani
Sijawahi kuheshimu wezi wajingaNaomba ujiheshimu.
Check hai hata Kama mbowe akubaliki kule si kwa gap lileWizi wa CCM ni wizi wa kishamba mno
Propaganda za kitoto.
Kavute bangi ukishushia na bangi.Sijawahi kuheshimu wezi wajinga
Wajinga sana alafu wana shangilia kwa kukimbia na mpira!Wizi wa CCM ni wizi wa kishamba mno
na mimi nakwambia hakuna kitu kipya ambacho mwaka huu mnalalamikia ambacho hakijawahi tokea, mlikuwa na mkakati gani??kama mnahofu hata ya kupigania haki yenu basi hamuwezi ongoza hii nchi.
Ndio mwisho wako wa kufikiri ulipo fika wajinga ninyi mnafakiri watu wote ni wajinga kama ninyi mkimbie na mpira alafu tushangilieKavute bangi ukishushia na bangi.