Uchaguzi 2020 Mtu timamu hawezi kushangilia matokeo haya

Mnatengeneza sinema halaf mnashindwa kuimalizia then mnakuja kupiga mayowe jf,,tulieni matokeo yazid wanyong'oneza
 
Mwisho wa Lissu wako, wenye akili tulijua anakuja kuwaua chadema. Huwezi kumshinda rais aliye madarakani kwa kumtukana. Nilijaribu kuwahusia nyie vibaraka wa Chadema hamkunisikiliza.
Wewe mjinga hujumu lolote muda utawafundisha
 
Mleta mada si Rais wenu wa mtandaoni aliwambia kuwa atawaingiza barabarani, una lialia nini sasa?

Labda tu nikuulize baada ya Kamanda mkuu kutangazwa kuwa kashindwa mpaka Sasa hivi Makamanda wake mmeshaingia barabara ngapi?
Akikujib nitag
 
🀣🀣🀣 nilijua tu mkianza kugaragazwa hamtakosa vya kusingizia πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Hapo ni wabunge tu mnagaragazwa hivo Je hako kabelgiji kenu kanachotetea ubepari katagaragazwa na Magufuli vibaya mno.
Mbowe harudi Bungeni, Sugu Harudi, saivi namsubiri lema Arusha nione kama atarudi Bungeni .
 
Hapo ndio huwa sielew kabisa, yan hatujuagi namna ya kujikwamua lakin kwenye kushangilia ujinga na upuuz watu wapo mstari wa mbele aisee hii nchii hii..
Jambo usilolijua ni kama usiku wa giza we kaa kwa kutulia, hii nchi ina wenyewe na haiwezi kuwa vile wewe unataka iwe .
 
Hapo ndio huwa sielew kabisa, yan hatujuagi namna ya kujikwamua lakin kwenye kushangilia ujinga na upuuz watu wapo mstari wa mbele aisee hii nchii hii..
Ujinga walio ufanya umevunja record ya ujinga!!
Tutegemeye mwanga!
Kenge adi atokee damu masikioni ndio huwa anasikia!
Pengine haya matokeo yaka Wafundisha hawa wajinga na wanao shangilia ujinga wa kiwango cha SG
 
Kama unajua hilo basi jua kuwa Classes lazima tu ziwepo ili Dunia Iende mbele isibaki dormant
Hukuwi lolote subiri mtaone CCM ilipo wadumbukiza mtatafuna meno mpo ndani ya 18
 
SAFI SANA CCM ITAKUWA INALETA MAENDELEO TANZANIA ITAKUWA KAMA SOUTH AFRICA
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…